Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Nilivyosoma "nilivyopiga show ya kibabe" nikashtuka nikajua mambo ya Zero IQ.

Hongera mkuu umejitahidi sana ila nina mashaka kama hilo tembere umeweza kulichambua. Itakuwa umepika na kamba zake
Sema wanaume ni wasafi sana kwenye kupika japo sio wote.

Mie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
 
Asante kwa pongezi zako chief.
I wish ningekukaribisha, lakini ndio hivyo nimebonyeza ndonga yote hadi vyombo nikaosha kibabe....teh
 
😂😂😂😂😂😂😂vitajuana na kuchambuana vyenyewe huko huko tumboni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom