Ushawahi kupitia haya maisha

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,750
2,279
519ab984fcd38cabb9e5e722bb5e22e4.jpg
 
Na kumbuka kuwa sio kila majani yanafaa kwa shughuli hio, unaweza chuma upupu shughuli ikawa nyingine, majani yanayotumika sana ni majani machanga ya mndulele.
 
Na kumbuka kuwa sio kila majani yanafaa kwa shughuli hio, unaweza chuma upupu shughuli ikawa nyingine, majani yanayotumika sana ni majani machanga ya mndulele.
Mkuu unakumbuka hizi mambo, majani ya magimbi nayo yapo vizuri.
 
Kwa sie tuliozaliwa bush suala la majani kawaida sana

Pacha kumbe na wewe umepitia hii mambo?
Nakumbuka tukiwa shule; unabeba karatasi zako kadhaa unazipekecha zinakuwa laiiini kama TP.
Na kuingia chooni shurti uvue nguo zote ili zisibebe ile pafyumu ya chooni, Halafu eti huwa inatokea namiss kabisa zile moments o_O
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom