Hawezi kujibu
Pamoja na ukweli kwamba wahadhi wa chuo chetu chenye sifa lukuki kukataa agizo la mwenyekiti wako wa Chama kukagua Vyeti vyoa vya kidato cha nne bado naona kuna haja!
A) Juliana wewe ni binti uliyekuwa blinded na ambition ambaye hata unachokitaka hujui, huenda hata kwa huyo mume umeenda tu kwa kuwa wenzio wenye umri kama wako waliolewa na wewe ukafuata mkumbo!
B) Unajitanabaisha kwamba una elimu,tena ya Sociology ambayo pamoja na mambo mengine inatakiwa uwe na ability ya kutambua chimbuko la matatizo ya jamii yako, ili uwezo kuitoa jamii kutoka hatua moja kwenda nyingine na kuzuia viashiria vingine kuibuka kwa kutoa elimu ya kujitambua. Badala yake umeendelea ku take advantage ya kutojua kwa jamii inayokuzunguka kuzidi kuwarudisha kwenye tope badala ya kuwaanza hata watumie common sense kujinasua!
C) Umeshindwa kuainisha ni kwa namna gani udhaifu wa Mbowe asiye wa chama chako umekuwa kero kwa Chama chenu CCM hadi kushindwa kutatua kero za wananchi na badala yake mkizidishia kero wananchi kwa kuwa watumishi wa propaganda kwenye chama kingine mkitumia muda na rasilimali za chama tofauti!
D) Umeshindwa kutambua unaoita udhaifu wa Mh. Mbowe ndiyo umesababisha serikali ya chama ambacho wewe ni mchepuko kwa sasa ikashindwa kutekeleza ilani yake na badala yake ikitekeleza ilani ya Chama ambacho wewe usiyeijua CCM unamwona mwenyekiti wake ni dhaifu ilihali watu waandamizi wa chama chako hawaishi kuweweseka wasikiapo jina lake!
E) Nakufananisha na askari uliyeingia vitani kujifunza kushika bunduki wakati hakuna vita ya majaribio,so ni vyema ukahifadhi akiba ya maneno yako ya shombo maana siku moja utatafuta akiba yake ukose. Wewe umeamua kuwa mtumwa, its fine, wengine wamekataa utumwa haina haja ya kutumia muda mwingi kuwaeleza waliokataa utumwa jinsi bwana wako anavyokutenda vyema japokuwa ni mtumwa! Wewe endelea tu time will tell!