USHOGA nchini: Tuangaliane machoni sasa!

USHOGA nchini: Tuangaliane machoni sasa!

Sasa kubatizwa na kubadilishana majina kunakujaje hapa, fafanua tafadhali!
Kubalini tu kuwa Africa tumeshapoteza vitu vingi na vingine vya thamani zaidi hata ya huo ushoga.


Si kila kitu cha wenzetu ni kibaya, una maana hata magari na madawa tusitumie, lkn swala kuingilia utamadani wetu kwa lazima siyo sahihi, ndiyo maana mtu hashurutishwi kubadiri dini/imani yake. Ni kweli siku hizi tumebadiri majina ya asili na kuchukua hayo ya wageni, yaani ukisikia mtu anaitwa FRANK, MICHAEL, OWEN, WILDROD, ISA, JUMA, YAHYA, JAMAL NA NK basi hao wanaoneka kustaraabika. nasikia zamani wakristu wakipelka jina ambalo siyo la kidhungu wakati wa ubatizo yaani km mkama, kobwa, mkwawa ulikuwa hubatizwi. Nakubaliana na wewe huu wote ni ukoloni mambo leo. lkn kwenye swala la ushoga hapana, ukizoeana na mbwa atakufuata mpaka msikitini, sasa wametuzoea.
 
vijana wa kisasa wanavyopenda kuiga kila kitu cha wamarekani uenda wameshaanza kuiga na hili.
 
thread za ushoga zimekuwa nyingi mpaka zinatia kichefuchefu, hivi hamna thread nzuri ili tuchangie?.
 
Watu kama vile hawajui Sodoma ilichomwa sababu ya uovu wao
 
Iko haja ya maandamano ya amani kuelekea ubalozi Wa mambo ya nje Waziri atupelekee maoni yetu ulaya kuwa sisi waafrika tunasema hatutaki
 
Eti naomba kuuliza.
Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha wengine wakubali ushoga na ndoa za jinsia moja?
 
Halazimishwi mtu ila kutokana na njaa zetu za misaada tunaona tunalazimishwa

Ushasikia nchi kama China,Japan, Russia zinapigwa vitishio vya kunyimwa msaada kwa ajili ya ushoga?

Tabu ya kuwa dependent, you never make your own decisions

Na ubaya zaidi hamna mikakati ya uhakika ya kupunguza dependency hiyo , hamna sera hamna chochote
 
Zinalazimishaje mkubali ushoga wakati ushoga tayari upo tokea enzi na enzi?
 
sio wewe pekee unayejiuliza,watu kibao wanashangaa kwamba inakuwaje wazungu waliopata elimu mapema wanalazimisha uchafu huu?! kifupi ni kwamba mataifa makubwa uchumi wao umefungamana na mikataba ya shetan,kama makafara na damu, vita ,ni sawa na anayefuga majini lazima afate masharti,OMBA SANA MUNGU
 
Ndg zangu tuwewe wakweli viongozi wetu ndo chanzo, wanaingia madarakani na ahadi nyingi kumbe hizo pesa za campaing wanazitoa kwa nchi tajiri na kurudisha Demi hawawezi wanabaki na kilio cha shida na hatimaye ndo hayo kuwa ombaomba, uvivu pia unatuponza rasilimali tunazo ksma vile dhahabu nk, ujinga ndo umetufikisha hapa tulipo, MUSEVEN wera weraaaaaaaaaaaaaaa! Komaa Baba hakuna jinsi ni kuonyesha ujasiri.
 
sasa kwanini kutupatia misaada wanataka tukubaliane na ushoga kuna connection gani hapo wakuu nashinswa kuelewa
 
Eti naomba kuuliza.
Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha wengine wakubali ushoga na ndoa za jinsia moja?
Ni New World Order katika mikakati maalumu ya kupunguza idadi ya wanadamu:
1-Ushoga na usagaji.
2-U-Feminism.
3-Kuziingiza nchi katika njaa na maradhi.
4-Vita.
5-Madawa ya kulevya n.k

Zote hizo ni katika njia za kuzuia ongezeko la binadamu.
 
Ni New World Order katika mikakati maalumu ya kupunguza idadi ya wanadamu:
1-Ushoga na usagaji.
2-U-Feminism.
3-Kuziingiza nchi katika njaa na maradhi.
4-Vita.
5-Madawa ya kulevya n.k

Zote hizo ni katika njia za kuzuia ongezeko la binadamu.

Well said mkuu... I conquer with u!!
 
Ni moja ya mipango ya 'new world order policy'...

Ili mtawaliwe inabidi mpunguzwe muwe idadi ndogo in the meantime ni moja kati ya rituals za kishetani...
 
Nina mashaka sana na hii mikataba ya siri hapa nchini kwetu.
 
Back
Top Bottom