USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

Wew tatizo ni mshamba na una kitu kinaitwa conservativeness ya jamii yako tushapiga parefu tembea jua familia yako unaleta showoff za kishamba hao wakina bakhresa wangerudi kwao kuwekeza mbona wako bongo

We ushapiga parefu una Maisha yako shobo za nn na kwenu watu wa karibu wabaya sana usiambiwe.

Mi tangu nipate matatizo kipindi fulani nilipokuwa chuo maana nilirudi home kufika nikawa sioni yaani macho nikapata upenyo kuja chuo tena nilikuja kwa ishu postpone nilikuja dar nikakaa siku tatu nikapona ghafla machale yakanicheza kule kuna tatizo sina asili sina ukabila nikaona kule hakunipendi japo ni kwetu sijarudi tena mpaka nilienda naishia lodge nakutana na mzee juu kwa juu nampa pesa nalisha familia kila nwezi mm nilishagundua michezo michafu sirudi labda maiti yangu ndo itarudi mbele kwa mbele

Watu ni wajinga sana wanachukia mafanikio ni mzee nilimchana nikamwambia hapo kwako sitafika ndugu zako wanga shenzi kabisa nilipofaulu tu anatangaza kila mtu anajua michongo nilishtua sikutaka zawadi wala kufanyiwa graduation wala sherehe tangu naanza nursery hizo zawadi watu wanaweka mauchawi yoa humu ndo maana hawaendelei ujinga tu
Ikikupendeza mtaje mkoa au wilaya ili kuwafunza madogo wanaokuja yasiwakute.
 
Hii dunia ionen tu iv iv mpaka nikajiita mbeba lawama ilkua hiv.. katka familia mm kama mtoto w kiume kuzalia katikat nlbahatika kupata Kaz katika umr mdogo Sana Kaz ilnlpa pa kubwa Sana na kwakua skua na majukum nliona pesa yangu ndio iwe nguzo kwa ndugu zangu wengne na tumezaliwa pande mbil Yan kwetu na was mama mwngne nlipo jchanganya n kuanza kusaidia na wale wengne s ndio wakaanza kuleta maneno anajkuta yeye ndio anapesa yeye ndio anakaz kaanza kumjengea na mzee wake nyumba asee walmwengu sjui waliniloga na nn toka 2019 nljkuta siwez kuingia ofcn naliogopa get la ofcn nlkaa nje ya ofs bila kuingia kazn mpka 2021 mwez wa 7 Kaz ikaisha ma hr washanikalsha Sana em nenda kwenu hii sio akil yako Sasa hata nikienda kwetu naenda kuanzia wap sielew nkawa nakunywa pombe hatar kesi zisozo na kichwa wala miguu zikainuka juu yangu uko ofcn mpka wengne wakawa wananiita Tapel. Hakuna mtu aliejtokeza kusaidia Kat ya ndugu zangu saiv nasota mwenyew hata Kaz ya kuendesha school bas nakosa nshaomba Sana Kaz lakn milango ya Kaz iko blocked kabsa nmekwama mtoto wa kiume ile hulka ya watu walikua wakifurah uwepo wangu imepotea kabsa saiv naishia kujikalia ndan atakae nkumbuka ndio ananitumia 10000 ukimwomba wik inayofata anakwambia unamatumiz mabaya ya pesa kwel? uchawi upo sanaaa na funzo nililolpata ukiwana pesa usisaidie maskin n watu wabaya Sana nahawafurahishw na maendeleo yako hata kidogo ndio Mana watu wengne hua awakanyag kijijin kwao pale wanapoanza kuinuka kimaisha.. pole Sana ndugu hil n letu sote Nshazunguka kwa waganga wachungaj mashekhe Sasa nmenyoosha mikono nasubr nione maisha yananpeleka wap Mana hii Hal n ya hatar Sana
Jifunze kutengeneza animation cartoon, tufanye kazi
 
MITIHANI IPO DUNIANI,NAPITIA WAKATI MGUMU SANA MAISHANI.TOKA J MOSI NIPO NDANI SITOKI,PESA NASAIDIWA NA NDUGU TOKA TANZANIA,NA NNA FAMILIA YA MKE NA WATOTO WATATU,NIPO MBALI NJE YA TANZANIA, MAISHA YAMENIBADILIKIA GHAFLA ,YANI NDANI YA SIKU 3 MAISHA YAMEKUWA JUU CHINI,HAPA NIPO NDANI NA NNA R5 TU,SAWA NA 700 YA TANZANIA.
WATOTO WAMEENDA SHULE,WAKIRUDI SIJUI INAKUWAJE.

Funguka mkuu nini kimekukuta huko ulipo?
 
Yaani mtu usome hadi Havard School of Law, halafu bado unaamini upuuzi kuwa kuna uchawi na kurogwa?
Hakuna Harvard hapo...tumepigwa
Mtu anapitia changamoto katika biashara zake anaambiwa aende kwa kuhani sijui Nani...
Yaani hapa tunapangwa...
 
Njoo kwa shetani kuna suluhisho la kila jambo uyo alie kupiga kipapai ni mtoto mdogo sana .wewe tuta kupa advanced one..njoo PM na pesa yako
[emoji28][emoji28][emoji28] Daah. Wewe kweli Mr Devil
 
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu. Kwa majina naitwa Benjamin mchopa, mzawa wa Kanda la Ziwa.

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ila usipopata ni sawa, Mungu wetu sote.

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea, upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nilifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo Kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class, niliproceed LLM in energy law, Havard.

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli, kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi), Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya. Yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha.

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining, extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa, pesa niliogelea nazo wangwana. Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM.

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote, niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa. Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza.

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini. Sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo.

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba, kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu, kortini tena siwezi kwenda, yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile, maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi, Nairobi, Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair, yale mengine TRA, makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack, amani imesepa, sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi, nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo. Yaani utajiri, afya, hata furaha kwa familia imepotea, bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana, nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi, natuma mtu. Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi? Mbona nimesahulika?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya?

Daah Dunia imenigeuka, nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi?

Hivi mnaologa Kama ni kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza, wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie?

Wazee wa ndagu, wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
Wakili Msomi,kama wewe hujawahi kuwa na kinga au imani za kishirikina basi ondoka kwenye Mawazo hayo.

Uchawi ni Primitive Science lakini kama uko associated kwa namna yoyote ile basi huo ndo mshahara wake...

Tofauti na hapo basi tulia...SALI KWA TAFAKARI KISHA JIPANGE UPYA.

Umri wako bado ni mdogo,unanafasi ya kuinuka mara mia zaidi.

Usikate tamaa!

Ongea na Dhamira yako

Jitafiti na by the way-ninani aliyekwambia kwamba uliyokuwa ukitenda ni WEMA?

UKITENDA WEMA wala hutajua....kwa hivo bado unakazi ya kujitafuta...

Kila la Kheri!!
 
kama uko dar bas shida yako allah atakufanyia wepes,na kama wew ndo mhusika nicheki pm nikuunge na mtu atayekusaidia na hatokutoza chochote zaid ya vifaa kununua wewe mwenyewe utakapokuwa sawa utampa shukrani yako
kaka namimi naomba msaada pia ninachangamoto
 
Usifikiri wanasiasa wa bongo wanadumu miaka nenda rudi bila ushirikina.

Uchawi upo, na inabidi uwahi kwa mganga.

Nimeshuhudia sana watu wanaosoma nje ya nchi wakirudi bongo wanasahau mambo ya kujizindika kwa sababu hawaamini tena jadi, basi huwa wanarogwa sana, na wakizubaa wanakufa kabisa.

Kwani kuja ubaya gani kama ukienda kwa mganga mahiri ikiwa umeenda hospitali mbalimbalo haujapona na bado unapata maumivu? Nenda hata huko Kongo au Malawi kwa waganga
 
Chagua imani moja ishikilie, kwenye circle yako hauna rafiki hawa ngozi nyeupe wa bara la Asia? Hawa majamaa wana imani kali sana wanazoziishi ndio maana wanaweza kusurvive vizuri bongo land.

Pole kwa matatizo ndugu na wote mnaopitia hali mnayoona si ya kawaida.
 
Pole Sana ndugu yangu ila kwa sisi waafrika bado tuna safari ndefu saana na ipo siku utajua ni kwanini.
 
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu. Kwa majina naitwa Benjamin mchopa, mzawa wa Kanda la Ziwa.

Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ila usipopata ni sawa, Mungu wetu sote.

Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea, upili nlipita kwa alama za juu mno.

Nilifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo Kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class, niliproceed LLM in energy law, Havard.

Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli, kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi), Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya. Yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha.

Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining, extraction na social development.

Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa, pesa niliogelea nazo wangwana. Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM.

Licha ya yote haya sikumdharau yeyote, niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa. Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza.

Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini. Sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo.

Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba, kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu, kortini tena siwezi kwenda, yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .

Nikiwa hospitali yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile, maumivu usiseme.

Nimezunguka Sauzi, Nairobi, Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika

Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair, yale mengine TRA, makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .

Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .

Yaani nahisi nipo under attack, amani imesepa, sijui nigeukie wapi..

Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi, nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo. Yaani utajiri, afya, hata furaha kwa familia imepotea, bad news after another .

Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana, nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .

Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi, natuma mtu. Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .

Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi? Mbona nimesahulika?

Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya?

Daah Dunia imenigeuka, nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi?

Hivi mnaologa Kama ni kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza, wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada?

Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie?

Wazee wa ndagu, wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!

Daaah!!!!
Phrase ya mwisho imenichekesha[emoji23][emoji23]....... Anyway pole sana bro MUNGU wa mbinguni atakupigania.
 
rudi pale pale kijijini kwenu..wazee wamefanya yao tayari
 
Funguka mkuu nini kimekukuta huko ulipo?
We acha tu,siwezi elezea yote hapa,lkn nipo katika wakati mgumu sana,na nipo ugenini.lilianza moja,sasa hivi kila kukicha yanaongezeka, nipo ndani toka ijumaa sijaenda hata kufungua sehem yangu ya biashara,jana wamekuja polisi na community kunitafuta ofisini kwangu,kwamba nilinunua laptop na play station.vitu ambavyo sivijui,yani ni mitihani mtindo mmoja
 
#Hizbu sharifu njoo uku mtu anahitaji msaada
 
Pole Sana mkuu. Komaa, funga na omba mungu Sana usichoke.
 
Yan wewe Yesu alikushindia lakini mwenzio unamwambia aamue kati ya kwenda kwenye giza au kwa Mungu

Kwanini usimuelezee uzuri wa huyo Yesu na namna alivyokushindia ili na yeye afate hiyo njia
Yesu alinishindia siku hiyo niliyotaka kuchukuliwa na mchawi.yaani nguvu za ajabu zilitokea yule mchawi alipenya ukutani akakimbia.yaani tulale tu lakini mchawi anapitia KWENYE ukuta kabisaaaa
 
Back
Top Bottom