Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

Zoezi la uhakiki wa vyeti vya elimu kwa wabunge lianze haraka.
 
So sad!!! Dada yangu umekiri una watoto jitahidi kuwalea siasa hujui sister!!! Ulichoandika ni umbea MTU wangu, toa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndipo uone kibanzi ndani ya jicho LA Mbowe, umesahau majungu uliyopiga badala ya kueneza Sera za chama ukiwa bavicha? Eleza mafanikio uliyopata ukiwa bavicha ndipo umshambulie Mbowe. Jikite kuwatumikia wananchi wako, don't waste you're time fighting with winds, time will tell not you, my dear.
 
......wewe jamaa mbona mweupe sana, hapa unajaza blabla halafu unasema hutaki blabla!, huo uwezo wa Zitto unaupimaje?!, kwa kua na mbunge mmoja ACT au!!

Umeshiba maneno ya kusikia mtaani mpk umevimbiwa!, hujui kila taasisi inataratibu zake?!, huyo Zitto wako alivyotengeneza makundi ya kumpindua Mbowe ndio ujanja kwa akili yako!, inayofanana na role model wako juliana?!

....akili yenyewe ya kuuliza swali huna!, halafu unaliita swali la msingi "kwa uwezo wako", hilo swali la kitoto sana!
Daa mambo ya mtandao bana yanatudhalilisha watu na heshima zetu, sawa bana mdogo umeshinda naona level yako ya juu sana sikuwezi. Kila la kheri na CHADEMA yako, nawaombea muwe wapinzani wa kutisha ili kuleta tija kwa taifa hili kwakuwa aliokuwa madarakani wanahitaji upinzani uliotukuka na wa kweli na mkisimamia hapo sisi Watanzania wote na hasa tusio na vyama tutawasapoti nia ni kusonga mbele na si ushabiki usio na maana kwaajili ya mapenzi ya chama changu.
 
Yesu alipopewa zawaidi Yuda (msaliti) alipendekeza iuzwe na wapewe masikini. Je, hii ni hoja mbaya? Unaweza kujua kwa kutoa hoja hii ndani ya roho yake alisukumwa na wivu, uroho wa hela (shetani). Ninachojua wewe ni msaliti, sasa tuambie tarehe kamili ya wewe kuanza usaliti, ulianza kabla ya hizo tarehe ulizozitaja ulipokuwa unampinga Mbowe na kuhoji uwezo wake au baada ya kutoka chadema?
 
Naomba aliyeona jipya anisaidie na mimi nione tafadhali.
Wewe si mtu wa kuonyeshwa jambo. Biblia inasema lililofungwa mbinguni duniani hakuna wa kulifungua.

Wewe umepewa upofu kutoka mbinguni, atajisumbua tu kila atakayejaribu kukuonesha lolote lile liwe jipya au chakavu.
 
Hili ni tatizo LA vyuo vyetu kuzalisha wasomi wajinga na bahati mbaya sana sasa hivi ni wengi sana kwenye udas na ukurugenzi huko
Ajabu iliyoje..!!
Watu walio tayari form six failure awe Kiongozi wao mkuu wajishughulishe na kujali na kukosoa elimu za watu.
 
....mbunge sharti ajue kusoma na kuandika, nothing else! (katiba ya Tz 1977).
Nafahamu Mkuu
Ila kwa hawa wenye kujikweza kielimu ipo haja ya uhakiki, nadhani umeisoma vyema thread ya PhD mtarajiwa kutoka UDSM (Just a disgrace to UDSM)
 
Unatumia kivuli cha upentekoste ili tuone umeongea ukweli saana... Bado bado, liyekuagiza mwambie akupe maelekezo vzuri kuna sehemu hapo naona umeenda chaka kabisa tofauti na akiyekuagiza...

Yani ni bora usingeweka hilo neno mpentekoste tujue moja.. Nyie ndo wale mnaolala hivi aaf mnaamka vile... Shahada this shahada that, they will bring you nowhere...

Note: No one leave the political party without criticizing what he/she has left behind hata kama ni kizuri.
 
Unatumia kivuli cha upentekoste ili tuone umeongea ukweli saana... Bado bado, liyekuagiza mwambie akupe maelekezo vzuri kuna sehemu hapo naona umeenda chaka kabisa tofauti na akiyekuagiza...

Yani ni bora usingeweka hilo neno mpentekoste tujue moja.. Nyie ndo wale mnaolala hivi aaf mnaamka vile... Shahada this shahada that, they will bring you nowhere...

Note: No one leaves the political party without criticizing what he/she has left behind hata kama ni kizuri.
 
Daa mambo ya mtandao bana yanatudhalilisha watu na heshima zetu, sawa bana mdogo umeshinda naona level yako ya juu sana sikuwezi. Kila la kheri na CHADEMA yako, nawaombea muwe wapinzani wa kutisha ili kuleta tija kwa taifa hili kwakuwa aliokuwa madarakani wanahitaji upinzani uliotukuka na wa kweli na mkisimamia hapo sisi Watanzania wote na hasa tusio na vyama tutawasapoti nia ni kusonga mbele na si ushabiki usio na maana kwaajili ya mapenzi ya chama changu.

....ungekuwa na uelewa wakutosha ungeweza ni convince; bt kwa kutumia hii mada iliyoletwa hapa, huwezi nidanganya kitu!, mleta mada mwenyewe kakimbia since day one kuthibitisha alichokiandika hapa ni pumba, halafu wewe pekee unamuona "genious wako"!

Nikwambie kitu mdogo wangu; siku zote kwenye maisha usimpime msomi kwa CV yake (like PhD in progress damn shit!),mpime kwa kuchambua kile alichokiandika, je kina relevance kwenye real situation?, haiwezekani mtu akakwambia nilimpinga Mbowe nikafukuzwa Chadema; just like that!, je huko alikokwenda hajawahi kuona baya lolote la kupinga all these days!, utaona vizuri jinsi "msomi wako" anavyotetea tumbo!
 
Kabla haujapost naomba uwe unasoma Kwanza post zako wewe mwenyewe uone kama zinaeleweka.
 
Haya maneno si mapya maana umeyasema kama miaka kumi sasa na Chadema inaendelea kuwepo kwa nguvu kiasi kwamba mnaanza kutumia nguvu kuikabili.
Huna Hoja na huna jipya msimbe wewe.
Njaa itakuua ng'ombe asiye na mkia.
 
U must feel sorry for what u have as a leaders huko kwenu opposition, maana kama isingelikuwa kwa juhudi za watawala Tanzania would stink and sink..!!
Tukiachana na Mbowe/ uongozi wa CDM. Je, tunaelekea kama nchi mahali ambapo tunapataka?
Je, raisi wetu anafanya sawia kutoa makatazo alotoa?
 
Tukiachana na Mbowe/ uongozi wa CDM. Je, tunaelekea kama nchi mahali ambapo tunapataka?
Je, raisi wetu anafanya sawia kutoa makatazo alotoa?
Nimewahi kuwa na mashaka juu ya mambo mengi sana lakini sijawahi kuwa na mashaka juu ya nia na dhamira ya Dkt Magufuli ya kutaka Tanzania yaViwanda
 
Nimewahi kuwa na mashaka juu ya mambo mengi sana lakini sijawahi kuwa na mashaka juu ya nia na dhamira ya Dkt Magufuli ya kutaka Tanzania yaViwanda
Lengo na nia vyaweza kuwa vizuri, lakini tunafikiaje hilo lengo??
 
Nimewahi kuwa na mashaka juu ya mambo mengi sana lakini sijawahi kuwa na mashaka juu ya nia na dhamira ya Dkt Magufuli ya kutaka Tanzania yaViwanda
Watu wananyimwa uhuru wa kueleza fikra zao, vyama vya siasa vinanyimwa uhuru wa kufanya mikutano na maandamano ili iweje? Ndo viwanda vije?

Unaanzaje kufikiria kuwafanyisha kazi watu kwa nguvu kwa mfano?

Simplistic thinking matatizo makubwa kama ukosefu wa ajira huwezi ukayamaliza kirahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom