Ushirikina mahospitalini

Ushirikina mahospitalini

Jamii iliuojaa ushirikina badala ya shule ni hasara tupu.
 
Hatari sana aisee wachunguzwe kweli na mm uwa nasikia kuhusu hayo mambo

Jamii iliuojaa ushirikina badala ya shule ni hasara tupu.
Nilishawahi kuletewa dili ya kuuza maiti kwa ajili ya kwenda kufanyiwa ushirikina ili mgonjwa aliyekuwa hospitali afe... .jus imagine...!
Nilifanikisha dili lakini niliwapa mdoli mkubwa nilioupata tandika ulikuwa ndani umejazwa sufi hivyo nikaumwagia maji na kupata uzito unaostahili
Maiti yule feki kupitia kwa mganga wake feki na wateja waje sijui waliishia wapi..lakini nina hakika mpaka kesho waliamini nilichowapa ilikuwa ni maiti kwakuwa ule mdoli niliumwagia Pia damu ya mnyama na kuwapa moyo wa mbuzi kwenye mfuko
Niliifunga vizuri kwenye shuka jeupe likaloa ile damu kwakuwa walitaka maiti ya ajali
 
Hapa kuna mengi yaliyojificha yanayopelekea hali hiyo mahospitalini

1) kutokana na kuwa ni sehemu yenye mazingira rafiki kwa wachawi na majini kwa ujumla (kama vile damu, viungo vya mwili nk)

2) kumekuwa pia makao ya viumbe tofauti pia kwa kufurahia vyakula vinavyopatikana hapo

3) wengine wamelazwa hospital ila maradhi yao ni ya nguvu za giza na mda mwengine wale wachawi/majini waliodhamiria kumdhuru humfuata huko huko kummalizia

Hizo ni sababu zinazopelekea kuingiliana kwa mambo ya nguvu za giza na tiba ya hospital.

Wakati mwengine mgonjwa anaweza kuwa amechangamka vizuri na yupo karibu na kuruhusiwa, ila ghafla anaweza kuzidiwa hadi wauguzi wasielewe amepatwa na nini........ila katika anga la hospital mara nyingi hutawala nguvu za kiroho ambazo lengo ni kuharibu iwe kwa kutumwa au kukusudia tu.

KWENDA NA MADAWA NDIYO SULUHU?

Hapana, Mungu ndiyo Muweza wa yote hivyo tumuombe kwa nia atuondolee mitihani.
Hakika ndio maana hakuna kikomo katika kumuomba Mungu, na ameruhusu tumuombe kwa kuwa anajua yule ibilisi alimtupa duniani......nae akaapa kuangamiza kizazi hiki cha binadamu
 
Hakika ndio maana hakuna kikomo katika kumuomba Mungu, na ameruhusu tumuombe kwa kuwa anajua yule ibilisi alimtupa duniani......nae akaapa kuangamiza kizazi hiki cha binadamu
Na siku zote alipo Mungu shetani hakosi
 
Niliwahi kusikia dada mmoja nadhani kutoka Kenya alikuwa anahadithia yeye alipata utajiri wake kwa kulala na maiti wa kiume mochwari...Imagine na akawa anaadithia kwa ujasiri kabisa kwamba kabla mwili wa maiti haujapoa anapigiwa simu na wale ma-attendant wa mochwari dada anaenda kudo nao...

Kuna vitu vya ajabu sana duniani. ... Imagine mdada ameacha mume ndani, anaenda kujipooza na miili ya Marehemu.

Kama ni mali acha zinipite kushoto kuliko kufanya vitu ambavyo hata shetani anashangaa huo uzoefu umetokea wapi. ...
 
Na siku zote alipo Mungu shetani hakosi
Mkuu, kuna mama ntilie mmoja alikuwa akiuza sana chakula kuliko wenzake wote, yaani watu wanamiminika na mpaka amalize yeye ndio wengine waanze kuuza.

Sasa juzi kuna mzee alienda pale kwa yule mama ila mama akakataa kumuuzia na kumwambie nenda kibanda cha pili, yule mzee akamwambia yule mama "acha mchezo wako," kisha mzee akaondoka na mwiko wa yule mama na kumwacha amepigwa na butwaa.

Baadae nilipokutana na yule mzee kwa kuwa namfahamu nikamuuliza maana ya mambo yale, akaniambia yule mama ni mwanga na anauzia watu michanga na vitu vingine vichafu pale......akasema ule mwiko aliouchukua sio mwiko bali ni fuvu la mtoto.

Mkuu inawezekana hii?
 
Haya mambo yapo sana hata viwiko vya binadamu hasa watoto, maji ya mochwari nk vinatumika sana na wauza vyakula kuvutia wateja
Nilishawahi kuweka post hapa ya nyama choma kwenye mabar lakini ikaondolewa na mods kwenye ile post nilielezea kwa undani kuhusu hizi nyama choma
 
Hospital pana mambo khasa mortuary kuna kisa kilitokea kam miaka 8 nyuma huko kuna Meneja wa timu ya mpira alimsimulia jamaa yake walikwenda kwa mhanga kabal ya game matunge akawapa sharti la kuleta maiti ya mtoto.Jamaa wakaenda muhimbili na kufanikiwa kupata mzigo wao pesa ya usafiri jamaa kabana akadandia hiace na mzigo wakes katia ndani ya begi safari imeanza uzuri kufika mitaa ya sokota pana bimkubwa kapiga yowe pochi lake halioni na kashtukia baada ya konda kumdai nauli kukuru kakara ikaamulia ngoma iende polisi chang'ombe inspection ifanyike meneja akaanza kuiona jela ile goma linataka kukata kwenda polisi meneja kamuuliza bimku pochi yake.Barcelona iliku na shilingi ngapi?bimkubwa akajibu elfu 80 ndo ulikuwa mtaji wangu wa kukaanga samaki kisha akazidisha yow kuliko mwanzo.Meneja kujiokoa akampa bimkubwa mpunga wake na safari ikaendelea.
 
Duuu...!!!
 
Ulikuwa msala kaka kwa watu tuliocheza mipira waqt uleeee kuna vitu vingi vya ajabu tulikutana navyo thanks to ALLAH alitulinda.
Nimekumbuka yule shabiki wa simba aliyefukiwa beach nusu mwili wakati jamaa wanacheza na yanga miaka ileeee. .. halafu simba wakashinda wakamsahau mshikaji wao kule beach
 
Hayo mambo
Nimekumbuka yule shabiki wa simba aliyefukiwa beach nusu mwili wakati jamaa wanacheza na yanga miaka ileeee. .. halafu simba wakashinda wakamsahau mshikaji wao kule beach
Hayo mamba kuna watu ukiwaambia hawawezi kukuelewa kuna watu wengi wamepigwa mzinga msimbazi road na moro road mtu anaambiwa avuke barabara akafukie upande wa pili akitizana kula na kushoto hauna gari ana pita hatoki tena huyo
 
Yeah ni kwel hyo clip ninayo ya hiyo dada alie kuwa akilala na maiti nafikir ni frm Kenya according to her pronunciation
Hebu iweke humu,eeeh mungu tunusuru na huu ushenzi.Halafu baadae umapewa K na uvinza unaenda kabisa
 
Hata mimi nasema tumechoka na kuongelea mambo ya ushirikina,inatia kinyaa wewe Mshana usiesikia kenge bluuuuuuu,.
Joining date: 31 July 2015
Posts count : 70
Ukiacha ID yako hii bado una safari ndefu hapa jamvini na kimaisha
 
Hiyo ni catalyst muhimu kwenye ushirikina wa ndele na kutengeneza nuksi..Inategemea mlengwa anataka kutumia kwenye nini na anachanganya na dawa gani na ananuizia nini
Mshana.....vipi kuna MTU aliwahi kunipa story kuwa alifungwa kizazi kwa nguo yake ya ndani ....baada ya kuchukuliwa alafu ikaenda kufanyiwa mambo hakuwEza kabisa kupata mtoto...baadae akaenda kwenye kamati za ufundi ile chupi ikavutwa na kisha ikanyunyuziwa dawa na baadae anadai alipata mtoto...

Swali je baada ya ile nguo kuvutwa yule aliyemfanyia hivyo hujua au??
 
Hivi vitu kuna muda hata madaktari wanasema vipimo havionyeshi dalili yoyote ya homa.
Miaka mitano iliyopita kuna jamaa tulitokea kuzoeana nae sehemu nilipokua ninaishi Kulikua na kijiwe cha mafundi sofa.
Sasa jamaa alikuja kama mteja kanunua sofa baadae akawa anakuja kutembea pale tukawa ndugu tena maana kuna rafiki yangu tulisoma nae akawa anafanya nae kazi.
Yule jamaa akatusimulia kisa chake na demu wake ambae waliachana baadae ila akasema hakuwa anamuelewa yule demu maana alishamtishia kumuuwa iwapo atamuacha.
Kweli jamaa akahama sehemu alipokua anaishi akafanikiwa kuwa mbali na yule binti.

Siku moja kichwa kikaanza kumuuma akapelekwa hospital ya kwa Babu hapa Arusha kalazwa siku tatu haonekani ni nini kwa vipimo.

Ss marafiki tulipopata taarifa jamaa haongei tena kuna kitu kinamkaba tukaenda kumcheki akatabasamu tu, tukaulizana twende kwa mtaalam bahati nzuri kuna mama tunamfahamu anapanfishaga majini. Tukaenda kwa yule mama tukanunua udi akawasha mara akapandidha madude yake.
Hapa twende taratibu kidogo ili tuelewane tulikua yunapambana kuokoa maisha ya huyu jamaa yetu sio vinginevyo.
Basi mama baada ya kupandisha akaongea pale alivyonyamaza akatuuliza kasema nini?
Tukamuambia yale maelekezo yote
Kwamba kuna shehe ataenda amsomee dua maana ana muda mfupi sana kama masaa matano atakuwa marehemu .

Alikua amepigwa jina Makata, maiti na mangine hata sikumbuki.
Tukawahi hospital kuongea na ndugu zake Dada alikua mlokole kaka mdogo kawaida kama sisi.
Tukaongea na kk akarudi wodini akaongea na dada akaja akatuambia Dada kakataa zile hela tulikua tuzitumie kama 30 nikampa kaka akakataa.

Tukaondoka na mishe nyingine baada ya masaa mawili tukapigiwa simu jamaa hatunae.

Haya mambo yapo ndio Dunia tunayoishi
 
Back
Top Bottom