Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] chezea Engineering science wew.....watu wa Bwiru tech tunaujua mziki wake
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] chezea Engineering science wew.....watu wa Bwiru tech tunaujua mziki wake
Noma sana,ukute swali la kirchoff law limesukwa kisawasawa,au strength of material au ukute jiwe la Heat,lazime upige tatu mzuka!
 
hii hali huwa inatokea aiseeee na huwezi kuzuia
 
ko wanaume mtihan mgumu au hausomeki mnafika kileleni? 😱
 
ko wanaume mtihan mgumu au hausomeki mnafika kileleni? 😱
Kilele cha hatari!!!Yaani linakuwa murua kabisa,linaondoa stress zote na unarudi kuwa normal!Only the lucky ones ndio wanapata hii fursa!
 
Ilimtokea Mshikaji wangu tukiwa Kidato cha Pili , siku hiyo tulikuwa tunafanya Mtihani wa Kemia. akanihaditia nikamcheka sana ikaja zamu yangu Kidato cha 4 tunafanya mtihani wa Lugha ya Watumwa; tumefanya Mtihani kama dakika 10 mie nimemaliza swali 1 pekee mara msimamizo akaropoka bado dakika 5 walah Darasa zima tulichanganyikiwa, mie nikafunga goli na nikaamua kulala kama dakika 20. Baadae alitengua kauli!
 
Hahahahaaaa,na usingizi juu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…