Ushosti kazi....huyu normal kweli????

Ushosti kazi....huyu normal kweli????

Maneno mengi bt still wasema hujui kuongea. Usikute naye anakereka na tabia zako za kujidai mkimya ilhali nyuma ya keyboard waongea kama chiriku.

tatizo sijidai mkimya ila siwezi kumzoea mtu sana kama simfahamu kwa undani....
 
House Wife, ndo maana mie naona urafiki wetu ni wa kiume. Mi nikikuona unapekua slip yangu kama staki ujue ntakuwasha kibao cha kishkaji mkononi nikuambie 'weeh acha uchawiii' na tuendelee kucheka. Lazma tukubaliane tunatoka familia tafauti, tumepitia makuzi tafauti na tuna mitizamo tafauti. Tena mtu mwinhine anaweza kuuliza unalipwa vizuri? Kama unataka utayaja salary, hutaki ukisema yah not so bad si kiutu uzima ushaelewa jamani?

Well, nikiri hawa ni very old friends. It seems ni kazi sana kuwa na new friends mnaoendana. Ila ukiishughulikia nafsi yako ikajua jinsi ya kukaa na watu mbona inakuwa easy tu. Unamjua flani ana wivu, unaweka mafanikio yako mbali. Unajua flani ni mchoyo, unaacha mkono wako mbali. Unajua flani mdaku, humuambia your dirty stories. Maisha very simple na matamu kwa siku chache hapa duniani
King'asti your group ni zuri balaa na mshukuru mungu kuwapata hao.

Ni wazi mwenzetu na mwenzie yawezekana hawaendani, slip ni confidential information at least uombe ama kuuliza ehe shost hv mshahara wako ni kiasi gani au je naweza ona ur slip? But kuchukua kama yako, cdhan km alifanya vyema japo nae alipaswa mweleza on the spot.

Sikupingi mpenzi ila hata mie natamani ningepata mashosti km wako ila ni wachache na je wanapikana lini au wapi?
 
Last edited by a moderator:
nimeshindwa kumaliza kusoma,,,,,,,, ila wanawake mna mambo ya ajabu ajabu sana!

sishangai unaposema huna rafiki wa kweli............
 
You seem like a hater mkeyamasai from you first comment nimekusoma umekaa kishari sana ....FYI I would never date a guy just kumridhisha rafiki yangu na hata nikidate siwezi tuma kila pic kwa rafiki yangu bt pia sina wivu hata kidogo,you don't know me a bit so dont judge me!!!!!
Na sio lazima kila friendship i work some people dont just click....by the way mangapi yanaongelewa humu ndani???watu wanaleta hadi matatizo ya wake zao na waume zao mie kuleta la shost ndo useme mnafiki????? Mnafiki wewe hapo unaejifanya kuumizwa sana na matatizo ya watu wa online ambao hutakaa ukutane nae wakati unamatatizo yako binafsi!
Waelewa na wastaarabu wame comment wameondoka nakushangaa umeniganda kama Luba kama vipi kesha na mimi...hakikisha simu yako inachaji ya kutosha tu.
 
yaani hata mimi nna sijui ndo shost kama design ya huyo wako.

ki ukweli i have tried so much to delete her but she just keep coming to me, yani she is just a headache.

mimi siwezi endana na mtu yeyote anayeshindana na watu ama kudharau maisha ya watu hata siku moja.

kiukweli yupo vizuri kiuchumi, but it seems yeye ndo anapenda kushindana na kujicompare na mimi and yet ni wazi kabisa amenizidi.( anaishi kwenye nyumba yake na mumewe ya ghorofa na ana magari 3, mie napanga ndo bado najenga)

sasa pamoja na yote hayo it seems either alizoea kuwa na mashosst wanaomshobokea ama sielewi ni nini? Maana why would she struggle to fight for a war, that she seems to be the winner.

yaani hata sijui nimdelete vipi from my life, maana simpigii cmu yeye ndo daily kunipigia kuniambia eti ninaringa.

yaani najutaaaaaaaaa kumfahamu
 
nimeshindwa kumaliza kusoma,,,,,,,, ila wanawake mna mambo ya ajabu ajabu sana!

sishangai unaposema huna rafiki wa kweli............

hata wanaume wenye tabia hizi wapo sana, mie nikikaaga na wanaume kwenye stories huwa nawasikia wakisemana vitu vya kijinga sana mara oh sijui fulani gari sio lake. Yani full ujinga

tofauti ni kwamba wanawake unasemaga yaliyo moyoni mwetu publically
 
hiyo siyo tabia ya mwanaume...........
 
Wanawake bana, mnapenda taarabu kweli..oo mimi ninaelimu zaidi yake..! nimepanga..! nyumba nzima..! yeye anaishi kwny gorofa..!so what?? tatizo umekosa mwenza, single then nyumba nzima???!.
Kama hakufai usiambatane naye kwn unalazimishwa?..fanya mambo yako bana..aagh!
 
hata wanaume wenye tabia hizi wapo sana, mie nikikaaga na wanaume kwenye stories huwa nawasikia wakisemana vitu vya kijinga sana mara oh sijui fulani gari sio lake. Yani full ujinga

tofauti ni kwamba wanawake unasemaga yaliyo moyoni mwetu publically
labda vijana wa sekondari
 
One thing ive noticed from you, you have a class, i know how hard is to find a friend of a same class, the best thing ni usijishushe class uliyopo, naona ni rahisi kuwa na marafiki wa kiume (just friends) of even a bit lower class hamtaweza kugombana, ila huyo si wa class yako therefore she is trying so hard kuwa class yako as a result anakukera tabia moja ya mtu wa chni ya class yako ni showoff. . .vitu ambavyo unaviona vya kawaida yeye anaviona extraordinary(that pisses off), frank advice, use your class to take her off, It's a bit of a show off pia ila itaepusha ugomvi. . .how?
1.be to places you knw she cnt afford
2. Have stuff she cnt pick
3.work to have a new friend hata wa kiume, with the new friend she will kinda feel allienated.
Gudluck.
 
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.

Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa changu chake chake changu!!!

Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.

I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.

So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!

Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be). Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!

Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)

kazi kweikwei, hata mimi nawachukia sana this kinda of friends. Aisee just forget about her hebu jaribu kubadili ratiba zako ili umkwepe. otherwise atakuachia mistress ushindwe kufikiria mambo ya maendeleo
 
kwanza nimependa wewe ni polite,huyo dawa yake kumkimbiza kimya kimya mpaka awe mwizi!
 
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.

Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa changu chake chake changu!!!

Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.

I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.

So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!

Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be). Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!

Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)

Stick with your instincts ...
mzima lakini?
 
Wanawake bana, mnapenda taarabu kweli..oo mimi ninaelimu zaidi yake..! nimepanga..! nyumba nzima..! yeye anaishi kwny gorofa..!so what?? tatizo umekosa mwenza, single then nyumba nzima???!.
Kama hakufai usiambatane naye kwn unalazimishwa?..fanya mambo yako bana..aagh!

mh mbona mim mwenza ninae na watoto wa kutosha, na nikitaka vidumu vya kutosha tu lakini bado mdada kaniganda ananingangania ushosti, hata nikimdelete live bado anakomaa kuniganda lol

wewe ndo wale wale tu
 
labda vijana wa sekondari

ha ha ha huwa sikaagi kupiga story na wavulana hat siku moja

hao ninaowaongelea ni wanaume in their mid-30s to 50 na ni waume za watu wenye watoto kibao pia.

wanaume ni wambea kupita maelezo.

tena wengine ni wasome wenye Phd zao ila utashangaa wakiwa kwenye stories
 
Ujue King' kitu nachoamini mie katika urafiki ni muwe na 'esteem' za kulingana. Mwingine asijione chini ya mwenzio kwa sababu yeyote. Ikitokea mmoja akaona yuko chini ya mwenzie ndio zinaanza kigi za kitoto za mmoja naye kutaka kujipandisha.

Katika process ya kujipandisha anaweza kukuta namuumiza mwenzie kwa kujua au bila kujua.

Mie hawezi mtu akaja kwangu akapiga picha ya sehemu ninayoishi, labda awe kapenda na anataka kufanya kitu cha aina hiyo. Ila kupiga na kuirusha kwenye mitandao ya kijamii hakika ntamuua kabisa. Kwanza sipatani kabisa na watu wanaopiga piga picha bila sababu za msingi. Always huwa nakijuta nishajitenga naye.

Kuhusu kuangalia salary slip ya mwingine, kwangu mie ni utovu wa nidhamu. Na hii inaendana na makuzi yangu, kama kuna kitu baba yangu alikuwa anaweza kupiga mtu hata kumng'oa sikio, ni kusoma barua ya mtu mwingine. Yaani hii ilishaniingia kiasi kwamba mie unaweza nipa barua yako iko kwenye bahasha ambayo haijafungwa na nisiisome. Iko ndani sana yangu, siwezi kuitoa.

Back
Top Bottom