USHOGA nchini: Tuangaliane machoni sasa!

USHOGA nchini: Tuangaliane machoni sasa!

Jamani rais na viongozi wengine wa tanzania ni wapuuzi na si watanzania.

Wamesajili wateteaji ushoga tanzania
 
Hii ni hatari kwa kizazi chetu cha sasa kupotea na hatimaye Depopulation kuchukua nafasi yake.

Rehabilitation centers kama za watumiaji wa madawa ya kulevya zinahitajika kuweza kutoa msaada wa kubadili tabia kwa walioathirika na ushoga...

Ambazo nazo ni kwa hisani ya watu wa marekani!
 
Unajua jambo hili la ushoga linahitaji kupigwa vita kwa nguvu zote maana likiachiwa basi litaigusa kila familia, sasa sijui mwenzangu litakugusa kwa nani ktk familia yako.

Ninachokiona hapa ni kuwa, haya mataifa yaliyopitisha sheria ya kuwaruhusu na kuwalinda mashoga yamegundua kuwa yamekosea na yataadhibiwa kama ilivyoelezwa ktk vitabu vyetu vya dini (Qirani na Biblia). Kwa kulitambua hilo yameona ni vizuri tuangamie wote katika adhabu hii.

Nalisema hili kwa sababu HAKUNA kitabu chochote cha dini hapa duniani kinachoruhusu USHOGA, ila vitabu vyote vinakataza USHOGA, na adhabu yake imeelezwa katika vitabu hivi.

Mimi nasikitika, ni kwanini vyama vya upinzania Tanzania vimekaa kimya kuhusu suala hili la ushoga? Hakuna Chama chochote cha upinzani KIMEKEA tamko la David Cameron wala kutoa mwongozo kwa wanachama wake kuhusu ushoga.

Hili linanipa wasi wasi kuwa isije kuwa tunapigana vita na Cameron kumbe kuna akina "Cameron" wengi hapa nchini.
 
Jamani rais na viongozi wengine wa tanzania ni wapuuzi na si watanzania.

Wamesajili wateteaji ushoga tanzania

Mmmmh....???? Hii sasa ni kutafutana muhari. Naona Serikali sasa inataka tuwashughulikie kimitaani hawa watu.
 
Chonde chonde tuache ushamba wa kujifanya kimbelembele wa kukataa na kudharau, badala yake tukubali ili tule Bata! !!!!!!
 
Hili swala lina hitaji mjadala tofauti na wengine ambao wanasikia kinyaa likijadiliwa.
Ni ukweli usiopingika adhabu kali inahitajika dhidi ya wanaoendekeza ushoga ili kutokomeza tabia hiyo mbovu na dhambi.
Wahusika wanataka kutumia ujinga wetu kutuingiza katika dhahma ambayo baadaye wao watanufaika na sisi kuangamia simply because tunaiga vitu ambavyo havifai na hakuna hatua zozote zinazochukulia.
Nawaomba marais wengine waige mfano wa M-7.Sisi tunaotunga katiba mpya tuiweke kabisaa kwenye katiba yetu kuwa haitambui ndoa ya jinsia mmoja.
tafiti zimethibitisha kuwa ushoga ni tabia tu na si genetic demand.Hivyo ikomeshwe kwa nguvu zote na tusitishwe na viongozi wa magharibi wa njaa zetu za kutegemea misaada.Tujiamini na kudhibiti kwa nguvu zetu zote hadi wahusika wabadilike.
 
mung aliweka mbele kiken kuwa na nguv ya kujisafisha kwenyw lakin kinyeo hakiwez kujisafisha coz sio mahala pake...mbegu za kiume zina vitu vinne:acid,protns,ages na nyengne nimesahau kidogo hiv vitu vina mchango na athar zake vinapotumika vibya ikiwemo acid ndio maana hata mwanamke anapoingiliwa kinyume na maumbile anakuwa kuna muda anawashwa sana mpaka anaamua kujiingiza vidole kijichokoa ili mradi ajaikune muwasho uishee hii inasababishwa na kutoweza kwa kinyeo kutoa zile mbegu baada ya tendo kama uke unavyofanya. Mim naona hawa wanamambo matatu ya haraka harak wanayoyatak
1-kupunguza uzazi na depopulation.
2-wanataka kutengeneza africa kuwa soko la vifaa na madawa yatakayotumika na yatakayotokana na uchafu huu.
3-ni matokeo ya freemansonry na new world order.
Hofu yangu kwa utegemezi huu wa misaada tutakwepa mwisho wa siku nasi tumo. Wao wanajua fika kabisa kuwa afrika hili jambo litapata mashiko makubwa baadae na kuzidi hata ufaransa kwa sas

Mkuu Baharis umesema vyema kabisa..

Elimu kwa upande wa Africa bado iko chini..Wanataka kueneza ushoga bila kuweka wazi Athari..

Vitabu vya MUNGU vina kataza, Lakini wao bila aibu wanabeba mabango..

Nia yao ni kurudi Africa ..Na wakifanikiwa..Tutegemee kuona Ongezeko la HIV,Maradhi ya Ngono,Mmomonyoko wa maadili..ndani ya 100 years Africa wanyama watakuwa wengi kuliko Binadamu..

Napinga kwa nguvu zote ushoga na usagaji..

Ni mwendawazimu ndiyo anaweza kushabikia..
 
Last edited by a moderator:
hapo kuna mpango madhubuti ambao hawa nchi wahisani wanaitengeneza ili tu kuharibu mila na desturi zetu hasa kwa hiki kizazi cha sasa! ukoloni unarudi kwa staili ya aina yake!
 
The way I see it we should not care what people do in their bedrooms. The government should stay away from making laws that address sexual orientation. Let me start with Obama. All Obama said is he supports gay people to have same rights as straight people. For the record only 17 out of 50 states in America have legalized same sex marriage so if Obama is such a good supporter of gay rights why hasn’t he introduced a bill to make same sex marriage a law of the land for all 50 states???

What you need to understand is that marriage is like a business in America. There are so many benefits that married people get in America than a single person. To name one benefit if you are a married couple you get to pay less federal taxes than single individuals and the list can go on and on. So I understand when I see gay people fighting for their rights. They want to pay less taxes…why not? They want to be included in their spouse insurance coverage and save money…why not? The bottom line is this is more for their pocket books….and I totally understand.

I personally don’t care about people sexual orientation as long as it does not affect my life. I don’t know how I feel about locking people in prison for life because they are gay. Humanly I don’t know if that punishment fits the crime. I have not wasted my time figuring out if gayness is a choice or inherited, I don’t think it matters either way. The truth is we have gay people in our society and as human being we all need to learn how we can live in a peaceful society. What the newspaper has done in Uganda is immoral; why name names? What would publishing a list of gay people accomplish?

Donor countries (not sure if that’s how they are called) have a right to put their money in causes they believe in and if they don’t believe in laws that punish gay people and they decide to withdraw their support for Uganda then it is what it is….Uganda should learn to survive without it. Like I don’t believe in abortion and I don’t donate my money to any organization that supports abortion. It’s not like I am telling them to stop abortion noooo I am just not going to have my money used to advance an agenda I don’t believe in. So it’s the same thing as the countries that are going to withdraw their support to Uganda, they are not going to tell Uganda what to do rather they don’t want their funds support agendas they don’t believe in.
 
ID yako na uliyoyaandika hakika vinashahabiana...

ha ha kila mtu ana uhuru wa kufanya yake..cha msingi serikali isi support gaysm kama ilivyo tangazwa 2011 na Mr.Misifa Membe lakini iache uhuru binafsi wa watu kufanya yao! Uliberali muhimu..kwani ukiona mtu anafanya yake we kinakuuma nini ama una washwa nini? si yeye na mungu wake ndio wanajijua? sasa??

#TeamLiberalism

 
1-kupunguza uzazi na depopulation.

3-ni matokeo ya freemansonry na new world order.

Mkuu asante kwa kutomung'unya maneno, hizi ni moja ya sababu kubwa za hao mabwana, wao nia yao kubwa ni kudhihaki uumbaji.
 
ushoga ni tabia. Unaanza na mwanaume mmoja kuchoka k-u-m-a na kutamani m-k-u-ndu. walianza wanawake kugeuzwa nyuma. mazoea yakaendelea. sehemu ya majitaka ya kike ikachokwa wakatamani sehemu ya majitaka ya kiume. Kukawa na kundi la wanaume dhaifu na wenye nguvu. wale dhaifu wakakubali kuwa mashoga na wale wenye nguvu wakawa ma-mende. Na sasa wale wanaume dhaifu, mbegu isiyofaa kumea ikaachiliwa kumea ndio wanataka kutambuliwa kwa maada wa wanaume wenzao wenye nguvu.
Hivi umewahi kujiuliza utafanya nini siku ukijua kwamba mwanao wa kiume analiwa na wanaume wenzake ama ana wala wanaume wenzake?
suluhisho
kuwahukumu mashoga hakutamaliza ushoga lakini tungewahukumu maisha wanaume wanaofuata wanaume wenzao hapo mashoga wangekosa soko. Iundwe sheria ya kuhukumu maisha wanaume wanaotaka wanaume wenzao lakini mashoga wachapwe viboko tu baada ya muda wanaume wanaopenda majitaka watakua hawapo uraiani.
 
Tumesikia na kuona hivi karibuni kwa jirani zetu Uganda. ambapo rais wa nchi hiyo akisaini kuidhinisha kuanza kutumika kwa sheria dhidi ya matendo ya ushoga nchini humo. Ikumbukwe kwamba adhabu kali zitawaandama ikiwemo vifungo vya maisha kwa wanaojiushisha na mapenzi ya jinsia moja. Ingawa sambamba na hilo, sheria hiyo imewabana wanawake ambao uvaaji wao unakiuka maadili kwa kuwawekea vifungu vya adhabu.

Mwangwi wake umesikika dunia nzima ambapo tayari sasa nchi wahisani (wanavyopenda kujiita) wameanza kuondoa kitu kinachoitwa misaada kwa serikali ya Museveni. Waholanzi wamekenda mbali zaidi kwa kusema fedha walizoziondoa kwenye bajeti ya serikali watazielekeza kwenye taasisi zinazofanya kampeni za haki za binadamu (hasa hasa zinazotetea maslahi ya mapenzi ya jinsia moja)....

Turudi hapa nchini kwetu. Ambapo kumesikika wanaharakati wakipambana na mawazo ya jamii kuhusiana uhalali na uharamu wa mapenzi ya jinsia moja. Tayari tangu kale yameshajitokeza mashirika ambayo yameoneshwa wazi wazi na mengine kwa kificho kuunga kwao mkono kampeni hizi za kutaka kuhalalisha mapenzi hata ndoa za jinsia moja. Hapa ikumbukwe kuna ushoga na usagaji ambapo wahusika wakuu wanapiganiwa hakii zao waweze kuendesha shughuli zao wazi wazi bila kuchukuliwa hatua za kisheria na jamii isione kwamba ni kinyume na maadili.

Hebu tutazamane usoni sasa...
  1. Nini mantiki ya mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi kulazimisha maadili yao kuwa sheria kwenye nchi zingine hususani Afrika?
  2. Ni kweli maisha ya mashoga na wasagaji yapo hatarini kiasi ya kutungiwa sheria ya kuwalinda?
  3. Kuna ukweli kiasi gani kisayansi kwamba ushoga ni tatizo la kitabia na si kijenetiki?

Kwa mtazamo wangu,
Ni kwamba mahusiano ya kingono hata kuingia kwenye ndoa za jinsia moja hatima yake ni hitimisho la mwendelezo wa kizazi. Ambapo katika mahusiano ya ndoa (tafsiri yangu) ni lazima mwenza mmoja awe na uwezo wa kutoa mbegu ambazo zinaweza kurutubishwa ktk viungo vya uzazi wa mwenza mwingine ili kutunga mimba hatimaye kizazi kuendelea kwa kupata mtoto ama watoto... Lakini mwanaume anapomaliza tamaa zake za ngono kwa mwanaume mwenzake kisha tunalazimishwa kuhalalisha uhusiano huo kama njia mojawapo ya asili katika kutendea haki hisia zetu ni wazi tunaliangamiza taifa.

Pia tujadili hizo tabia zinazopelekea uwepo na ukuaji wa wasagaji na mashoga nchini.

Wewe mwenyewe ni shoga. Tunakumbuka posting yako miaka ya nyuma jinsi ulivyokuwa ukijisifia kwa kumlawiti muhindi chooni night club. Tokea siku ile I lost all respect for you. No wonder upo so engaged na mambo ya ushoga.
 
umasikini mbaya!hivi kweli sodoma na gomora aah jamani ubaniwe pua na dume jenzio likwite BABY.aah hapana hii imezidi.
 
Back
Top Bottom