Ushindi bila penati leo umeanza kunitia moyo !!

Ushindi bila penati leo umeanza kunitia moyo !!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Nahisi leo akuna atakae lalamika jamani kuhusu ushindi wa man u
wameshinda kihalali ingawa makosa madogomadogo kwa refa ayakosekani
zuri zaidi ni lile wimbi la ushindi wa penati sasaa basi
tumeanza kushinda kihalali atutaki makelele
 
Back
Top Bottom