

Daaaah nilivyosoma show ya kibabe nikawa najificha kufungua....
Pole sana chief, skunyingine chunga usije vunjika mkuu kwa mbio kama leo...Daah! !!! Sio kwa mbio hizi nilizo Kuja nazo. .mkuu umeniweza. ..
Sasa hiyo Pete uliyo vaa na yule manzi ambaye ni member mwenzetu humu. .uliye mueleza kuwa haujaoa '-Itakuwaje? ?
Au utamuambia kuwa upo location unafanya movie


Kisamvu kiko wapi? Afu naona hapo ni kwa mama ntilie.Mimi show yangu ya kibabe leo ninapiga kisamvu cha nazi, parachichi + nyama iliyokaangwa vizuri ya kushiba jana nilikula hiviView attachment 1152665
Kisamvu kiko wapi? Afu naona hapo ni kwa mama ntilie.