Usher Raymonda wa Bongo

Usher Raymonda wa Bongo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
usher5.jpg
usher7.jpg
 
Umetoa u-turn unaleta hapa tujadili..!! sorry mkuu
 
haha ELTORO BWANA
WE JAMAA SIKUWEZI🙂🙂 AND WHO IS THIS GUY?
 
Hiyo Gari ni yake kweli ama ndio hivyo tena za kibongobongo, wasanii wetu wanapenda sana ubitoz badala ya kufanya kazi matokeo yake wanaanza kuhisiwa ni Mashoga.
 
hayo mapoda kalikiti na lipstik anafaa sana kumpumulia kisogo huyu unamvalisha gauni tu au kipedo kisha twende kazi:director::yawn:
 
this guy is calling himself NISHER but his name ni Nick David mtoto wa Mh. Mstahiki, Nabii GeorDavie Kasambale (thats the way he calls himself) Nabii na kiongozi wa Ngurumo ya Upako kisongo Arusha. ni mwimbaji wa gospel ktk style ya RnB na crunk pia ni muongozaji na mtayarishaji wa muziki wa gospel ktk kanisa la babaake. unawaza pia msearch kwa FB kwa jina la NISHER
 
Huu ni utata mtupu mwimbaji wa nyimbo za gospel anakuwa hivyo kama .........................

  • :alien:
 
Back
Top Bottom