Nahitaji watu 40 tu waweze kuniunga mkono kwa kununua asali 1lt kila mmoja

90sgeneration

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
275
375
Habari wakuu,

Basi nikiwa katika harakati za kutafuta ajira nikiwa sina capital ya kuanzisha yangu mwenyewe nijiajiri, nikapata wazo litakaloweza kunipatia capital japo kidogo angalau kwa kuanzia nisife njaa na nisianze mwaka vibaya (inaweza kua ndio safari mpya ya maisha yangu)

Kuna mtu ana Lt 40 za Asali, na amekubali kuniunga mkono angalau nipate capital au hata pesa ya kujikimu kwa muda huu. What i have to do ni kuuza hizi Lt 40 za asali ambayo kila moja kwa shilling elf kumi (10,000), na baada ya hapo 50% inabaki kwangu as capital na 50% namrudishia. Ikimaanisha 10kx40 =400k, na hapo nitapata 200k.

Wakuu, please naomba mniunge mkono kijana wenu, najua mnahitaji asali, kila mmoja anahitaji asali kwa matumizi ya nyumbani na hata sehemu zingine.

Mnahitaji asali, hasa wale ambao wapo 45 of age and above, ili kupunguza matumizi ya sukari ambao sio nzuri kwa umri wenu kiafya, basi asali mnaihitaji zaidi, kutumia kwenye chai na sehemu zingine. Tumia asali kwa urembo pia, kungarisha ngozi na kukuondolea chunusi na mabaka ya kuungua moto au mabaka yatokanayo na upele.

Asali hii ni pure, natural na haijaongezwa kitu, inakufikia moja kwa moja kutoka Tabora.

Si lazima uwe na uhitaji nayo, ila unaweza kuniunga mkono na kumpa mwenye uhitaji kama sadaka.

Karibu uagize asali ya nyuki wakubwa. Please niunge mkono Tafadhari.

Be blessed wote.
images%20(15).jpg
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20221229_140757.jpg
 
Ungesema unauza asali lita 1 elfu 10 ingekuwa vizuri zaidi. Ila hayo maelezo yako mengi yametufungua macho kumbe tunaweza pata kwa bei ndogo zaidi ya hiyo.
 
Ungesema unauza asali lita 1 elfu 10 ingekuwa vizuri zaidi. Ila hayo maelezo yako mengi yametufungua macho kumbe tunaweza pata kwa bei ndogo zaidi ya hiyo.
Shukrani kwa ushauri mkuu, ila nimeweka bei na ni bei ya kawaida iliozoeleka kabisa.
 
Ujasikia serikali wamepewa mukopo wa Bil 650 kujenga mradi wa BRT? nenda uko katafute mishe ata kuwa chawa unaeza okoteza kitu. Mimi sina ela ningenunua asali boss
 
Back
Top Bottom