Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

Yaani umeshaanza kusoma PhD kabla masters hujaifanyia lolote...! Itabidi Ndalichako akisha maliza zoezi la kukagua vyeti aandae mswada wa kwamba hakuna kusoma Phd kabla hujatoa matunda ya elimu uliyoipata ya masters.... la sivyo nchi itajaza ma-dr. wa vyeti tu.
 
....achana nacho kapuuzi hako, kamekimbilia ccm kapate nafasi ya fasta halafu kanajidai kanataka mabadiliko!, hiki kiburi cha kuita watu mazombi ni kwasababu kamepewa ubunge wa ch.pi kajinga haka!
Na huu Ndio ukweli usioghoshiwa!,kametulia tuliii!kanapokea Za uso tuu
 
Jina: JULIANA SHONZA

Kabila: Mnyiha wa Mbozi

Elimu: Shahada ya Uzamili (Masters on Sociology) – Shahada ya Uzamivu ( Phd – UDSM) on progress.

Ndoa: Nimeolewa

Umri: Miaka 30

Dini: Mkristo wa Dhehebu la Pentekoste

Kazi: Mbunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
====================================================

Kama ilivyoelekeza Sheria, na kwa Matakwa ya Kikatiba ninaanza Andiko langu kwa “Kiapo” ili itakapolazimu maneno yangu ya leo yatumike katika mabaraza ya Sheria na Mahakama kama rejea rasmi.

Maana ya neno “kiapo” kama nilivyolitumia linamaanisha kuwa ni maelezo anayotoa mtu ambayo mtu huyo anaamini kuwa ni sahihi na ya kweli. Na kwa kuwa inakubalika katika Sheria (Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 ya Sheria za Tanzania, kifungu cha 231) kutoa kiapo kwa njia ya maandishi, kama ifuatavyo;

’’Mimi, JULIANA SHONZA, Mtu mzima, Mkristo, Mama wa familia, Mkazi wa Songwe, nikiwa ninaelewa vya kutosha juu ya jambo ninalotaka kulitolea kiapo na hivyo NAAPA kuwa;

NIKIWA NA AKILI TIMAMU BILA KUSHAWISHIWA NA MTU AU KIKUNDI CHA WATU, NAAPA KUWA MAELEZO NITAKAYOYATOA HAPA KUHUSU MHE. FREEMAN AIKAELI MBOWE, (Mb) MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO NI SAHIHI, NA YA KWELI”

Ndugu wana jamvi wenzangu, nikiwa ndani ya kiapo naomba nieleze yafuatayo kuhusu UDHAIFU na UDHALIMU wa NDG. MBOWE, nitajitahidi nielekeze kwa ushahidi wa matukio na kwa ufupi kadri itakavyowezekana.

Nianze kwa kueleza kuwa wengi katika watu wanafahamu (ingawa kuna upotoshaji mkubwa ktk ufahamu huo) kuwa niliondoka / kuondolewa CHADEMA kwa sababu moja tu, nilidiriki kumnyooshea kidole MWENYEKITI MBOWE. Nikikosoa namna ya utendaji wake, nilitia shaka juu ya uwezo, maono, ufundi na maarifa yake katika kumudu aina ya siasa za sasa na hatma ya CHADEMA..nilifanya hivyo kwa maslahi mapana ya CHAMA hicho na NCHI yetu kwa ujumla.

Lakini kama ilivyo kwa viongozi WAOGA (cowards), mkuu wangu huyo (ambae hakuzoea kunyooshewa kidole) aliona nimemtusi, nimemkebehi na nimefanya jambo la kumvua nguo na kumshushia heshima na hakuwa tayari kuvumilia DHIHAKA hiyo..hakuwa tayari kukiri MAKOSA, hakuwa TAYARI kuruhusu UHURU wa kikatiba ulio kwa kila mwanachama wa CHADEMA kutumika, hakuwa tayari kuuona UKWELI, kwa kuwa tu UKWELI huo ulisemwa na JULIANA.

Nitaeleza matukio mawili (kati ya mengi) ambayo nilimkosoa MBOWE na ikawa mwanzo wa mtafaruku baina yetu na baina yangu na CHADEMA.

(a) Mnamo tarehe 16 Mei, 2012; (Kwa maelekezo ya MBOWE) Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mhe John Heche alitoa tamko la kumtuhumu Ndg John Magale Shibuda kuwa ni MSALITI kwa kitendo chake cha kutangaza hadharani kuwa atagombea URAIS kupitia CHADEMA mwaka 2015.

Baada ya TAMKO hilo, (nikiwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA) nilijitokeza hadharani kumpinga HECHE, na kumkosoa kuwa TAMKO lake halina Baraka za BAVICHA kwani hajamshirikisha Kiongozi yeyote wa BAVICHA na halikupitia vikao rasmi vya kikatiba, hivyo nikasema kuwa TAMKO hilo ni la HECHE na wala sio la BAVICHA, na nikasema kuwa hatuko tayari BAVICHA kutumika na MTU ndani ya Chama kupambana na MTU mwingine.

Mnamo tarehe 26/5/2012, Mnadhimu na Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu (kwa maelekezo ya Mbowe) akajitokeza hadharani na kusema HECHE yuko sahihi, na kwamba SHIBUDA ni pandikizi na msaliti. Kwa mara nyingine nikapinga hoja ya Lissu iliyonukuliwa kwenye Gazeti la Mwananchi la tarehe 27/5/2012 ukurasa wa 7. Nilisema Mwenyekiti HANA Absolute Mandate ya kuitumia BAVICHA anavyopenda.

(b) Mnamo tarehe 2, february 2013 katika vuguvugu la Mhe Zitto Kabwe kutangaza kuwania UENYEKITI wa CHADEMA na mimi kuhisiwa kuwa ni miongoni mwa wanaomuunga mkono, niliitwa na kutakiwa kujieleza hasa kutokana na hekaya iliyoitwa Ripoti ya Siri ya Mwenendo wa Kisiasa wa Zitto Z. Kabwe ndani na nje ya CHADEMA.

Kwa kuwa niliamini katika kweli, sikushindwa kutamka mbele ya kikao kile ambacho Mhe Baregu alikuwepo, Mbowe mwenyewe alikuwepo na Dr Kitila (akiwa bado CHADEMA) alikuwepo kuwa sina IMANI na uwezo na maarifa ya Mwenyekiti kukivusha Chama katika wakati huu, ni vyema na ni kutokana na utaratibu wa kidemokrasia ndani ya Chama uliokuwepo kikatiba watu wengine waruhusiwe kugombea na ikiwa wanachama wengi watakubali kufanya mabadiliko ya Mwenyekiti, UAMUZI wao uheshimiwe, miongoni mwa wanaotaka mabadiliko hayo ni pamoja na Mimi.

Baada ya Mjadala mrefu, nilijiengua/kuenguliwa CHADEMA kwa jina maarufu la wakati huo la MSALITI, maana kila aliyempinga MBOWE wakati huo na hata sasa aliitwa hivyo.

Baada ya kueleza kwa ufupi matukio hayo mawili yaliyothibitisha udhalimu wa Mbowe wa kutumia mabavu kuendesha Chama na kufanya maamuzi na kuonyesha alivyo Kiongozi Dhaifu, mwenye Woga na asiyejiamini (maana siku zote amekuwa akituma watu badala ya kujitokeza yeye mwenyewe), nirudi katika kadhia ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA iliyokutana Juzi na kuunda UKUTA.

Kwanza ieleweke kuwa sio mara ya kwanza CHADEMA kuunda opresheni zisizo na mbele wala nyuma, ila mwaka huu operesheni hii imezidi kuwa ya hovyo kuwahi kufanywa ndani ya CHADEMA..eti ya kuzuia UDIKTETA..Hivi baada ya yoooote aliyoyafanya MBOWE ndani ya CHADEMA anapata wapi authority, ama legitimacy ya kukemea Udikteta..?

Mimi najua kuwa CHADEMA ya sasa sio ile niliyokuwa mimi miongoni mwa Viongozi, maana sisi tulikuwa tunahoji na wakati mwingine kupinga UJINGA na UONEVU ndani ya Chama, hii ni CHADEMA ya ma-ZOMBIE yanayofuata kama WAFU wasio na roho wala maono. Chadema yenye Katibu Mkuu aliyefungwa hatamu, akivutwa kulia anakwenda na akivutwa kushoto ndio unakuwa muelekeo wake, yenye Viongozi wa BAVICHA waoga, wajinga, wasiofikiri, wasiojiuliza, wenye njaa na wanaojali maslahi ya matumbo yao na matumbo ya waliowaweka madarakani.

Ili nifanye thread hii kuwa fupi naomba nifanye marejeo ya Thread yangu ya tarehe 24 february, 2016 yenye anuani Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! na nyingine ni hii Waraka kwa vijana wa UKAWA: Ni wakati wa Mabadiliko hizo nyuzi mbili zinawatosha kabisa kuwa ni hadidu za rejea juu ya mwenendo na tabia zinazoonyesha udhaifu mkubwa wa MBOWE na matendo yake.

Kimsingi, operesheni hii nayo itakufa kifo cha kimya kimya kama ilivyo zingine zilizowahi kutangazwa huko nyuma bila kuacha mafanikio ya aina yeyote, ila kitu cha kipekee sana ambacho nikiri kuwa huko nyuma hakikuwahi kujitokeza ni jina lenyewe la operesheni, inaitwa Operesheni UKUTA...woow, what a brand name..!!!
Kama umeolewa basi huyo aliyekuoa yupo juu ya paaa
 
Tulisha kutumia ndani ya cdm na ukahamia ccm kama makapi,huna thamani yoyote ile mbele ya macho ya mwana cdm
 
Bavicha walipoteza jembe, sasa linawalima wenyewe, hapo bado yule mama wa bagamoyo university
Ungekuwa unamjua huyo alivyo mzigo wala usingekuwa na points kama hizi hapa jamvini
 
Hongera kwa kufunguka mkuu, afadhali sasa hivi mmeanza kidogo kidogo kufunguka watu wa aina yenu..... maana hapo Nyuma mawazo kama haya mlikuwa mnatolea chumbani .
Ha ha ha, haya mkuu,
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwanza hapa tanzania hakuna kitu kinaitwa BUNGE TUKUFU huu ni ujinga na upofu wa hali ya juu
 
Wewe ulishafukuzwa/hama toka cdm kipindi kirefu sasa nini kinakuwasha kuifuatilia cdm?
 
Nilikuwa CHADEMA na bado nipo hadi muda huu,ila ukweli ni kwamba kwa sasa chama kimepoteza mwelekeo.natamani kuhama ila sijui ntahamia chama gani
 
Eti sisi wananchi tulioichagua chadema ni mazombie na umekula kiapo hivi tukikupeleka mahakamani utajibu nini, wakuu mwenye picha ya Juliana naomba aitupie humu tuione
 
Mama wee, hata kama una hoja za msingi, kama uwezo wako wa kuandika kwa ufasaha ni duni; sisi wengine tutakudharau hata kabla hatujasoma hoja zako. Hakuna kitu kinachoitwa Masters on Sociology, wala hakuna kitu on progress. Naweza kuelewa Masters of Sociology au Master of Arts in Sociology. Pia naielewa phrase 'in progress' na sio on progress.

Napata kichefuchefu sana na huu uduni wa kutumia lugha, hasa unapofanywa na mtu aliyesoma masomo ya Arts. Kwa taarifa tu, wengine tumesoma sayansi na tuna shahada zaidi ya zako na alama A za kutosha kutungia beti mbili katika wimbo lakini hatujigambi kama wewe na wanasiasa wenzio mnaoona Elimu ni kitu cha kujivunia na sio kile ulichoifanyia jamii.
Wasomi mna mambo, kaka msamehe tu, unajua watu tumeanza kujifunza hiyo lugha tukiwa kidato cha kwanza, sasa si rahisi sana kuweza kuimiliki kama ipasavyo. Ameweza kufika hapo alipo kwakuwa anauwezo wa kiakili darasani alkini si kila mwenye akili ana uwezo wa lugha.
 
Cdm imeingiliwa na mdudu unaitwa
Fuata mkumbo
Zidumu fikra za Mbowe hatakama ni Ugoro mtupu.

Vijana wengi CHADEMA hawatumii akili kitafakari anayo yaropoka Mwenyekiti wao.

Mbowe Hana uwezo kuiongoza cdm ya sasa
Anatumia ubabe

"Akili ndogo kuongoza Akili kubwa"
Na wale wa ndiooooo...oo tuwaiteje?
 
Mbowe ni kiongozi mahiri ktk taifa hili, kitendo cha kila mtu kujifanya anaishauri CDM kinaonesha namna maadui wanavyoumia kwa ubunifu uliopo kwa sasa.
 
Jina: JULIANA SHONZAbona

Elimu: Shahada ya Uzamili (Masters on Sociology) – Shahada ya Uzamivu ( Phd – UDSM) on progress.

Kazi: Mbunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
====================================================

Kimsingi, operesheni hii nayo itakufa kifo cha kimya kimya kama ilivyo zingine zilizowahi kutangazwa huko nyuma bila kuacha mafanikio ya aina yeyote, ila kitu cha kipekee sana ambacho nikiri kuwa huko nyuma hakikuwahi kujitokeza ni jina lenyewe la operesheni, inaitwa Operesheni UKUTA...woow, what a brand name..!!!
Elimu: Shahada ya Uzamili (Masters on (in)Sociology) – Shahada ya Uzamivu ( Phd – UDSM) on (in) progress.

Kazi: Mbunge WA KUTEULIWA wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (always kamilisha 'phrases'/sentensi zako)

jina lenyewe la operesheni, inaitwa Operesheni UKUTA...woow, what a brand name..!!!

Mbona umeshangilia sana habari ya UKUTA, una uzoefu na mambo ya Ukuta?
 
Back
Top Bottom