Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,067
- 2,302
Ushindi wa Taifa Stars ni matokeo ya matumizi bora ya fedha pale TFF na vilabuni. Wenye akili wameshtuka kuwa bila matumizi bora ya fedha zilizopo wanaweza kushukiwa na mwewe bila huruma. Matokeo yake kila kitu kimenyooka na hakuna longolongo. Kocha kalipwa, wachezaji wamepata malipo yao na ahadi kama zipo, vifaa vilipatikana na kadhalika. Fedha ikiheshimiwa ikafanya lililokusudiwa matokeo huwa mazuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app