SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Nimesoma waafrika wengi wakiwamo Watanzania kuwa wapo tayari kukataa misaada ya USA&EU wakipita misaada inayokuja na masharti ya kuchimbana nnya najaribu kufikiria ni kweli waafrika wakatae dola kisa kusuguliwa nnya?mi siamini hili maana kama bajet tu ya Taifa inafadhiliwa na hao wafadhili kwa zaid ya 50% leo wajitoe ghafla tu. Afrika itakuwa balaa. Waafrika kama ni ungese tunao toka uhuru kwa kutokuwa na akili ya kutumia rasilimali zetu toka miaka ya 1960 wakat tunapata uhuru haya ya sasa ni matokeo tu. Nawakikishia miaka 5 mingi.