Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Unashangaa nini bana kuba! anataka kuwa na PhD kama ya bana kuba huyo!Hizi Phd hizi balaa... ngoja nisiongeze neno nsije pigwa ban

ni mkimbizi wa akili zake mwenyeweNitajaribu kwa staha sana kama nilivyojaliwa na Mungu kujibu matusi yako kwa Chadema unayoiita ya Mazombie na wajinga pamoja na Mbowe.
Kwanza kuweka sawa kumbukumbu usitumie neno kujiondoa /kufukuzwa, tumia neno kufukuzwa tuu kwani hukuwahi kujiondoa.
Pili maamuzi ya operation UKUTA nani kakwambia ni ya Mbowe? yale kayatangaza Mbowe kwa niaba ya Kamati kuu na mbele ya Kamati kuu.
Kwa hiyo kwa hicho kiapo chako cha kisanii wale wazee wote wa KK ni wajinga na ma zombie? Unaelewa maana ya neno zombie ulilotumia kuwaita wazee kama Pro Baregu, Lowasa, Pro Safari, Sumaye na wengineo ambao wengi uko nao Bungeni? Pia wapo kina mama watu wazima katika list hiyo ambao uko nao Bungeni, jee unao ujasiri wa kuwa face na kuwaambia nyie ni mazombie?
Heshima inapaswa kutolewa kwa kila mtu, neno ZOMBIE ni tusi kubwa kuliko BWEGE maana zombie ni maiti inayotembea lakini bwege nafuu yake ni mtu hai.
Jee hudhani kwa matusi yako wewe ambaye ni verified user kwa watu ulio wataja kwa kiapo unastahili kuchukuliwa hatua za kisheria ili kurudisha heshima ya Jamiiforum?
OMBI:
Wale wanaohusika na sheria hebu oneni ni jinsi gani kuna weza kuwa na kesi ya kimtandao ili kupata rejea nzuri kwa ile kesi ya Arusha ambayo hata Bungeni iliombewa mwongozo. Litakuwa jambo jema kama kesi ya aina ile itaangukia kwa mbunge wakupewa wa ccm
Vipi Kamanda utasimamia UKUTA hapo 01/09/16?lumumba wewe! Huoni UDHALIMU na UDHAIFU wa Magufuli!?
Hujitambui wewe.
Why don't you celebrate having weak opponents? Why spend sleepless days and nights because of some weak inconsequential opposition party? Why is your chair (and prez), the whole cabinet and the rest of you up to the most down-to-dust JF-CCM fanatic conjuring some kind of scheme to oppress the "already powerless" CHADEMA. What's the fear?U must feel sorry for what u have as a leaders huko kwenu opposition, maana kama isingelikuwa kwa juhudi za watawala Tanzania would stink and sink..!!
Kimsingi, operesheni hii nayo itakufa kifo cha kimya kimya kama ilivyo zingine zilizowahi kutangazwa huko nyuma bila kuacha mafanikio ya aina yeyote
aisee jamaa umeongea point kubwa mnoo, mbowe hakukuti kwa IQMi huwa nasema hakuna chama hovyo kama sisimu, inawezekana kbs kukitoa madarakani ila wapinzani haswa chadema wanajichanganya wenyewe. Natoa changamoto moja tuu kwamba pamoja na mazuri anayofanya sasa hivi rais ktk uongozi wake bado mapungufu ni mengi sana ambayo na uhakika mpk 2020 upinzani watakuwa wana point za kuombea kura. Ila binafsi ninachofikiria kwa sasa ni wkt wa upinzani kuacha kwanza kukosoa utendaji wa mhe wala kuugomea na kushinikiza operation UKUTA, ila tuu wanachotakiwa kwa sasa ni kuhimiza upatikanaji wa KATIBA mpya ile ya warioba na nguvu zaidi ilekezwe kwenye kuwa na tume huru ya uchaguzi kbl ya 2020. Mbali na hivyo tunacheza makidamakida
Jina: JULIANA SHONZA
Kabila: Mnyiha wa Mbozi
Elimu: Shahada ya Uzamili (Masters on Sociology) – Shahada ya Uzamivu ( Phd – UDSM) on progress.
Ndoa: Nimeolewa
Umri: Miaka 30
Dini: Mkristo wa Dhehebu la Pentekoste
Kazi: Mbunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
====================================================
Kama ilivyoelekeza Sheria, na kwa Matakwa ya Kikatiba ninaanza Andiko langu kwa “Kiapo” ili itakapolazimu maneno yangu ya leo yatumike katika mabaraza ya Sheria na Mahakama kama rejea rasmi.
Maana ya neno “kiapo” kama nilivyolitumia linamaanisha kuwa ni maelezo anayotoa mtu ambayo mtu huyo anaamini kuwa ni sahihi na ya kweli. Na kwa kuwa inakubalika katika Sheria (Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 ya Sheria za Tanzania, kifungu cha 231) kutoa kiapo kwa njia ya maandishi, kama ifuatavyo;
’’Mimi, JULIANA SHONZA, Mtu mzima, Mkristo, Mama wa familia, Mkazi wa Songwe, nikiwa ninaelewa vya kutosha juu ya jambo ninalotaka kulitolea kiapo na hivyo NAAPA kuwa;
NIKIWA NA AKILI TIMAMU BILA KUSHAWISHIWA NA MTU AU KIKUNDI CHA WATU, NAAPA KUWA MAELEZO NITAKAYOYATOA HAPA KUHUSU MHE. FREEMAN AIKAELI MBOWE, (Mb) MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO NI SAHIHI, NA YA KWELI”
Ndugu wana jamvi wenzangu, nikiwa ndani ya kiapo naomba nieleze yafuatayo kuhusu UDHAIFU na UDHALIMU wa NDG. MBOWE, nitajitahidi nielekeze kwa ushahidi wa matukio na kwa ufupi kadri itakavyowezekana.
Nianze kwa kueleza kuwa wengi katika watu wanafahamu (ingawa kuna upotoshaji mkubwa ktk ufahamu huo) kuwa niliondoka / kuondolewa CHADEMA kwa sababu moja tu, nilidiriki kumnyooshea kidole MWENYEKITI MBOWE. Nikikosoa namna ya utendaji wake, nilitia shaka juu ya uwezo, maono, ufundi na maarifa yake katika kumudu aina ya siasa za sasa na hatma ya CHADEMA..nilifanya hivyo kwa maslahi mapana ya CHAMA hicho na NCHI yetu kwa ujumla.
Lakini kama ilivyo kwa viongozi WAOGA (cowards), mkuu wangu huyo (ambae hakuzoea kunyooshewa kidole) aliona nimemtusi, nimemkebehi na nimefanya jambo la kumvua nguo na kumshushia heshima na hakuwa tayari kuvumilia DHIHAKA hiyo..hakuwa tayari kukiri MAKOSA, hakuwa TAYARI kuruhusu UHURU wa kikatiba ulio kwa kila mwanachama wa CHADEMA kutumika, hakuwa tayari kuuona UKWELI, kwa kuwa tu UKWELI huo ulisemwa na JULIANA.
Nitaeleza matukio mawili (kati ya mengi) ambayo nilimkosoa MBOWE na ikawa mwanzo wa mtafaruku baina yetu na baina yangu na CHADEMA.
(a) Mnamo tarehe 16 Mei, 2012; (Kwa maelekezo ya MBOWE) Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mhe John Heche alitoa tamko la kumtuhumu Ndg John Magale Shibuda kuwa ni MSALITI kwa kitendo chake cha kutangaza hadharani kuwa atagombea URAIS kupitia CHADEMA mwaka 2015.
Baada ya TAMKO hilo, (nikiwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA) nilijitokeza hadharani kumpinga HECHE, na kumkosoa kuwa TAMKO lake halina Baraka za BAVICHA kwani hajamshirikisha Kiongozi yeyote wa BAVICHA na halikupitia vikao rasmi vya kikatiba, hivyo nikasema kuwa TAMKO hilo ni la HECHE na wala sio la BAVICHA, na nikasema kuwa hatuko tayari BAVICHA kutumika na MTU ndani ya Chama kupambana na MTU mwingine.
Mnamo tarehe 26/5/2012, Mnadhimu na Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu (kwa maelekezo ya Mbowe) akajitokeza hadharani na kusema HECHE yuko sahihi, na kwamba SHIBUDA ni pandikizi na msaliti. Kwa mara nyingine nikapinga hoja ya Lissu iliyonukuliwa kwenye Gazeti la Mwananchi la tarehe 27/5/2012 ukurasa wa 7. Nilisema Mwenyekiti HANA Absolute Mandate ya kuitumia BAVICHA anavyopenda.
(b) Mnamo tarehe 2, february 2013 katika vuguvugu la Mhe Zitto Kabwe kutangaza kuwania UENYEKITI wa CHADEMA na mimi kuhisiwa kuwa ni miongoni mwa wanaomuunga mkono, niliitwa na kutakiwa kujieleza hasa kutokana na hekaya iliyoitwa Ripoti ya Siri ya Mwenendo wa Kisiasa wa Zitto Z. Kabwe ndani na nje ya CHADEMA.
Kwa kuwa niliamini katika kweli, sikushindwa kutamka mbele ya kikao kile ambacho Mhe Baregu alikuwepo, Mbowe mwenyewe alikuwepo na Dr Kitila (akiwa bado CHADEMA) alikuwepo kuwa sina IMANI na uwezo na maarifa ya Mwenyekiti kukivusha Chama katika wakati huu, ni vyema na ni kutokana na utaratibu wa kidemokrasia ndani ya Chama uliokuwepo kikatiba watu wengine waruhusiwe kugombea na ikiwa wanachama wengi watakubali kufanya mabadiliko ya Mwenyekiti, UAMUZI wao uheshimiwe, miongoni mwa wanaotaka mabadiliko hayo ni pamoja na Mimi.
Baada ya Mjadala mrefu, nilijiengua/kuenguliwa CHADEMA kwa jina maarufu la wakati huo la MSALITI, maana kila aliyempinga MBOWE wakati huo na hata sasa aliitwa hivyo.
Baada ya kueleza kwa ufupi matukio hayo mawili yaliyothibitisha udhalimu wa Mbowe wa kutumia mabavu kuendesha Chama na kufanya maamuzi na kuonyesha alivyo Kiongozi Dhaifu, mwenye Woga na asiyejiamini (maana siku zote amekuwa akituma watu badala ya kujitokeza yeye mwenyewe), nirudi katika kadhia ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA iliyokutana Juzi na kuunda UKUTA.
Kwanza ieleweke kuwa sio mara ya kwanza CHADEMA kuunda opresheni zisizo na mbele wala nyuma, ila mwaka huu operesheni hii imezidi kuwa ya hovyo kuwahi kufanywa ndani ya CHADEMA..eti ya kuzuia UDIKTETA..Hivi baada ya yoooote aliyoyafanya MBOWE ndani ya CHADEMA anapata wapi authority, ama legitimacy ya kukemea Udikteta..?
Mimi najua kuwa CHADEMA ya sasa sio ile niliyokuwa mimi miongoni mwa Viongozi, maana sisi tulikuwa tunahoji na wakati mwingine kupinga UJINGA na UONEVU ndani ya Chama, hii ni CHADEMA ya ma-ZOMBIE yanayofuata kama WAFU wasio na roho wala maono. Chadema yenye Katibu Mkuu aliyefungwa hatamu, akivutwa kulia anakwenda na akivutwa kushoto ndio unakuwa muelekeo wake, yenye Viongozi wa BAVICHA waoga, wajinga, wasiofikiri, wasiojiuliza, wenye njaa na wanaojali maslahi ya matumbo yao na matumbo ya waliowaweka madarakani.
Ili nifanye thread hii kuwa fupi naomba nifanye marejeo ya Thread yangu ya tarehe 24 february, 2016 yenye anuani Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! na nyingine ni hii Waraka kwa vijana wa UKAWA: Ni wakati wa Mabadiliko hizo nyuzi mbili zinawatosha kabisa kuwa ni hadidu za rejea juu ya mwenendo na tabia zinazoonyesha udhaifu mkubwa wa MBOWE na matendo yake.
Kimsingi, operesheni hii nayo itakufa kifo cha kimya kimya kama ilivyo zingine zilizowahi kutangazwa huko nyuma bila kuacha mafanikio ya aina yeyote, ila kitu cha kipekee sana ambacho nikiri kuwa huko nyuma hakikuwahi kujitokeza ni jina lenyewe la operesheni, inaitwa Operesheni UKUTA...woow, what a brand name..!!!
Kwa mtazamo wangu, i think Umejieleza vyema sana. hongera.Jina: JULIANA SHONZA

ahahaah katoa comment ya mwendikasiahujaa ndiyo nini?
Sawa umempongeza huyo jamaa, lakini ajiulize hayo madai ya katiba mpya wanayawasilisha wapi kama bungeni hawana uhuru wa kutoa hoja, na pia hawana ruhusa ya kukutana na wadau? Unajua kukosoa wenzake ni rahisi sana. Aingie aicheze ngoma aone kama ni mteremko kama anavyodhani.aisee jamaa umeongea point kubwa mnoo, mbowe hakukuti kwa IQ