Ushirikina katika ngono na Manii

Unawezakuwa mchawi bila kujijua?
 
Kivipi? Hebu fafanua japo kidogo mkuu.
Pengine ili ujijue/kumjua mtu unapaswa kuona nini, kujisikia vipi ama kukutwa na hali gani!

Thanx in advance
Kuna vitu utakuwa unafanya si vya kawaida au watu watakuwa wanakuambai na wewe hujijui
 
nmekuelewa mkuu mshana jr
hivi inakuaje hawa wanaotafuta watoto kwa kwenda kwa waganga baadhi yao hupata watoto wenye dosari
mfano kuwa na upande mmoja wa mwili mkubwa kuliko mwengine,unakuta mkono mmoja,shavu na mguu mmoja kuwa mkubwa kiasi sio sana .je,hawa watotot nao ni majini??
samahani swali langu linawezaonekana la kijinga
 
Kuna mada yake hili nikiipata takutag. . ni lazima wawe na kasoro kwakuwa ule si uumbaji wa Mungu... Nadhani ile mada inaitwa watoto wa kuzimu
 
Kweli wanaume wajitahidi kulinda manii zao
Nilishawahi kusikia mahali limbwata la kukanyagia shahawa.Mwanamke akifanya hilo limbwata basi huyo aliefanyiwa atakua kama amekanyagiwa akili na mfanya limbwata[emoji23][emoji23][emoji564]
 
Somo hili lingekua published au kutumwa kwenye groups za watsup zingepunguza waume zetu kuchepuka.
Ndo ushakua mwanga hivyo

Mi naomba kuuliza kwa mfano nikilala siku nyingine nakuta kama nipo sehemu tofauti na nilipo lala au nakuta kama naelea Elea hivi nimejiuliza sana jibu nimeshindwa kupata Je tatizo litakuwa nini? mshana jr.
 
Kweli wanaume wajitahidi kulinda manii zao
Nilishawahi kusikia mahali limbwata la kukanyagia shahawa.Mwanamke akifanya hilo limbwata basi huyo aliefanyiwa atakua kama amekanyagiwa akili na mfanya limbwata[emoji23][emoji23][emoji564]
Hili ni kweli kabisa lipo na madhara yake ni makubwa mno
 
Mshana swali langu kwako
Ww ni mchawi ?
Ulianza lini ?
Unakusaidia nini ?
Hapana mimi sio mchawi hivyo haya maswali mengine yanayofuatia yanakuwa hayana majibu tena
 
Hizi ndiyo mada zako siyo unaturn nyuzi 360 na kuja na mada kama hii: Nakuja Dar.......Mrembo aliye tayari tuonane!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…