Ushindi wa chadema arumeru umetokana na ushamba wa helikopta

Iliwashinda nini CCM kutumia Gulfsream....si wana pesa.......
Sasa kwa taarifa yako.....tunajipanga kuchukua Monduli....ndio mtajibeba.....

Thanks Preta, I really appreciate you telling this to this nincompoop!
 
CCM tumejipanga kuchota kata zote 5 hapo arusha mjini, tuna mbinu na pesa, nyie na magwanda yenu mtaishia kula sadaka za watu. Tena ile kata ya KIMANDOLU ndo tunaitolea macho kama ikulu vile. Hampati kitu ng'odi.

Mbona Arumeru mlileta majeshi yote na bado mkapigwa chini?
Watu wa Arusha ni werevu sana, njooni na pesa zenu tushibe tukalale kwa chadema.
 
Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.
Too low kwa mtu anaejiita great thinker, pia naweza kuidadavua thread yako ktk angle mbili. mosi inaelekea huwa unapwa tenda za kutafuta helkopta na chama fulani sasa unata uungwaji mkono ili uchaguzi ukifika usema hata jf walisema chopa inasaidia ili upate tenda. upande wa pili uwezo wako wa kujenga hoja uko chini ya wastani wa binadamu wa kawaida mwenye umri wa miaka 8
 
Nadhan magamba hawana akili, kazi yao ni kufikiria jins ya kuiba kura. Kwasababu walishazoea kuiba.
 
Endeleeni kujidanganya mnachelewa kutafta soln mwsho wa sku mtakula vnyesi vyenu badala ya mali za umma.
 
Too low kwa mtu anaejiita great thinker, pia naweza kuidadavua thread yako ktk angle mbili. mosi inaelekea huwa unapwa tenda za kutafuta helkopta na chama fulani sasa unata uungwaji mkono ili uchaguzi ukifika usema hata jf walisema chopa inasaidia ili upate tenda. upande wa pili uwezo wako wa kujenga hoja uko chini ya wastani wa binadamu wa kawaida mwenye umri wa miaka 8

Flimsy analysis. Ungukuwa mti wewe nadhani ungekuwa mpapai, hufai hata kwa mbao. Go 2 hell
 
Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.

Kwetu watu wenye akili kazako wanaitwa balafu namimi nakuita balafu weeee
 
CCM tumejipanga kuchota kata zote 5 hapo arusha mjini, tuna mbinu na pesa, nyie na magwanda yenu mtaishia kula sadaka za watu. Tena ile kata ya KIMANDOLU ndo tunaitolea macho kama ikulu vile. Hampati kitu ng'odi.

Yule takataka Kichaa alisema kwamba wao hawatatumia helkopta kwani wanajeshi wa nchi kavu ndio wanaoiteka nchi, na kwamba Chadema wakitua tu watakuta wao wameshaliteka jimbo la Arumeru! Yu wapi sasa huyu Mbweha aje hapa kubwabwaja utumbo wake! Kuna mahali hela ya Mamvi imeliwa kama Arumeru! Hela imeliwa, kura watu wamewapa makamanda. Jaribuni kuleta ujinga huo Arusha, nawahakikishieni, hamtajisamehe! Watu wameamka mjomba! Ni wewe tu na familia yako ndo bado mpo gizani.
 
point of correction to ua silly topic,i wish uje arumeru thn uwaone hao unaowaita washamba wa helcopter, kweli akili yako ni shake well before use
 
CCM tumejipanga kuchota kata zote 5 hapo arusha mjini, tuna mbinu na pesa, nyie na magwanda yenu mtaishia kula sadaka za watu. Tena ile kata ya KIMANDOLU ndo tunaitolea macho kama ikulu vile. Hampati kitu ng'odi.

Mmeanza tena tambo eeeh!Subiri.
 
Umeamua kuwakejeli wameru..

Ila chopa inasaidia ndio maana nasema Mbowe awe Rais ni mbunifu sana huyu dogo

Nilikuwa Dodoma vijijini juzi wananchi wanasema kile chama chenye ndege ndio tunawataka..

Chopa ilisaidia sana KAFU kule Igunga
 
Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.

Wewe utakuwa ni Lusinde bila shaka
 
point of correction to ua silly topic,i wish uje arumeru thn uwaone hao unaowaita washamba wa helcopter, kweli akili yako ni shake well before use

Nimekaa Arumeru wiki zote tatu za kampeni, wameru walikuwa wakiskia chopa ipo makiba, wanakodisha magari kwenda kuitolea mimacho. Wengi wamepiga nayo picha. Shukuruni ndesa kwa kuwapa bahati ya maisha. Leteni chopa yenu arusha muone tutakavyowachinjia baharini
 
Back
Top Bottom