Ushindi wa chadema arumeru umetokana na ushamba wa helikopta

Eti huyu naye ni mfanyakazi wa Nape!!!!!!!!
Kwa nini CCM ni wajinga kiasi hicho?wewe ni mwehu rudi ulikotoka.
 
nani aliwazuia ccm nao kuitumia?

Ndugu
zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua
wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano
kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na
uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.
 
Ndugu zangu, tuache ushabiki na unafiki, kama si helikopta iliyowazingua wameru, Nasari asingeshinda. wengi walikuwa wanakuja kwenye mikutano kushangaa chopa tu. Yani roho yangu inaniuma, natamani hata nijiue. Na uchaguzi wa madiwani ARUSHA mkipata kata moja, shukuruni Mungu.

Thanks moderators/administrators kwa kulipiga BAN hili jamaa. Yani alikuwa anachafua hali ya hewa tu humu jamvini. Asirudi tena hapa. R I P Calculator
 
Calculator ya betri mbovu mi nilidhani una akili kumbe ni sawa na Kibajaji cha Mtera. Ndiyo aina ya watu wanaofikiri kwa kutumia masaburi. ACHA AJABU!
 
Wewe kikokotoo mbona hata CCM walikuwa na helcopters arumeru, au ndo masaburi on work
 
Back
Top Bottom