Timu zote zilizotolewa AFCON huko Ivory Coast kesho yake tu huwa zinaondoka kurejea nchini mwao nini Kiliikwamisha Taifa Stars kwa Siku Nne nzima?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,038
Wenyewe mnajifanya Wasiri halafu GENTAMYCINE nikiwa nawaumbua hapa kwa kilichoendelea mnaninunia.

Hivi kweli inaingia Akilini Fedha za Wanakamati na Watu wa Hamasa wa Taifa Stars mlikuwa nazo ila za kuwapa Posho Wachezaji, za Nauli ya Ndege na Kulipia Bili za Hotel hazikuwepo.

Na msivyo na Aibu siku zote hizo Taifa Stars imekwama kuondoka huko Ivory Coast kurejea Nyumbani Tanzania baada ya Kufurumushwa Mashindano mlikuwa busy kuwaomba Wachezaji wasitoe Siri ya nini kilikuwa kinaendelea huko, ila GENTAMYCINE nimeinyaka na leo nawaumbueni Wanafiki wakubwa nyie mlioko Michezoni ( TFF, Wizarani na BMT )

Taifa Stars imerejea rasmi Tanzania Alfajiri ya leo ila tunajua kuna Wachezaji wale wa Ulaya wamesema safari ijayo mkiwaita basi Fedha zao muwaingizie kabisa katika Akaunti zao kwani wamechoka na kuchukizwa na Uswahili ( Uenyeji Uenyeji ) wenu mliowafanyia huko.

Pongezi nyingi sana nyie Wachezaji Wawili Wazawa mliowapa Makavu Viongozi wa TFF kwa walichokifanya na kuwafanyieni huko Lupango ya muda Ivory Coast huku mmoja akikoswakoswa kupigwa Ngumi ya KO kama ile iliyompa Ushindi jana Mwakinyo Ulingoni.

Mtawaficha Wote, ila siyo Mimi sawa?
 
Mtawaficha Wote, ila siyo Mimi.
Pesa za wajinga walizochanga si zipo sasa unataka tuwahi kurudi ili iweje acha tule bata kwanza..
 
Wenyewe mnajifanya Wasiri halafu GENTAMYCINE nikiwa nawaumbua hapa kwa kilichoendelea mnaninunia.

Hivi kweli inaingia Akilini Fedha za Wanakamati na Watu wa Hamasa wa Taifa Stars mlikuwa nazo ila za kuwapa Posho Wachezaji, za Nauli ya Ndege na Kulipia Bili za Hotel hazikuwepo.

Na msivyo na Aibu siku zote hizo Taifa Stars imekwama kuondoka huko Ivory Coast kurejea Nyumbani Tanzania baada ya Kufurumushwa Mashindano mlikuwa busy kuwaomba Wachezaji wasitoe Siri ya nini kilikuwa kinaendelea huko, ila GENTAMYCINE nimeinyaka na leo nawaumbueni Wanafiki wakubwa nyie mlioko Michezoni ( TFF, Wizarani na BMT )

Taifa Stars imerejea rasmi Tanzania Alfajiri ya leo ila tunajua kuna Wachezaji wale wa Ulaya wamesema safari ijayo mkiwaita basi Fedha zao muwaingizie kabisa katika Akaunti zao kwani wamechoka na kuchukizwa na Uswahili ( Uenyeji Uenyeji ) wenu mliowafanyia huko.

Pongezi nyingi sana nyie Wachezaji Wawili Wazawa mliowapa Makavu Viongozi wa TFF kwa walichokifanya na kuwafanyieni huko Lupango ya muda Ivory Coast huku mmoja akikoswakoswa kupigwa Ngumi ya KO kama ile iliyompa Ushindi jana Mwakinyo Ulingoni.

Mtawaficha Wote, ila siyo Mimi sawa?
Hapo naweka alama kubwa ya kiulizo ?, fedha za harembee hazikutosha hahahaaaa
 
Zingatia maokoto
 
Mimi naona wangeendelea kubaki hadi mashindano yaishe, maana kocha si alisema wameenda kujifunza
 
Hatujawai kua serious unachotegemea ni nini.Mambo mengi yanafanyika kwasababu hiyo.na hapo usitegemee hatua zozote.
 
Back
Top Bottom