MWENYE HEKIMA
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 373
- 230
iyo avatar yakokumbeeeeeeee!
iyo avatar yakokumbeeeeeeee!
Actually, hazitakiwi kuwepo kabisa. Hata hiyo mara moja isiwepo.Ulitaka iwe Mara ngapi kwa mfano
hukosi kuwa mchawi weweNachukia sana pyempyerera za ushirikina na uchawi kila siku!
Sio wote wanaoma na kuandika huku hawamjui mungu wengine wapo huku kijifunza na kupanua ufaham wa mambo ya kidunia.Mshana jr acha kuamini ushirikina.. Njoo katika uislamu umjue Mungu wa kweli. You still have a chance. Your life.your choice.
Pamoja sana Kiongozi![]()
![]()
![]()
mia mia
Usiku anageuka ndege anaingia mitaani kuwanga halafu alfajiri anarejea wodini anaendelea kuumwa kitandani na madaktari na manesi wanampa huduma kama kawaida... Hapo alichelewa kurudi ishu ikasanukaHatari sanaa
Kwamba anakua hoiii afu anaruka
Mbona hapo ni mzima kabisaaaaaaa
Maleria ilimpanda kichwani
Mgonjwa mchawi usiku anawanga mitaani mchana anaumwa hospitali... Hapo alichelewa kurudi kitandani kuendelea kuumwa... Mambo yakawa hadharaniSijaelewa kitu hapa, naona zogo tu na mapicha kama waandishi na Uwoya.... video inahusiana na mada...?
Huko unakomkaribisha ndiko chimbuko la uchawi, ushirikina na majini lilipo.Mshana jr acha kuamini ushirikina.. Njoo katika uislamu umjue Mungu wa kweli. You still have a chance. Your life.your choice.
Sumbawanga na msitu wa gambush ni uislamuni???wale 900 watakaomroga mgombea ni uslamuni kule? Wanaotolewa mapepo kanisani ni waislam??? Acha kuzusha.Huko unakomkaribisha ndiko chimbuko la uchawi, ushirikina na majini lilipo.