Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,369
- 100,419
2020 nina jenga nyumba ya ndoto yangu sio ghorofa lakin lazima huu mwaka hii ndoto itimie...Mungu nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipendacho roho hula nyama mbichi mkuu.Mmmh mbona bado umetumia mahela kibao?[emoji849]
Japo napenda ghorofa ila kwa mtindo huu, silitaki tena,
Btw naomba karamani kako basi nioshe oshe macho[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi mbona ni mtu wa kawaida sana mkuu?Okay nimeona safi sana Mkuu.....Sasa kwa mtu wa kawaida kumake mpaka ~ 65m sio mchezo.
Kwamba ni gharama au laah, nadhani pia inategemea na vitu vingi ikiwa ni pamoja na uwezo wako.Sio kwamba ghoroga kujenga ni gharama?
Nina rafiki anajenga Bunju katumia zaidi ya milioni 70 na hajamaliza halafu keshachoka anajuta kujenga ghorofa
Amen mkuu!!All the best!!2020 nina jenga nyumba ya ndoto yangu sio ghorofa lakin lazima huu mwaka hii ndoto itimie...Mungu nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha siweki, kwa bahati mbaya sana i apologize for that.
Mmmh mbona bado umetumia mahela kibao?[emoji849]
Japo napenda ghorofa ila kwa mtindo huu, silitaki tena,
Btw naomba karamani kako basi nioshe oshe macho[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Raha yake uzeeni kama centabolt zimelegea utahamia sebuleni chiniIna raha yake mkuu. Unapopandisha kwenye vingazi kufuata masterbed room yako ipo juu.
.
.
Na pia mvua inakufikia wewe kwanza kabla ya wengine chini.
Wala sio kuzuzuka mkuu, bali ni mapenzi tu.We ni kabila gani ndugu hadi uzuzuke na ghorofa,ghorofa maana yake ni nyumba mbili au tatu kwa moja mbona wengi umiliki zaidi ya 10 na si ghorofa
Wala usiwe na shaka.Hongera. Ila shida kidogo ninayoiona katika huo ujenzi zile nguzo 4 za kushika hiyo nyumba ya juu. Ukicheza na hapo unaweza ukaona una ghorofa,lakini tahadhali isije ikawafukia mkuu. Hapo panatakiwa fundi engineer sio ili mradi mafundi ujenzi. Watu wanaogopa kujenga hata chumba kimoja juu kama hiyo yako ksbb tu kitako tu ni sawa na nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app