CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Morning,
Najua wapo watu wengi ambao walishawahi kunusurika ktk matukio mbalix2.Mie aunt yangu alinusurika ktk ajali iliyowaua watu 38 mbele ya macho yake! Ilikuwa hivi;walianza safari toka kijijini wakiwa watu zaidi ya 40 ndan gari aina ya coaster.walipofika kwenye daraja 1 hivi wakakuta daraja limekatika,basi wakawa wanajaribu kuvuka wakiwa ndani ya gari lakin aunt yangu alisita akateremka yeye na wengine wachache.gari iliondoka kufika katkat ghafla gari likasombwa na maji na kuua watu 38 akishuhudia!
so sad! Hiv yuko sawa mpaka leo? Kwan ingekuwa mie ningeathirika kisaikology mbaya.
nimenusurika kwenye ndoa.
yah inaeleweka mie niliwah shuhudia mtu aliyejiua nikiwa mtoto huwez amin mpaka leo bint mkubwa lakin naikumbuka sura ya yule dada mwanzon nilikuwa naweweseka bt yalikuja kwisha ila taswira cjaisahau.kiukweli ilimchukua muda sana ku-recover. alikuwa kama kachanyikiwa hadi ikafika wakati anataka kukimbia pia alikuwa anapiga kelele sana na kulia. alikaa ndani kama mwezi mzima hivi. hiyo ilikuwa miaka ya 90's hivi. but now yuko sawa kabisa!
Nimenusurika mara nyingi sana NDOTONI
yah inaeleweka mie niliwah shuhudia mtu aliyejiua nikiwa mtoto huwez amin mpaka leo bint mkubwa lakin naikumbuka sura ya yule dada mwanzon nilikuwa naweweseka bt yalikuja kwisha ila taswira cjaisahau.
Ngoma ! Ngoma ! Ngoma ! Baabaake!
Mnusuriko na ngoma ndo mzima mpango! Nao deiz
nimenusurika kupewa kibuti mara kibao tu mpk sasa sipo vizuri psychologicaly katika kutongoza
duh, pole sana!