Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,832
Wakati naanza kufanya uchunguzi wangu nilidhani kuwa ushoga husababishwa na umasikini, hali haikuwa hivyo kwa sababu mashoga wa bongo 95% wana elimu na uwezo mzuri kiuchumi.
Hii inaonyesha wazi kwamba vijana ambao ni mashoga huwa hivyo kwa sababu nyinginezo, ambazo ni ; unajisi na utandawazi. kama serikali itataka kukabiliana na tatizo hili wala isilitangaze kivyovyote kwa sababu mwaka 2011 walizuka mashoga wengi baada ya kutangaza lile swala la D. Cameroon.
Hapa wazazi wa kiume(baba) inabidi wawe makini sana na watoto wao, kwa uchunguzi wangu mfupi nilioufanya nimegundua wapo watu wengi wanaopenda kuingiliwa wenye umri, vyeo na nyadhifa mbalimbali, ila 80% ya mashoga wanatokea kaskazini especially Arusha. Kwa ufupi, mwenye swali aulize.