Ushosti kazi....huyu normal kweli????

Ushosti kazi....huyu normal kweli????

....yet still ashawahi kuni add kwa group flani hv la watsapp "la wadada" nkajua litakua zuri la maana bt humo ni full kudiscuss watu,kujadili Wema kafanyaje,Lulu yupoje nani anatoka na nani plus mambo ya wanaume unapateje kazi za nje(wanaume wa nje),unaweza kucheat bila kujulikana yani that kinda stuff na show off kwa sana.....nilijitoa bila hata kuaga!!
Yani kwa ufupi nashangaa kwanini hafikirii v2 vya maana/vya kimaendeleo seriously age za kushindana na kushow off mi naona zimepitwa na wakati....

Maneno mengi bt still wasema hujui kuongea. Usikute naye anakereka na tabia zako za kujidai mkimya ilhali nyuma ya keyboard waongea kama chiriku.
 
Mama take a chill pill n relax unaelekea hujui
hata watsapp ni nini unaongea tu...mi nimesema ananitumia watsap mind you watsap sio kama fb ko kwangu mi naona mtu kunitumia kila anachofanya ni ushamba sio unaongea had I unarusha mate watu waone umeongea!!!
Mshahara huongezwi kama unavyoomba uongezwe hela ya Saloon na bwana ako kama umesoma na umeongeza kiwango lazima ulete vyeti ku-prove kweli umesoma na umepata cheti.Ingekua mtu anaongezwa mshahara akisema tu amesoma basi watu wangeongezwa kila siku!!
You might think you don't need this advice BUT just take it for future use:Kama hujui kinachojadiliwa au huelewi uliza kwanza na sio kukurupuka coz utakuja kuumbuka!Ni hayo tu mkeyamasai.
sio ugomvi mamaa ehhh watsap ninayo wewe mpuuz au unazani natumia pc hapa ...kutumiana pic watsap ni kawaida hasa kwa mabest wakaribu uliza hata wenye uzoef wakwambie mwenzio akiwa na furaha share nae furaha yake sio kuchukia..we sema una wivu tafuta wako ..na huo sio urafiki mwenzio anakutumia picha unamuona mshamba..si umwambie ajue kuliko kumsema huku ..unafiki huo jirekebishe..sihitaji ushauri wako pole sana.
 
Nikisoma comments za wadada humu nashangaa kabisa. How come me and my galz shares all our goods and our bads? Tena mmoja akipata promo tunaitana kuwa kuna breaking newz na tunaenda kugonga cheerz na kufurahi? Ikitokea down fall tunaitana na kupeana moyo? Nina rafiki alijenga boonge la jumba baada ya kuseparate na mumewe, siku anahamia tukawnda kugonga cheers hapo. Siku amepata divorce tukaenda na tukaamua kucelebrate manake it was for good reasons. Makasheshe ya dating tunakutana, we call tje bastardd names she feels good na tunaendelea na maisha. Why cant women love each other no matter what?!

umeona mi pia sioni anacholalamikia huyu shoct rafiki yako akikutumia picha akiwa na bf wake ndio tatizo? mbona mi nna shoga yangu full kunitumia pic watsap na hata sioni tatizo..hapa hakuna urafiki kamwe.
 
Kuna watu wanapenda kushindana hivyo hata ufanye nini lazima na yeye akuige. Kama hutaki kushindana naye kaa mbali naye kuwa busy na mambo yako.
 
Kuna watu wanapenda kushindana hivyo hata ufanye nini lazima na yeye akuige. Kama hutaki kushindana naye kaa mbali naye kuwa busy na mambo yako asijue ni kitu gani unafanya.
 
kuweka picha watsap ya kitu chochote kwani kakuwekea wewe unazani wewe pekee ndio unaona hizo picha..wewe inaelekea unawivu ndio mana hizo picha zinakukera..na kama anapiga picha kwani amepiga sura yako au anetumia camera yako muache mwenzio ajofotoe akifa hatopata huo mda we ka hutokei vizuri kwa picha si wewe huu ni wivu jama ..hivi mtu kujipiga picha yeye..we unakereka nini.na hiyo mishahara muache aongezewe si ni haki yake kama anadegree..wewe ndio mnafiki unataka rafiki yako awe chini yako kwa kila kitu.

Kuna chembe ya ukweli hapa mkuu, si bure aisee
 
Kasema anamtumia picha sio anaweka kwenye profile nenda kasome tena topic kwa umakini!!!

ndio nilisoma haraka haraka sababu story ndefu...lakini we unachoshangaa nini hapo...mbona ni kawaida mabest kutumiana pic watsap ata akiwa na mtu wake we inakuuma nini kama ni rafiki yake hautamuona mshamba ..alafu kuja kumtangaza jamii forum ni unafiki kwanini usimwambie ajue.
 
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.
Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa
changu chake chake changu!!!
Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara
nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.
So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!
Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be)
Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!
Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)
kwani unalpwa sh ngapi shost?
 
acha dharau wewe hivi unazani dunia nzima wewe pekee ndio unatumia watsap ndio mana hata rafiki yako huez kuelewana nae unataka uonekane upo juu .mtu wa hivi kamwe simtaki awe rafiki yangu.
 
Nikisoma comments za wadada humu nashangaa kabisa. How come me and my galz shares all our goods and our bads? Tena mmoja akipata promo tunaitana kuwa kuna breaking newz na tunaenda kugonga cheerz na kufurahi? Ikitokea down fall tunaitana na kupeana moyo? Nina rafiki alijenga boonge la jumba baada ya kuseparate na mumewe, siku anahamia tukawnda kugonga cheers hapo. Siku amepata divorce tukaenda na tukaamua kucelebrate manake it was for good reasons. Makasheshe ya dating tunakutana, we call tje bastardd names she feels good na tunaendelea na maisha. Why cant women love each other no matter what?!
King'asti your group ni zuri balaa na mshukuru mungu kuwapata hao. Sidhani kama kuna mtu hapendi friendship ya aina hiyo ila ni ngumu kuipata dada. Me mwenyewe nilipata yakanikata kama wasemavyo humu wengine na hawana muda wa kuelezea kwa kuwa ni mengi..

Am very simple kuliko kawaida na huwezi jua aina ya maisha yangu.

Kifupi nakutakia kila la kheri na kundi lako na muendelee hivyo asije potea njia m1 wenu.

Ni wazi mwenzetu na mwenzie yawezekana hawaendani, slip ni confidential information at least uombe ama kuuliza ehe shost hv mshahara wako ni kiasi gani au je naweza ona ur slip? But kuchukua kama yako, cdhan km alifanya vyema japo nae alipaswa mweleza on the spot.

pia angeuliza nimemaliza degree mbona cjapewa mshaharampya ama wat r the processes etc. Sina uhakika na urafiki wao ila me ningempa procedure na ushauri ila it seems mwenzie hata haulizi kitu anakulupuka, cdhan km wenzako wapo hvyo ila mwaelewana.

Kuhusu pics akiwa na bf wake ingebid amsupport mwenzie au la angemwambia me cna na naumia ukinitumia labda angempa ushauri ama namna ya kupoa kidonda cha kutendwa, n.k

Sikupingi mpenzi ila hata mie natamani ningepata mashosti km wako ila ni wachache na je wanapikana lini au wapi?
 
ndio nilisoma haraka haraka sababu story ndefu...lakini we unachoshangaa nini hapo...mbona ni kawaida mabest kutumiana pic watsap ata akiwa na mtu wake we inakuuma nini kama ni rafiki yake hautamuona mshamba ..alafu kuja kumtangaza jamii forum ni unafiki kwanini usimwambie ajue.
Sijasema imenikera nimekuelewesha kwasababu naona hujasoma kwa umakini!hayo masuala ya yeye kuja kutangaza hapa mwambi muhusika na si mimi!
 
Kitu pekee ninachoshauri ni kuwa kila myu awe na marafiki wanaoendana, hususan kwenye tabia

Pia kualikana nyumbani?
Aisee mpaka naacha kazi hakuna mtu alojua kwangu maana maofisini majungu mengi

Ila wewe na huyo dada inaelekea hamuendani hebu sepa kimya kimya atafute rafiki wa kufanana nae
 
Haya mambo ya ushost wa mjini futia mbali sinaga soga barabarani imeisha
 
So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!

Noted...
 
Back
Top Bottom