Ushosti kazi....huyu normal kweli????

Ushosti kazi....huyu normal kweli????

Umenifungua jicho hapa.

Inawezekana pia huyu ana inferiority zake. Mfano mie sipendi kabisa kupigwa pigwa picha (am not photogenic), so ukija na kuanza kunipiga piga picha, nitakuambia, nikiona huelewi nakukwepa. SImpo.

Na kweli, kuna wadada wanaweka vibifu sababu tu wanazidiwa uzuri, tunashindwa kumbuka kuwa duniani kila mtu ana fungu lake, mwingine kapewa sura, mwingine shepu, mwingize kichwani.

Kweli mimi niko tofauti and i loooove being me.

Wewe ndo mwenye wivu na unajistukia. Infact you are just being a woman! Huyo dada anakutumia picha akiwa na bf wake, na wewe amekuja kwako anapiga picha kila mahali. Kwa nini usidhani kama anapenda sana kupiga picha na sio kama anakudolishia bf wake? Au wewe ndo una wivu na hicho kimoja tu alicho 'kuzidi' kuwa hauna bf na yeye anae?

Unaona fahari una nyumba nzima ya kushare na shosti mwingine (kwangu ni bora niwe na chumba kimoja uswazi, kuliko kushare nyumba masaki), una zaidi ya degree, umemzidi mshahara na haujaongelea kama amekuzidi uzuri (manake im sure ungeshataja).

Hebu jikalie mbali nae manake anakutesa. Urafiki hauna mashindano. Mnasaidiana kimawazo na hata kiuchumi kila mmoja asogee mbele. Mwenzio akikutangulia kwenye hili ama lile haikupo wasiwasi.

Cc Kongosho, AshaDii, Mwali
 
Nna rafiki kila akiingia kihotel cha maana huwa anaupdate status fb. Akisogelea airport yoyote lazma aweke status. Sasa mie sioni shida manake yeye anafurahia. Ila nikienda mahali nikaona kitu kizuri napiga picha namtumia yeye. Chakula kizuri namtumia pia. Anaanza kusema wapi hapo, hukuniaga, hukwenda na mimi. Ila hanikeri manake namcheka tu nakumuambia ukinipeleka wantashi (seriously hata sijui iko wapi) na mie ntakupeleka hapo. Tunaishia kucheka tu.

Mkijuana tafauti zenu kama mko confident enough mnalisongesha tu.

He he he, ndo maana waswahili wanasema ukimjua mbwa jina hakusumbui.

Niambie lini una muda nikupeleke wantashi-Haile Selasie.

hehehe inabidi tuonane aisee unipeleke. nashangaa haile selasie naitumia sana na sijawahi iona hiyo sehemu zaidi ya status za fb za bi shost. unipeleke mwaya na mie nikacheck in aisee.

naishia checked in at jikoni, checked in at chooni.

Ila tutavaa mask na mabaibui 🙂

Twende nikakuchekishe in bana.

hehehe inabidi tuonane aisee unipeleke. nashangaa haile selasie naitumia sana na sijawahi iona hiyo sehemu zaidi ya status za fb za bi shost. unipeleke mwaya na mie nikacheck in aisee.

naishia checked in at jikoni, checked in at chooni.
 
Wee bibi wee.....kijua (sun) ndio hichi umeshakiona mapema kinatoka, usipouanika utaula mbichi!
 
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.

Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa changu chake chake changu!!!

Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.

I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.

So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!

Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be). Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!

Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)

Mbona kwa kuanagalia tu huyo hamuendani, kwani mlikutania wapi??? Nasema hivo maana katika story nzima sioni sehemu uliyomsifia hata moja
 
Nimependa kuwa upo single, ngoja nikupm.
 
Mama take a chill pill n relax unaelekea hujui
hata watsapp ni nini unaongea tu...mi nimesema ananitumia watsap mind you watsap sio kama fb ko kwangu mi naona mtu kunitumia kila anachofanya ni ushamba sio unaongea had I unarusha mate watu waone umeongea!!!
Mshahara huongezwi kama unavyoomba uongezwe hela ya Saloon na bwana ako kama umesoma na umeongeza kiwango lazima ulete vyeti ku-prove kweli umesoma na umepata cheti.Ingekua mtu anaongezwa mshahara akisema tu amesoma basi watu wangeongezwa kila siku!!
You might think you don't need this advice BUT just take it for future use:Kama hujui kinachojadiliwa au huelewi uliza kwanza na sio kukurupuka coz utakuja kuumbuka!Ni hayo tu mkeyamasai.

Kimemgusa, atakuwa wa hivyo pia.

Back to topic: Mke wangu alikuwa na shost wa hivyo, kila nikimwambia punguzeni mipaka hasikii, alikuja kushangaa siku namwonyesha SMS za mimi kuombwa hela na huyo shemeji, tena naambiwa nisimwambia wife.

Unakaribia kurogwa, akiomba nguo yako tu, jua tayari.
 
Duuuh kazi kweli kweli....unajua kuna watu wanajitoa ufahamu humu nakujifanya hawaelewi kwamba kuna watu wa hivyo.Ila ukweli ni kwamba kila mtu kalelewa kivyake ko hata ile kum- accept mtu inatofautiana.....sikusema I'm perfect inawezekana hata mimi naboa wengine lakini unapokerwa/unapokwaza ya nini kukaa na kitu rohoni?Matokeo yake ndo hayoooo ya kuzungukana!Asante lakini kaka angu Kanigini
 
Hivi unaweza kulazimishwa kuwa na urafiki na mtu fulani? Just block her kwenye whatsup usione haya mapics anayolutumia lakini kikubwa tell her vitu ambavyo huvipendi kutoka kwake, sio kulalamika Jf, mpe za uso kwa vile nae ni msomi kaka wewe hope atakuelewa

Duuuh kazi kweli kweli....unajua kuna watu wanajitoa ufahamu humu nakujifanya hawaelewi kwamba kuna watu wa hivyo.Ila ukweli ni kwamba kila mtu kalelewa kivyake ko hata ile kum- accept mtu inatofautiana.....sikusema I'm perfect inawezekana hata mimi naboa wengine lakini unapokerwa/unapokwaza ya nini kukaa na kitu rohoni?Matokeo yake ndo hayoooo ya kuzungukana!Asante lakini kaka angu Kanigini
 
Kweli mimi niko tofauti and i loooove being me.

Wewe ndo mwenye wivu na unajistukia. Infact you are just being a woman! Huyo dada anakutumia picha akiwa na bf wake, na wewe amekuja kwako anapiga picha kila mahali. Kwa nini usidhani kama anapenda sana kupiga picha na sio kama anakudolishia bf wake? Au wewe ndo una wivu na hicho kimoja tu alicho 'kuzidi' kuwa hauna bf na yeye anae?

Unaona fahari una nyumba nzima ya kushare na shosti mwingine (kwangu ni bora niwe na chumba kimoja uswazi, kuliko kushare nyumba masaki), una zaidi ya degree, umemzidi mshahara na haujaongelea kama amekuzidi uzuri (manake im sure ungeshataja).

Hebu jikalie mbali nae manake anakutesa. Urafiki hauna mashindano. Mnasaidiana kimawazo na hata kiuchumi kila mmoja asogee mbele. Mwenzio akikutangulia kwenye hili ama lile haikupo wasiwasi.

Cc Kongosho, AshaDii, Mwali

Mi nina uwezo wa kujichanganya na watu wengi, hasa wale walio tofauti na mimi. Ila naona mwenzetu hana uwezo huo maana mwanzo mwisho wa thread anaonesha how they are different. Hawana elimu sawa, hawana pato sawa, hawaishi mazingira sawa, hawana relationship status moja, hawashare personal information the same way etc.
Ingekua tofauti hizo zipo na kila mtu karidhika nazo sawa, ila inaonekana mtoa mada hajaridhika na tofauti hizo, na anakerwa zaidi na "uchangamfu" wa rafiki yake.
Hapa mbona simple? just call it off. Acha uvivu wa kuongea, for once just be you and tell her you two can't be friends. In a polite and sensitive way, but very clear. King'asti dear wale ambao wana boyfriends hawawazidi chochote wale ambao wapo single kwa kujiamulia. #Jussayin
 
Last edited by a moderator:
mamie it seems lyk ur too classy kuwa na uyo rafiki sasa, sio class yako wacha kuendelea kuigiza ww anza kumuignore taratibu atajua tu kuwa humtaki bs ss.
 
Absolutely!
Now if we are exactly the same. Same status ya mahusiano, ya uchumi, ya kiimani! What else will we talk about?! Hakuna kuzidiana manake sio mashindanobtonstart with!
And i seriously miss u
King'asti dear wale ambao wana boyfriends hawawazidi chochote wale ambao wapo single kwa kujiamulia. #Jussayin
 
Last edited by a moderator:
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.

Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa changu chake chake changu!!!

Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.

I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.

So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!

Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be). Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!

Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)

huyo usiruhusu akakujua zaidi ya hapo alipofikia. Watu wa design hiyo nawajua huwa hawapendi hata siku moja kuona ya wenzao yanawanyokea. Yaani anaweza hata kukuroga au kukuharibia kazini ili uwe chini yake. Mchukulie jinsi alivyo but keep ur distance.
 
Itakua wewe ndo unashida your full of urself, kama hutaki kua na urafiki na yeye si uachane nae
 
Back
Top Bottom