Sara
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 1,060
- 933
Utakua wa kishua!mmh sijapitia haya maisha mimi
Utakua wa kishua!mmh sijapitia haya maisha mimi
Hahahaaa pacha hujatulia kabisa wewe....mara mojamoja uwe nunafanya sasa kukumbushiaPacha kumbe na wewe umepitia hii mambo?
Nakumbuka tukiwa shule; unabeba karatasi zako kadhaa unazipekecha zinakuwa laiiini kama TP.
Na kuingia chooni shurti uvue nguo zote ili zisibebe ile pafyumu ya chooni, Halafu eti huwa inatokea namiss kabisa zile moments 😵
mahindi mabichi au makavu maanake............Na magunzi ya mahindi hehehe
Kosea sasa uchume upupu ndo utaona raha yakeKwa sie tuliozaliwa bush suala la majani kawaida sana
Makavu hehehemahindi mabichi au makavu maanake............
Hahahaa kuna majani special si kila janiKosea sasa uchume upupu ndo utaona raha yake
enzi zile boxer hazikuwepo. ni zile ambazo some times unaikuta imechanika ipo kifuani. aacha tuuMchizi anaanza kuvilia nguo nje nadhani gogo litakua lishapiga hodi kwenye boxer haha
wamasai guitar na rungu, makabila mengine husugua ardhini, wengine na mchanga, wengine na majani, waarabu maji, wadhungu karatasi...wew je ?Kwani kuna tofauti gani kwa anaye tumia toilet paper na huyu wa majani @mshanaJr
hehehehe hii nayo kali kuliko, majani ya magimbiWEWE ULIKUA MZOEFU YAONEKANA
Hahahaa mutuwache watu wa nyanda za juu kusiniDizaini kama nyanda za juu kusini hivi?
Jani best ni mshunshu na kitatelante basi kama kuna wanafunzi basi karatasi za mtihani.