stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,746
- 27,218
Acha hizo mkuu yaani bora ukae kimya anaweza kuja kuwa mwanao wa kiume,wengine sio maswala ya utandawazi ila ni maumbile,yaani mtu anazaliwa akiwa shoga,muombe Mungu tu akuepushie na hayo mambo,kuna vitu kama mapepo yanaweza kumtamani mwanao yakawa yanamuingilia ndotoni automatically atazoea na kujikuta ni shoga,kwa ushauri wangu ikiwezekana delete hiyo hoja yako maana itakuwa ni aibu mkuu.:heh:mimi sina swali coz sio shoga na sitarajii kama kuna ndugu yangu yeyote atakuja kuwa shoga