Ushawahi kulazimisha penzi?

Ushawahi kulazimisha penzi?

I can say nipo kwenye situation kama hiyo, mtu unampigia simu anaongea kama hataki,alafu kila siku wewe ndo wa kupiga simu yeye hapana,ukimtumia msg anajibu kwa kujisikia,kitu kidogo atanuna wiki[emoji31]ngashoka
Wanaume wanaonuna sijui huwa wanna matatizo gani..Khaaa!!
Ila pole dear jifunze kumpotezea mwishowe utazoea tu.
 
hamna kuteseka, unajua mateso anakuwa nayo mtu mwenyewe wala sio yule unaedhania anakutesa. Yeye anaishi maisha yake tu 😂 ila wewe ndio unateseka nayo. Mtu kaamua asipokee simu si ni yake na maamuzi yake we unateseka nini hapo? Mtu kaamua awe busy na shughuli zake we unasema hakupendi 😂😂😂
😂😂😂😂 Hilo nalo neno ndugu yangu
 
I can say nipo kwenye situation kama hiyo, mtu unampigia simu anaongea kama hataki,alafu kila siku wewe ndo wa kupiga simu yeye hapana,ukimtumia msg anajibu kwa kujisikia,kitu kidogo atanuna wiki[emoji31]ngashoka
I'm feel sorry for you dear, pole sana
 
Hamia Air tel, mambo ni murua unapata mapenzi mpaka mengine unabeba na ngata, take home.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...eti ngata..umenikumbusha Miaka ya kubeba maji kichwani
 
Katika maisha yangu...nlikua na furaha na Amani na nilikua single kabisa..sio wote walio single wanastress..

Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno..but hata ukituma msg anasoma...hajibu ..akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi([emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya Kwanza kusikia hili neno)

Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....

zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu...au kuombea Dua mbaya...

Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA....

Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani...

Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa...

Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako..

Pole sana!unaonekana una msongo mkubwa sana wa mawazo!na tukipuuzia unaweza ukajinyonga kabla hatujamaliza mwaka huu 2021!tutazidi kukufariji na kukuombea ili uepuke kikombe hichi [emoji24]
 
Pole sana!unaonekana una msongo mkubwa sana wa mawazo!na tukipuuzia unaweza ukajinyonga kabla hatujamaliza mwaka huu 2021!tutazidi kukufariji na kukuombea ili uepuke kikombe hichi [emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Mimi nijinyonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Khaaaaaaa...nimecheka sanaaa
 
Back
Top Bottom