Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,426
Dah...upo Shem?Daah Mungu tu ndio anajua nilichokuwa nafikiria![]()

Dah...upo Shem?Daah Mungu tu ndio anajua nilichokuwa nafikiria![]()

Nilitaka kushangaa mkuu! Basi sawa!Hapana mkuu, ni mguu wa jirani yangu hapa
Wazee wa ku-zoom! Picha huwa zinaongea maneno mengi sana kwa wakati mmoja.Mkuu mambo yakuchunguza makongoro ya watu si sawa wewe angalia msosi tu
😀😀😀😀😀😀
Nani shemeji yako? Unaniita shem unataka kuninyima nini acha zako bwanaDah...upo Shem?![]()
Nani shemeji yako? Unaniita shem unataka kuninyima nini acha zako bwana
Dah...Nani shemeji yako? Unaniita shem unataka kuninyima nini acha zako bwana

Hicho kisamvu nimekielewa sana mkuu.Mimi show yangu ya kibabe leo ninapiga kisamvu cha nazi, parachichi + nyama iliyokaangwa vizuri ya kushiba jana nilikula hiviView attachment 1152665
Ipi hiyo babeNakuona tu unavyo ichezea bahati...
Ananipenda wakati ananiita Shem, mapenzi gani yayo babeUkipendwa pendeka babe...teh![]()
Sijui umenielewaaa...Mkuu, huku ushirombo huwa hatumwagi kitu kama huko Dar....
HahahahahahaMkuu, ebu usinikosee adabu kabisa...
Kwahiyo hapo unamaanisha sahani ilinifedhehesha eehhh....!!!???