Ushawahi kuliwa mzigo kimasihara

Ushawahi kuliwa mzigo kimasihara

aisee imetoka kula kimasihara now kuliwa kimasihara!
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Sasa hawa waliokula kimasihara walimla Nani? Mbona hakuna uwiano mzuri Kati ya waliokula kimasihara na walioliwa kimasihara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pride ...pride ndugu yangu blood pride. ..


Wanaona kama ni humiliation Fulani kukiri kama waliliwa kimasihara japo wanatumia fake I'd kitendo cha wao kukiri waliliwa kimasihara hawawezi naona wanaumia moyo wakijua HVO


Tofauti na sisi ni kawaida kula kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naenda kuchukua trekta uzi umeganda,

Nitarudi🏃🏃🏃🏃🏃.
 
Back
Top Bottom