ScermierBheckie
Member
- Jan 3, 2021
- 18
- 8
Absolutely rightNi sawa mtu anaesema yeye pombe ndo Kila kitu chake..inshort...Haoni Kama Kuna kingine Cha kumfanya ashughulishe Akili...
Absolutely rightNi sawa mtu anaesema yeye pombe ndo Kila kitu chake..inshort...Haoni Kama Kuna kingine Cha kumfanya ashughulishe Akili...
Umenikumbusha kipindi nasoma niliwah kuwa na huyo kaka nikimuambia nimem'miss ananikaripia[emoji23][emoji23] eti namtoa kwene mood ya kazi . Ukipenda usipopendwa ni shida sana.Kinachonikera ni kuwa mtu anajua he doesn't think you are important in his life...but he plays with your mind...Why not be Frank...kuwa this thing isn't working..
Unakuwa unaplay mind games...leo nakutaka...kesho SIKUTAKI...leo najibu sms ..kesho nakwambia nipumzishe na msg yako...
Leo tunakubaliana kuonana.umefika muda wakuonana...unasema baadae Yale yalikua maamuzi yako....hatukukubaliana ndo maana sikuja
Tena unakubali kuonana...ikifika Muda unauugua sijui pressure imefanyaje..
Mara nataka kuonana ila Sina Salio...( Kwaiyo nikutumie au?)
....Ukipigiwa simu unasema ukiona sijapokea simu subiria nitakutafuta..hata Kama Ni kesho yake...Ukitumiwa msg unasoma alafu unasema SIJAZIONA [emoji3][emoji3][emoji3]....
Whatsapp unasoma..alafu hujibu Wala Nini...
Sasa kwanini umkaraishe mtu...unamfukuza alafu akiondoka...unasema Hana subira...Sio mvumilivu...Sasa hapo unavumilia Nini?..
Ukisepa zako eti anaaanza kukupigia simu..
Ptuu...FOR MY SANITY I can't be treated like this... Kwanza SIJAWAI ....treatiwa Kama hivi...Mpaka nimeshangaaa...
I wish him nothing but Crisis and misery... For toying with my feeling's
Mimi..huyo nikimpigia Simu...akiwa huko.kazini Kwanza alikuawaga hapokei..nikalalama weeee.akaanza kupokea..
Kheee...Utasikia anagomba nipo kazini saiv ...Nareport nyingi Sana...Sijui bla bla bla.....NIPO KAZINI NIACHE BWANA...sasa nikawa nawaza anataka aonekane mfanyakazi Bora au
hivi yeye ndo wakwanza kufanya kazi....maana watu tunakazi lakini Bado tunapaga dakika 3 zakuwapigia WENGINE...
Akiwa huko kazini hawasiliani na mtu yoyote kwenye Simu..hata ndugu zake wakitaka kumsalimia Ni Baada ya kazi...
Eti kila jambo na Wakati wake...Wakati was kazi ni kazi...na Baada ya kazi Tena sa nne usiku ndo atakupigia..na atatoa salamu tu...mzima mzima..haya usiku mwema...
Hakuna umeshindaje, wazima hapo nyumbanj...au hata akuelezee yeye siju yake..hakuna...naukipiga Simu kutaka kuongea ongea...ajibu bwana wee nimechoka NALALA....
yaaani unaweza kutana na mtu unashangaaa hivi ilikuwaje nikakutana na Kituko Kama hichi...

Big no au sio
Wajinga wote wanatumia nyunguAiseee....KWELI kabisa
. Na ntakuloga weweUchawi upo kweli kabisa.....nawatu wanarogana kweli kabisa..
Ila Mimi habari za kurogana ndo Siziwezi kabisa..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Sasa ntafanyaje ukiamua kuniroga.... Na ntakuloga wewe
Pole ila utam wa maisha ndo upo kweny mambo kam hayo.YAAAANI SIO HASIRA..NIMECHUKIA SANA SANA SANA SANA..
Tena nikama nimetonesha kidonda kabisaaa...
Nimekereka Sana.
🙄🙄🙄 pole sana mkuu mpaka nimeingia huruma sasa daaahh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....Sasa ntafanyaje ukiamua kuniroga...
Kama ningeamini katika Sihri na uchawi...basi kwenye matukio ya maisha yangu Mpaka Sasa ..Nilitakiwa niwe nashinda kwa Waganga....
Maana Mambo Ni HOVES