Kasema anamtumia picha sio anaweka kwenye profile nenda kasome tena topic kwa umakini!!!kuweka picha watsap ya kitu chochote kwani kakuwekea wewe unazani wewe pekee ndio unaona hizo picha..wewe inaelekea unawivu ndio mana hizo picha zinakukera..na kama anapiga picha kwani amepiga sura yako au anetumia camera yako muache mwenzio ajofotoe akifa hatopata huo mda we ka hutokei vizuri kwa picha si wewe huu ni wivu jama ..hivi mtu kujipiga picha yeye..we unakereka nini.na hiyo mishahara muache aongezewe si ni haki yake kama anadegree..wewe ndio mnafiki unataka rafiki yako awe chini yako kwa kila kitu.
kuweka picha watsap ya kitu chochote kwani kakuwekea wewe unazani wewe pekee ndio unaona hizo picha..wewe inaelekea unawivu ndio mana hizo picha zinakukera..na kama anapiga picha kwani amepiga sura yako au anetumia camera yako muache mwenzio ajofotoe akifa hatopata huo mda we ka hutokei vizuri kwa picha si wewe huu ni wivu jama ..hivi mtu kujipiga picha yeye..we unakereka nini.na hiyo mishahara muache aongezewe si ni haki yake kama anadegree..wewe ndio mnafiki unataka rafiki yako awe chini yako kwa kila kitu.
Kasema anamtumia picha sio anaweka kwenye profile nenda kasome tena topic kwa umakini!!!
Wewe kama mimi shost nina rafiki mmoja tu and i mean the only one ..She never lets me down for sure wengine ni salam na kwaheri!Hao wengine ninakutana nao huko nje na naachana nao huko huko!!!Maybe it is because i am a very private person!!!Isitoshe kwa mtazamo wangu mtu mwenye marafiki msururu hayupo real yaani anajibadilisha tabia ili a fit in na kila mtu kwasababu women are very complicated creatures and i know myself not many people can tolerate me!!Achana nae mshamba wa maisha huyo. Ushoga, ushoga, kuna ushoga dunia ya sasa. Kama una mama au dada hao ndo shoga zako.
Watu wa kuelewana nao kawaida tu wawepo lkn si huyo wa kumkaribisha mpk kwako.
Mimi na wenzangu wa kazini tunaendeana kwa sababu maalum tu, tena wengi tu sijui wala hawajui ninakokaa.
Kweli mimi niko tofauti and i loooove being me.
Wewe ndo mwenye wivu na unajistukia. Infact you are just being a woman! Huyo dada anakutumia picha akiwa na bf wake, na wewe amekuja kwako anapiga picha kila mahali. Kwa nini usidhani kama anapenda sana kupiga picha na sio kama anakudolishia bf wake? Au wewe ndo una wivu na hicho kimoja tu alicho 'kuzidi' kuwa hauna bf na yeye anae?
Unaona fahari una nyumba nzima ya kushare na shosti mwingine (kwangu ni bora niwe na chumba kimoja uswazi, kuliko kushare nyumba masaki), una zaidi ya degree, umemzidi mshahara na haujaongelea kama amekuzidi uzuri (manake im sure ungeshataja).
Hebu jikalie mbali nae manake anakutesa. Urafiki hauna mashindano. Mnasaidiana kimawazo na hata kiuchumi kila mmoja asogee mbele. Mwenzio akikutangulia kwenye hili ama lile haikupo wasiwasi.
Cc Kongosho, AshaDii, Mwali
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.
Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa
changu chake chake changu!!!
Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara
nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.
So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!
Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be)
Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!
Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)
You are entitled to opinion ko Asante kwa kushiriki kwenye uzi huu!!