tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,327
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja ncheke kidogo!!Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.
Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.
Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.
Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.