Ushirikina katika ngono na Manii

Uchawi upo mkuu kasome hata vitabu vya mungu,ila naami pamoja na kuwepo uchawi yesu ni kiboko yao.
 
hizo mbinu nyingine zote nnaweza kuziepuka hila suala la kupiga nyeto hapo wamenipata maana nimeshindwa kuacha kabisaa huo mchezo nilianza kupiga tangu enzi picha za xx kuna vitabu kabisa mnaazimishana niliambiwa nisiwe naangalia blue lakini ikifika ule muda nna download nikishapiga nnazifuta.
 
Kwa maana yake wengi wanakamatika na wengi watakamatika kwenye mtego wakichawi
 
Duuuu
 
Duuuu
 
Duuuu
 
Mmh duu
 

A girl from gamboshi aliletea dhara hili, Hata leo maisha yangu yako about turn, naweza jiokoa vip?
 
siku moja baada ya mtanange kuisha naona mtu anachukua ndom. used anaweka kwenye pochi

mie kwa uoga wa kulogwa dushe (nilijua anaenda likaanga dushe liwe linasimama kwake tu) nkambana anipe marighafi zangu.

basi akanipa ila kwa kulalamika, kumbe alitaka peleka kuongeza idadi ya chama lao.
 
Hatarious kabisa
 
Cheti mpaka phd
Kwa mwanamke anayepelekwa kwenye sherehe za kuingizwa kuwa mchawi, daraja lake la kwanza huwa ni Alter, au madhabahu. Shughuli zote za Mtu kuingizwa katika uchawi hufuatana na "Orgies" (ngono, ya holela na members wa occult,au kukundi.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…