Ushawahi kulazimisha penzi?

Ushawahi kulazimisha penzi?

Ki ukwel mm nina matatizo nasijui tayatibu vipi nikiwa kwenye mahusiano sumu mwanamke aoneshe yy ndio kanipenda sana tamtesa sana natokea kumchukia eeehh mungu nisaidie nipone
@Mshanajr alisema...ukishindwa kusamehe LIPA KISASI.
 
Sasa unavyomwambia mtu unampenda na kumuhitaji Sana...Ungemwambia pia asikupende Sana...

Hii ni excuse tu yakutumia watu....nawakuwapotezea Muda..unakuwa unajua from the word GO...Nia yako Ni nini
Comment hiyo ina ubaya gan mpaka kunifata DM nakuanza kunitukana na vitisho kibao pole sana inaonekana unastress sana au umedhan ndio yule bwana wako pole sana tena sana kunywa maji mengi sana
 
Mkuuu. Vipi Tena nimekufuataa Dm...labda nimekuchanganya ..mbona mimi sikujui mkuu
 
Nasema hiyo ni ngumu kumjua! Ingawa an intelligent lady atamuona maana anakuwa hana mbwembwe nyingi. Hawazi kukupeleka outing na yupo serious na future life. Playboy ni mwendo wa kukupa good time leo hii, uongo mwingi ! Kukuhaidi kukupeleka Dubai na corona hii, unapumbazika mzigo unatoa. A serious man unamuona mshamba tu
Agreed [emoji817] [emoji110]
 
Katika maisha yangu...nlikua na furaha na Amani na nilikua single kabisa..sio wote walio single wanastress..

Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno..but hata ukituma msg anasoma...hajibu ..akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi([emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya Kwanza kusikia hili neno)

Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....

zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu...au kuombea Dua mbaya...

Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA....

Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani...

Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa...

Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako..
Unaweza ukadhani nyungu imekuepusha na Corona kumbe ndio inadhoofisha mwili wako
 
Kama mimi tuu [emoji23]
 
Maisha haya yaajabu sana
Yaani ukimpenda mtu yeye hakupendi
Akikupenda wewe humpend
Kifupi tafrani tupu

Juz kaz baada yakuona nmekaa muda mrefu bila kuwa kwenye hiyo sector nkapata wasaa wakuongea na bidada mmja hivi
Of coarse nlilataman kumfanya wife kabisa
Kwakua bado anahangaikia elimu
Nlimwambia akipata boom aisev kidogo kisha na mim ntakua nnampower kimtindo kila mwisho wa mwezi
Ili akija maliza chuo coz ndio last year walau awe na kiasi chake chakuendesha maisha na kiniashara chochote akihitaji

Na mambo mengine mengi
Nlimkubari tu kutoka moyoni

Ila ameniona kama panya iliyokosa manyoya
Naona mwenzangu yupo mbali
Haelew nin namuambia
Bas nmeona niendage na njia yangu........

(Nje ya maada wanyakyusa wanashida gani?)
 
Wako serious itakua ana mahusiano
 
Back
Top Bottom