Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Atakwambia ugali hauna chumvi naongeza kidogo ugali na chumvi wapi na wapi
Kuna mmoja aliwahi kusema eti "ugali unanata kwenye mkono.
Sasa mbaya zaidi akawa anautikisa na kuukung'uta mkono kana kwamba amechomwa na mwiba kama sio kushika haha kubwa...mbaf zake sana
 
Hii ni nini?
tapatalk_1563035441164.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂😂ungempa uma na kisu Mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kuna mmoja aliwahi kusema eti "ugali unanata kwenye mkono.
Sasa mbaya zaidi akawa anautikisa na kuukung'uta mkono kana kwamba amechomwa na mwiba kama sio kushika haha kubwa...mbaf zake sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom