Ushirikina mahospitalini

Ushirikina mahospitalini

Mbona msemaji wa hospital anasema sio mhimbili tena akadai hawana ma ness wanaovaa kama hao wanaoonekana hapo
Sina hakika na hili ila aliyenitumia kasema muhimbili btw tungefahamu kama ni tukio la muhimbili
 
Hospital pana mambo khasa mortuary kuna kisa kilitokea kam miaka 8 nyuma huko kuna Meneja wa timu ya mpira alimsimulia jamaa yake walikwenda kwa mhanga kabal ya game matunge akawapa sharti la kuleta maiti ya mtoto.Jamaa wakaenda muhimbili na kufanikiwa kupata mzigo wao pesa ya usafiri jamaa kabana akadandia hiace na mzigo wakes katia ndani ya begi safari imeanza uzuri kufika mitaa ya sokota pana bimkubwa kapiga yowe pochi lake halioni na kashtukia baada ya konda kumdai nauli kukuru kakara ikaamulia ngoma iende polisi chang'ombe inspection ifanyike meneja akaanza kuiona jela ile goma linataka kukata kwenda polisi meneja kamuuliza bimku pochi yake.Barcelona iliku na shilingi ngapi?bimkubwa akajibu elfu 80 ndo ulikuwa mtaji wangu wa kukaanga samaki kisha akazidisha yow kuliko mwanzo.Meneja kujiokoa akampa bimkubwa mpunga wake na safari ikaendelea.
 
Nasikia Ndio huko wengine wanaua watu wao kishirikina kwa sababu Nyumbani watajulikana!
 
Back
Top Bottom