Hawezi kujibu bibi shonza
Mtu yeyote anaye mtuhumu Mh Mbowe namshangaa sana na inawezekana anaupungufu wa akili (Zezeta ) au ndo kwanza anaanza kujifunza siasa. Tanzania inavyama vyenye wenyeviti zaidi ya 22, hivyo njoo na data halisi tueleze ni mwenyekiti gani tokea awe mwenyekiti wa chama husika amepoteza au amepata. Kwa takwimu Mh Mbowe tokea awe mwenyekiti wa chama kilichokuwa hakifahamiki kabisa kwa watu mwaka 2004( watu wengi walikuwa wanajua vyama vya siasa tanzania ni CCM, TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi tu) kwa miaka 10 tu ya uongozi wake CHADEMA kimekuwa chama chenye nguvu kuliko hata Chama tawala yaani CCM, kila uchaguzi wabunge wanaongezeka ( pekee tanzania), Madiwani wanaongezeka (pekee tanzania), Wenyeviti wa mitaa na vijiji wanaongezeka (pekee Tanzania), Kura za wagombea Urais zinaongezeka (pekee Tanzania). Sasa kama angekuwa Dhaifu yote haya yangetokea. Mpeni Mh Mbowe haki yake , amefanya kazi kubwa sana Tanzania na sijui kama kuna Mwenyekiti atakuja kumfikia kwa mafanikio kwenye Chama chochote. Nasema leo wewe JS utalaaniwa kabisa , huwezi kumtukana mtu aliye leta mafanikio makubwa hivyo. Je Mh Mbowe baada ya kuwa Mwenyekiti 2004 angekiua kabisa chadema kama alivyofanya TLP, UDP, nk huo umaarufu unaokutesa ungeupata wapi? Naapa utalaaniwa kabisa hii ni sawa na kumtukana mama yako aliye kuzaa na kukulea kwa kuwa angeamua kukuua angekuua tu hivyo hivyo kwa Mbowe angeiua CDM sijui kama ungekuwa hapo ulipo wewe ******.