Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

Mawazo mapana sana kuwahi kutoka kwa mwanadada ww ni hazina na tunu ya taifa.. daima mbele
 
Jina: JULIANA SHONZA

Kabila: Mnyiha wa Mbozi

Elimu: Shahada ya Uzamili (Masters on Sociology) – Shahada ya Uzamivu ( Phd – UDSM) on progress.

Ndoa: Nimeolewa

Umri: Miaka 30

Dini: Mkristo wa Dhehebu la Pentekoste

Kazi: Mbunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
====================================================

Kama ilivyoelekeza Sheria, na kwa Matakwa ya Kikatiba ninaanza Andiko langu kwa “Kiapo” ili itakapolazimu maneno yangu ya leo yatumike katika mabaraza ya Sheria na Mahakama kama rejea rasmi.

Maana ya neno “kiapo” kama nilivyolitumia linamaanisha kuwa ni maelezo anayotoa mtu ambayo mtu huyo anaamini kuwa ni sahihi na ya kweli. Na kwa kuwa inakubalika katika Sheria (Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 ya Sheria za Tanzania, kifungu cha 231) kutoa kiapo kwa njia ya maandishi, kama ifuatavyo;

’’Mimi, JULIANA SHONZA, Mtu mzima, Mkristo, Mama wa familia, Mkazi wa Songwe, nikiwa ninaelewa vya kutosha juu ya jambo ninalotaka kulitolea kiapo na hivyo NAAPA kuwa;

NIKIWA NA AKILI TIMAMU BILA KUSHAWISHIWA NA MTU AU KIKUNDI CHA WATU, NAAPA KUWA MAELEZO NITAKAYOYATOA HAPA KUHUSU MHE. FREEMAN AIKAELI MBOWE, (Mb) MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO NI SAHIHI, NA YA KWELI”

Ndugu wana jamvi wenzangu, nikiwa ndani ya kiapo naomba nieleze yafuatayo kuhusu UDHAIFU na UDHALIMU wa NDG. MBOWE, nitajitahidi nielekeze kwa ushahidi wa matukio na kwa ufupi kadri itakavyowezekana.

Nianze kwa kueleza kuwa wengi katika watu wanafahamu (ingawa kuna upotoshaji mkubwa ktk ufahamu huo) kuwa niliondoka / kuondolewa CHADEMA kwa sababu moja tu, nilidiriki kumnyooshea kidole MWENYEKITI MBOWE. Nikikosoa namna ya utendaji wake, nilitia shaka juu ya uwezo, maono, ufundi na maarifa yake katika kumudu aina ya siasa za sasa na hatma ya CHADEMA..nilifanya hivyo kwa maslahi mapana ya CHAMA hicho na NCHI yetu kwa ujumla.

Lakini kama ilivyo kwa viongozi WAOGA (cowards), mkuu wangu huyo (ambae hakuzoea kunyooshewa kidole) aliona nimemtusi, nimemkebehi na nimefanya jambo la kumvua nguo na kumshushia heshima na hakuwa tayari kuvumilia DHIHAKA hiyo..hakuwa tayari kukiri MAKOSA, hakuwa TAYARI kuruhusu UHURU wa kikatiba ulio kwa kila mwanachama wa CHADEMA kutumika, hakuwa tayari kuuona UKWELI, kwa kuwa tu UKWELI huo ulisemwa na JULIANA.

Nitaeleza matukio mawili (kati ya mengi) ambayo nilimkosoa MBOWE na ikawa mwanzo wa mtafaruku baina yetu na baina yangu na CHADEMA.

(a) Mnamo tarehe 16 Mei, 2012; (Kwa maelekezo ya MBOWE) Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mhe John Heche alitoa tamko la kumtuhumu Ndg John Magale Shibuda kuwa ni MSALITI kwa kitendo chake cha kutangaza hadharani kuwa atagombea URAIS kupitia CHADEMA mwaka 2015.

Baada ya TAMKO hilo, (nikiwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA) nilijitokeza hadharani kumpinga HECHE, na kumkosoa kuwa TAMKO lake halina Baraka za BAVICHA kwani hajamshirikisha Kiongozi yeyote wa BAVICHA na halikupitia vikao rasmi vya kikatiba, hivyo nikasema kuwa TAMKO hilo ni la HECHE na wala sio la BAVICHA, na nikasema kuwa hatuko tayari BAVICHA kutumika na MTU ndani ya Chama kupambana na MTU mwingine.

Mnamo tarehe 26/5/2012, Mnadhimu na Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu (kwa maelekezo ya Mbowe) akajitokeza hadharani na kusema HECHE yuko sahihi, na kwamba SHIBUDA ni pandikizi na msaliti. Kwa mara nyingine nikapinga hoja ya Lissu iliyonukuliwa kwenye Gazeti la Mwananchi la tarehe 27/5/2012 ukurasa wa 7. Nilisema Mwenyekiti HANA Absolute Mandate ya kuitumia BAVICHA anavyopenda.

(b) Mnamo tarehe 2, february 2013 katika vuguvugu la Mhe Zitto Kabwe kutangaza kuwania UENYEKITI wa CHADEMA na mimi kuhisiwa kuwa ni miongoni mwa wanaomuunga mkono, niliitwa na kutakiwa kujieleza hasa kutokana na hekaya iliyoitwa Ripoti ya Siri ya Mwenendo wa Kisiasa wa Zitto Z. Kabwe ndani na nje ya CHADEMA.

Kwa kuwa niliamini katika kweli, sikushindwa kutamka mbele ya kikao kile ambacho Mhe Baregu alikuwepo, Mbowe mwenyewe alikuwepo na Dr Kitila (akiwa bado CHADEMA) alikuwepo kuwa sina IMANI na uwezo na maarifa ya Mwenyekiti kukivusha Chama katika wakati huu, ni vyema na ni kutokana na utaratibu wa kidemokrasia ndani ya Chama uliokuwepo kikatiba watu wengine waruhusiwe kugombea na ikiwa wanachama wengi watakubali kufanya mabadiliko ya Mwenyekiti, UAMUZI wao uheshimiwe, miongoni mwa wanaotaka mabadiliko hayo ni pamoja na Mimi.

Baada ya Mjadala mrefu, nilijiengua/kuenguliwa CHADEMA kwa jina maarufu la wakati huo la MSALITI, maana kila aliyempinga MBOWE wakati huo na hata sasa aliitwa hivyo.

Baada ya kueleza kwa ufupi matukio hayo mawili yaliyothibitisha udhalimu wa Mbowe wa kutumia mabavu kuendesha Chama na kufanya maamuzi na kuonyesha alivyo Kiongozi Dhaifu, mwenye Woga na asiyejiamini (maana siku zote amekuwa akituma watu badala ya kujitokeza yeye mwenyewe), nirudi katika kadhia ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA iliyokutana Juzi na kuunda UKUTA.

Kwanza ieleweke kuwa sio mara ya kwanza CHADEMA kuunda opresheni zisizo na mbele wala nyuma, ila mwaka huu operesheni hii imezidi kuwa ya hovyo kuwahi kufanywa ndani ya CHADEMA..eti ya kuzuia UDIKTETA..Hivi baada ya yoooote aliyoyafanya MBOWE ndani ya CHADEMA anapata wapi authority, ama legitimacy ya kukemea Udikteta..?

Mimi najua kuwa CHADEMA ya sasa sio ile niliyokuwa mimi miongoni mwa Viongozi, maana sisi tulikuwa tunahoji na wakati mwingine kupinga UJINGA na UONEVU ndani ya Chama, hii ni CHADEMA ya ma-ZOMBIE yanayofuata kama WAFU wasio na roho wala maono. Chadema yenye Katibu Mkuu aliyefungwa hatamu, akivutwa kulia anakwenda na akivutwa kushoto ndio unakuwa muelekeo wake, yenye Viongozi wa BAVICHA waoga, wajinga, wasiofikiri, wasiojiuliza, wenye njaa na wanaojali maslahi ya matumbo yao na matumbo ya waliowaweka madarakani.

Ili nifanye thread hii kuwa fupi naomba nifanye marejeo ya Thread yangu ya tarehe 24 february, 2016 yenye anuani Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! na nyingine ni hii Waraka kwa vijana wa UKAWA: Ni wakati wa Mabadiliko hizo nyuzi mbili zinawatosha kabisa kuwa ni hadidu za rejea juu ya mwenendo na tabia zinazoonyesha udhaifu mkubwa wa MBOWE na matendo yake.

Kimsingi, operesheni hii nayo itakufa kifo cha kimya kimya kama ilivyo zingine zilizowahi kutangazwa huko nyuma bila kuacha mafanikio ya aina yeyote, ila kitu cha kipekee sana ambacho nikiri kuwa huko nyuma hakikuwahi kujitokeza ni jina lenyewe la operesheni, inaitwa Operesheni UKUTA...woow, what a brand name..!!!

Naomba unijibu maswali mawili tu.
1. umesema kua ulipingana na mwkt wako mbowe kutokana na mambo unayodhani hayakua sawa kwa mtazamo wako, je leo uko ccm unaweza kupingana na mwkt wako magufuli ukabaki salama? hata kwa jambo ambalo we uko sahihi?
2. je unaamimini mpaka sasa kua shibuda hakuwa pandikizi?
 
Huyu sista du kashapewa ubunge anapiga kelele huku
 
Juliana Shonza Mbowe angekuwa dhaifu mngekuwa mnahangaika naye kama ulivyofanya humu JF ungepoteza muda wako kuandika thread kuhusu mtu dhaifu? inaonekana wewe ndo dhaifu Mbowe anawanyima sana usingizi huko CCM salamu za operesheni UKUTA zimewaamsha tumejiandaa kuupinga udikteta uchwara popote pale
 
Kma haupo cdm nn kinachokuuma hta kma litakufa?, kila mwaka mnasema lkn ndio idadi ya wabunge inaongezeka, hakuna bnadam asiye Na mapungufu, hta ww mwandishi una mapungufu yko, kuongoza watu sio wote watakukubali, hta sasa ndani ya ccm kuna watu hawamkubali jpm,
 
Hao ndio wanaharakati wanataka 50/50 hebu fikiria rais mwanamke,makamo mwanamke ,waziri mkuu mwanamke tena wawe na tabia ya mipasho kama huyu Juliana Shonza.Itakua mipasho namna hii kwenda mbele.Ikibidi wataanika hata walivyotongozwa wakiwa sekondari .
 
Hakuna namna ya kuwasaidia,

Babu zetu baadhi yao wenyewe tu hata walipokuwa na mpagazi mmoja, bado walikubali kufungwa kamba mikononi na shingoni kufanywa watumwa

Hata zile nyakati za ukoloni, kuna siku ambayo wazungu hawakuwepo kabisa ila bado tulikaa kwenye nira ya utumwa

tunasemaje basi kuhusu wnaoenda kwa waganga wa kienyeji?

wanachadema, hata kama wakitukana ni watu ambao, walisalitiwa mioyo yao, akili zao, matumaini yao na haki zao za msingi!

ni wafuata mkumbo, ni wajinga wa zama zile , zama hizi na leo

Huenda walisalitiwa, lakini kimsingi adui yao mkubwa kwenye huu usaliti alibaki kuwa ccm ndiyo maana hata baada ya kusalitiwa walibaki kuona labda jini wasilolijua huenda likawa mkombozi kwao kuliko hili walilokuwa nalo tangu uhuru lakini likawaangusha kama ccm ilivyofanya ,sasa hivi raslimali zinavunwa kwa fujo lakini kinachowekezwa kinatokana na deni la taifa linalo zidi kupaa. Ndiyo maana wenye macho walitaka mabadiliko.
 
Jina: JULIANA SHONZA

Kabila: Mnyiha wa Mbozi

Elimu: Shahada ya Uzamili (Masters on Sociology) – Shahada ya Uzamivu ( Phd – UDSM) on progress.

Ndoa: Nimeolewa

Umri: Miaka 30

Dini: Mkristo wa Dhehebu la Pentekoste

Kazi: Mbunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
====================================================

Kama ilivyoelekeza Sheria, na kwa Matakwa ya Kikatiba ninaanza Andiko langu kwa “Kiapo” ili itakapolazimu maneno yangu ya leo yatumike katika mabaraza ya Sheria na Mahakama kama rejea rasmi.

Maana ya neno “kiapo” kama nilivyolitumia linamaanisha kuwa ni maelezo anayotoa mtu ambayo mtu huyo anaamini kuwa ni sahihi na ya kweli. Na kwa kuwa inakubalika katika Sheria (Sheria ya Ushahidi, Sura ya 6 ya Sheria za Tanzania, kifungu cha 231) kutoa kiapo kwa njia ya maandishi, kama ifuatavyo;

’’Mimi, JULIANA SHONZA, Mtu mzima, Mkristo, Mama wa familia, Mkazi wa Songwe, nikiwa ninaelewa vya kutosha juu ya jambo ninalotaka kulitolea kiapo na hivyo NAAPA kuwa;

NIKIWA NA AKILI TIMAMU BILA KUSHAWISHIWA NA MTU AU KIKUNDI CHA WATU, NAAPA KUWA MAELEZO NITAKAYOYATOA HAPA KUHUSU MHE. FREEMAN AIKAELI MBOWE, (Mb) MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO NI SAHIHI, NA YA KWELI”

Ndugu wana jamvi wenzangu, nikiwa ndani ya kiapo naomba nieleze yafuatayo kuhusu UDHAIFU na UDHALIMU wa NDG. MBOWE, nitajitahidi nielekeze kwa ushahidi wa matukio na kwa ufupi kadri itakavyowezekana.

Nianze kwa kueleza kuwa wengi katika watu wanafahamu (ingawa kuna upotoshaji mkubwa ktk ufahamu huo) kuwa niliondoka / kuondolewa CHADEMA kwa sababu moja tu, nilidiriki kumnyooshea kidole MWENYEKITI MBOWE. Nikikosoa namna ya utendaji wake, nilitia shaka juu ya uwezo, maono, ufundi na maarifa yake katika kumudu aina ya siasa za sasa na hatma ya CHADEMA..nilifanya hivyo kwa maslahi mapana ya CHAMA hicho na NCHI yetu kwa ujumla.

Lakini kama ilivyo kwa viongozi WAOGA (cowards), mkuu wangu huyo (ambae hakuzoea kunyooshewa kidole) aliona nimemtusi, nimemkebehi na nimefanya jambo la kumvua nguo na kumshushia heshima na hakuwa tayari kuvumilia DHIHAKA hiyo..hakuwa tayari kukiri MAKOSA, hakuwa TAYARI kuruhusu UHURU wa kikatiba ulio kwa kila mwanachama wa CHADEMA kutumika, hakuwa tayari kuuona UKWELI, kwa kuwa tu UKWELI huo ulisemwa na JULIANA.

Nitaeleza matukio mawili (kati ya mengi) ambayo nilimkosoa MBOWE na ikawa mwanzo wa mtafaruku baina yetu na baina yangu na CHADEMA.

(a) Mnamo tarehe 16 Mei, 2012; (Kwa maelekezo ya MBOWE) Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mhe John Heche alitoa tamko la kumtuhumu Ndg John Magale Shibuda kuwa ni MSALITI kwa kitendo chake cha kutangaza hadharani kuwa atagombea URAIS kupitia CHADEMA mwaka 2015.

Baada ya TAMKO hilo, (nikiwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA) nilijitokeza hadharani kumpinga HECHE, na kumkosoa kuwa TAMKO lake halina Baraka za BAVICHA kwani hajamshirikisha Kiongozi yeyote wa BAVICHA na halikupitia vikao rasmi vya kikatiba, hivyo nikasema kuwa TAMKO hilo ni la HECHE na wala sio la BAVICHA, na nikasema kuwa hatuko tayari BAVICHA kutumika na MTU ndani ya Chama kupambana na MTU mwingine.

Mnamo tarehe 26/5/2012, Mnadhimu na Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu (kwa maelekezo ya Mbowe) akajitokeza hadharani na kusema HECHE yuko sahihi, na kwamba SHIBUDA ni pandikizi na msaliti. Kwa mara nyingine nikapinga hoja ya Lissu iliyonukuliwa kwenye Gazeti la Mwananchi la tarehe 27/5/2012 ukurasa wa 7. Nilisema Mwenyekiti HANA Absolute Mandate ya kuitumia BAVICHA anavyopenda.

(b) Mnamo tarehe 2, february 2013 katika vuguvugu la Mhe Zitto Kabwe kutangaza kuwania UENYEKITI wa CHADEMA na mimi kuhisiwa kuwa ni miongoni mwa wanaomuunga mkono, niliitwa na kutakiwa kujieleza hasa kutokana na hekaya iliyoitwa Ripoti ya Siri ya Mwenendo wa Kisiasa wa Zitto Z. Kabwe ndani na nje ya CHADEMA.

Kwa kuwa niliamini katika kweli, sikushindwa kutamka mbele ya kikao kile ambacho Mhe Baregu alikuwepo, Mbowe mwenyewe alikuwepo na Dr Kitila (akiwa bado CHADEMA) alikuwepo kuwa sina IMANI na uwezo na maarifa ya Mwenyekiti kukivusha Chama katika wakati huu, ni vyema na ni kutokana na utaratibu wa kidemokrasia ndani ya Chama uliokuwepo kikatiba watu wengine waruhusiwe kugombea na ikiwa wanachama wengi watakubali kufanya mabadiliko ya Mwenyekiti, UAMUZI wao uheshimiwe, miongoni mwa wanaotaka mabadiliko hayo ni pamoja na Mimi.

Baada ya Mjadala mrefu, nilijiengua/kuenguliwa CHADEMA kwa jina maarufu la wakati huo la MSALITI, maana kila aliyempinga MBOWE wakati huo na hata sasa aliitwa hivyo.

Baada ya kueleza kwa ufupi matukio hayo mawili yaliyothibitisha udhalimu wa Mbowe wa kutumia mabavu kuendesha Chama na kufanya maamuzi na kuonyesha alivyo Kiongozi Dhaifu, mwenye Woga na asiyejiamini (maana siku zote amekuwa akituma watu badala ya kujitokeza yeye mwenyewe), nirudi katika kadhia ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA iliyokutana Juzi na kuunda UKUTA.

Kwanza ieleweke kuwa sio mara ya kwanza CHADEMA kuunda opresheni zisizo na mbele wala nyuma, ila mwaka huu operesheni hii imezidi kuwa ya hovyo kuwahi kufanywa ndani ya CHADEMA..eti ya kuzuia UDIKTETA..Hivi baada ya yoooote aliyoyafanya MBOWE ndani ya CHADEMA anapata wapi authority, ama legitimacy ya kukemea Udikteta..?

Mimi najua kuwa CHADEMA ya sasa sio ile niliyokuwa mimi miongoni mwa Viongozi, maana sisi tulikuwa tunahoji na wakati mwingine kupinga UJINGA na UONEVU ndani ya Chama, hii ni CHADEMA ya ma-ZOMBIE yanayofuata kama WAFU wasio na roho wala maono. Chadema yenye Katibu Mkuu aliyefungwa hatamu, akivutwa kulia anakwenda na akivutwa kushoto ndio unakuwa muelekeo wake, yenye Viongozi wa BAVICHA waoga, wajinga, wasiofikiri, wasiojiuliza, wenye njaa na wanaojali maslahi ya matumbo yao na matumbo ya waliowaweka madarakani.

Ili nifanye thread hii kuwa fupi naomba nifanye marejeo ya Thread yangu ya tarehe 24 february, 2016 yenye anuani Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! na nyingine ni hii Waraka kwa vijana wa UKAWA: Ni wakati wa Mabadiliko hizo nyuzi mbili zinawatosha kabisa kuwa ni hadidu za rejea juu ya mwenendo na tabia zinazoonyesha udhaifu mkubwa wa MBOWE na matendo yake.

Kimsingi, operesheni hii nayo itakufa kifo cha kimya kimya kama ilivyo zingine zilizowahi kutangazwa huko nyuma bila kuacha mafanikio ya aina yeyote, ila kitu cha kipekee sana ambacho nikiri kuwa huko nyuma hakikuwahi kujitokeza ni jina lenyewe la operesheni, inaitwa Operesheni UKUTA...woow, what a brand name..!!!
Umeandika kwa nguvu ya tumbo!Mbwembwe zote ulizoanza nazo kumbe una light content namna hii!No wonder wasomi nchi hii wamekua sehemu ya kutengeneza matatizo na si kutatua!
 
Umesema kweli, lakini naendelea kujiuliza wana nini watu hata mioyo yao ikubali kufungwa, wakubali kuwa watumwa na manamba wa fikra na mitazamo. maana watu hawa wamekuwa kama Nanga ya Merikebu, wanasubiri kuzingwa kwa kamba na kuzamishwa majini.
Msiwatusi hadharani hivi watanzania ambao kwa miaka zaidi ya 50 mmewapa matumaini hewa huku mkijinufaisha na familia zenu halafu bado wkaendelea kuwachagua!
 
Sawa, Dada, but you went a little overboard by characterizing this as an affidavit. If you really meant it, you should have complied with the standard requirements of an affidavit. By definition, an affidavit is a written sworn statement of fact voluntarily made by an affiant or deponent under an oath or affirmation administered by a person authorized to do so by law. Such statement is witnessed as to the authenticity of the affiant's signature by a taker of oaths, such as a notary public or commissioner of oaths.

You're right, though; Mbowe is probably one of the least qualified political leaders in the opposition coalition to credibly lecture on democracy or deliver a rebuke on acts of dictatorship. A meaningful fight against acts of dictatorship is a bottom-up (not a top-down) process. No one in their right mind can reasonably dream of ridding a nation of acts of dictatorship without first ridding individual political parties (within that nation) of the acts of dictatorship. It's insane to do so!

Sometimes I am left disoriented, not knowing what actually the likes of Mbowe and Maalim would do if they had the prerogative powers to give orders to our security forces. If they are engaged in undemocratic acts now while they don't even have control over the security forces, will they actually be willing to relinquish power when they have control over the security forces?
 
Vipi ile kauli ya chama kuhusu kupigania ufisadi imeishia wapi bado hamjajielewa na itafika kiama hamtojielewa kwa siasa hizi Za kitoto,
ww mi sio CDM wala CCM nlijarbu kuchanganua sababu nlkuona ww huelew udkteta unavyodidmiza maendeleo ya jamii, kwanza elimu yang darasa la pili niache kwanza had nmalze la saba
 
Uwezo wa shonza ni zaidi ya wabunge kumi wa ukawa akiwemo mbowe,lema,sugu,msigwa na wengine wengi.
 
Kisaikolojia huyu dada na anatatizo la ki-psychologia .kabla hajapost ameanza na CV hiyo ni anatafuta social justification kuwa yuko smart,na nimetizama social pattern za makundi anayojiweka ,ulokole,u-mbozi,mwepesi kuapa kwa jambo dogo, hii inamaanisha alikuwa na trend fulani ya kufeed her ego( nafsi yake) lakini ghafla akakatishwa(kutolewa chadema) na amebidi achukue njia mpya ambayo inamchanganya kwani haikuwa long term plan yake hata ikifanikiwa,anajikuta anatamani sana jukwaa la kuwaprove hawafai kina mbowe kama njia pekee ya kuilisga ego yake yenye njaa hiyo,hii inaweza kuwa utotoni aliugua
Pervasive refusal syndrome inayopelekea ukubwani mtu kushindwa kukubali kushindwa ,kupingwa, ukimsoma vizuri utagundua ana strict love of rules hii unakuta mtu uliwahi mfanyia kosa dogo anakununia maisha huwa ni ugonjwa unaoitwa Obsessive-compulsive personality disorder yaani kupenda sana sheria na ukamilifu kwa kiwango kisicho practical in real world ndo unamkuta mtu kitu kidogo anaapa kwa uhai wa mama yake.Mimi nimeelezea kitaalamu tu sipo vyenu vya mashindano.
USHAURI BINAFSI
Tafuta mwana-psychologia akupe tips za kuachana na hilo,lakini pili tumia akili muda wako mwingi kuconcentrate kwenye ulilochagua (kuwa ccm na ukajaaliwa ubunge) kazana kutimiza ahadi zako na kukijenga chama chako mambo ya mbowe ni mwema au mbaya hayana tija tena kwako hata ukiwaprovia watu kuwa ni kweli mbaya ukafanikiwa then whattt ??? unapata nini? zeroo.

Siasa is all about ushawishi ndo maana wanasiasa huvaa vizuri hutafuta maneno mazuri na vichekesho kuwavuta watu ili watawale huwapa watu imagination kwa ushawishi juu ya maisha bora yajayo ili watu waweke matumaini wawatawale,kimsingi mbowe na wenzake walikushinda ushawishi wewe na zitto labda waliwazidi timing au waliwawahi etc Ona mwenzio zitto hana muda na waliomtoa ndo kwanza tunamuona nao mabaa anajua game vizuri.

Angalia hata CCM si kweli kwamba lowassa ni mchafu kihivyo but its a game ,mchafu aliteuliwaje kuwa wazili awamu zote za nyerere ,mwinyi,mkapa,kikwete , kuna mawili nimmojawao alie wasaliti kwenye dili au wote ni wachafu.kilichotokea ni kikwete alimzidi mbinu za kisoka kwenye siasa ,Hakuna aliemsafi hata mmoja wote ni waongo na wanafiki cha msingi play your game ukijua just because you dont eat lions meat doesnt mean the lion will not eat you.
 
Naikumbuka kauli ya mheshimiwa, "NG'OMBE ASIYE NA MKIA"

Wakati huu wa Mheshimiwa kila mwana CCM anajifanya kuwa muaminifu kwa Chama na kuushutumu upinzani kwa kila jambo hasa wale Ng'ombe wasio na mikia, hawa wanapenda sana kujionyesha kuwa ni waaminifu kwa chama

KWA UONGOZI HUU "TIME WILL TELL"
 
Back
Top Bottom