USHUHUDA : Baada ya kutumia ya asali

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Heshima yenu.

Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kula chakula kidogo sana, kitu hiki kilikuwa kinafanya nijione sio wa kawaida, kwani ilikuwa hata chips siwezi kumaliza, ugali lile tonge moja la mama nitilie siwezi maliza wakati wenzangu wanaagiza mawili. Pia njaa ilikuwa inaniuma kwa nadra sana, naweza kunywa chai na maandazi miwili asubuhi nisijisikie njaa mpaka saa kumi na moja.

Licha ya kuwa na umri wa miaka 33, urefu wa cm 162 uzito wangu ulikuwa kati ya 52kg-55kg nilikuwa na hofu ya kuwa underweight.

Wiki tatu zilizopita wife alienda clinic siku hiyo hatukwenda wote baada ya vipimo wakamshauri atumie asali ili kuongeza damu,aliponipa majibu hayo nilimtafutia asali akawa anatumia.

Baada ya muda nikakumbuka comments za mzizi mkavu na wanajamii hapa kuhusu umuhimu wa asali. Basi nikaanza kutumia kwenye chai nimepata maajabu sikutegemea kabisa na wala halikuwa lengo langu.

Kilichotokea nikinywa chai saa mbili yenye asali ikifika saa sita njaa inaniuma sana tu lazima nile, nikifika saa kumi na moja lazima nile na usiku saa nne lazima nile na nikiamka asubuhi njaa inauma na ulaji wangu sio kama ule wa awali nakula sana sasa.

Sijui nimejiponya hata sijielewi. Kwa sasa sukari nimeiweka pembeni mimi na asali kwenda mbele.
 
Heshima yenu. Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kula chakula kidogo sana, kitu hiki kilikuwa kinafanya nijione sio wa kawaida, kwani ilikuwa hata chips siwezi kumaliza, ugali lile tonge moja la mama nitilie siwezi maliza wakati wenzangu wanaagiza mawili. Pia njaa ilikuwa inaniuma kwa nadra sana, naweza kunywa chai na maandazi miwili asubuhi nisijisikie njaa mpaka saa kumi na moja.
Licha ya kuwa na umri wa miaka 33, urefu wa cm 162 uzito wangu ulikuwa kati ya 52kg-55kg nilikuwa na hofu ya kuwa underweight.
Wiki tatu zilizopita wife alienda clinic siku hiyo hatukwenda wote baada ya vipimo wakamshauri atumie asali ili kuongeza damu,aliponipa majibu hayo nilimtafutia asali akawa anatumia. Baada ya muda nikakumbuka comments za mzizi mkuvu na wanajamii hapa kuhusu umuhimu wa asali. Basi nikaanza kutumia kwenye chai nimepata maajabu sikutegemea kabisa na wala halikuwa lengo langu. Kilichotokea nikinywa chai saa mbili yenye asali ikifika saa sita njaa inaniuma sana tu lazima nile, nikifika saa kumi na moja lazima nile na usiku saa nne lazima nile na nikiamka asubuhi njaa inauma na ulaji wangu sio kama ule wa awali nakula sana sasa.

YAFAHAMU MAGONJWA 23 YANAYOTIBIWA KWA MATUMIZI YA ASALI

1. Ugonjwa wa viungo/maumivu na uvimbe.
2. Kukatika kwa nywele.
3. Ukungu wa miguu.
4. Maambukizo kwenye kibofu cha mkojo.
5. Maumivu ya jino.
6. Lehemu (Cholestral).
7. Ugumba
8. Mchafuko wa tumbo.
9. Ugonjwa wa moyo
10. Shinikizo la damu.
11. Kinga ya mwili.
12. Ukosefu wa nguvu za kiume.
13. Flu.
14. Umri wa kuishi.
15. Chunusi.
16. Kuumwa na wadudu (kwa washawasha) wenye sumu.
17. Madhara ya ngozi.
18. Kupungua kwa uzito.
19. Saratani.
20. Uchovu mwilini.
22. Harufu mwilini.
23. Kupungua kwa usikivu
 
Asante kunikumbusha
 
Heshima yenu. Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kula chakula kidogo sana, kitu hiki kilikuwa kinafanya nijione sio wa kawaida, kwani ilikuwa hata chips siwezi kumaliza, ugali lile tonge moja la mama nitilie siwezi maliza wakati wenzangu wanaagiza mawili. Pia njaa ilikuwa inaniuma kwa nadra sana, naweza kunywa chai na maandazi miwili asubuhi nisijisikie njaa mpaka saa kumi na moja.
Licha ya kuwa na umri wa miaka 33, urefu wa cm 162 uzito wangu ulikuwa kati ya 52kg-55kg nilikuwa na hofu ya kuwa underweight.
Wiki tatu zilizopita wife alienda clinic siku hiyo hatukwenda wote baada ya vipimo wakamshauri atumie asali ili kuongeza damu,aliponipa majibu hayo nilimtafutia asali akawa anatumia. Baada ya muda nikakumbuka comments za mzizi mkuvu na wanajamii hapa kuhusu umuhimu wa asali. Basi nikaanza kutumia kwenye chai nimepata maajabu sikutegemea kabisa na wala halikuwa lengo langu. Kilichotokea nikinywa chai saa mbili yenye asali ikifika saa sita njaa inaniuma sana tu lazima nile, nikifika saa kumi na moja lazima nile na usiku saa nne lazima nile na nikiamka asubuhi njaa inauma na ulaji wangu sio kama ule wa awali nakula sana sasa.
Sijui nimejiponya hata sijielewi. Kwa sasa sukari nimeiweka pembeni mimi na asali kwenda mbele.
UNAPENDA KUMWAMBIA NINI MZIZIMKAVU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom