Ushawahi kulazimisha penzi?

Ushawahi kulazimisha penzi?

Katika maisha yangu...nlikua na furaha na Amani na nilikua single kabisa..sio wote walio single wanastress..

Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno..but hata ukituma msg anasoma...hajibu ..akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi([emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya Kwanza kusikia hili neno)

Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....

zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu...au kuombea Dua mbaya...

Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA....

Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani...

Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa...

Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako..
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi pia nadhani nilipenda nsipopendwa on other words I dated a man who doesn't love anything zaidi ya kazi yake. Funnie part ni kwamba nimeishi naye miezi kadha and akaniacha kwa sababu zisizo na mashiko, he was cold.. nawaz jinsi nlijitoa kwa ajili yake, sijawahi mnunulia kitu ila mda wangu ulikua na maana sana, kupika na kumtunza vyote nilifanya. Mimi ndio nilikuwa najitahd jahazi lisizame, mlivyoona nashindwa nikasema let it sink.. he is a sad being.
Pole mydear shishta...
 
Kweli kabisa... Mtu huwezi muomba akumiss...but Kama wapenzi hamjaonana let's say week Tatu..unaweza tegema mwenzako nae atakuwa amekumiss...

But nadhani ....mtu akiwa hajali hisia zako ndo hua Anakujibu atakavyo....

"Kumisiwa Hakuombwi" = "You can not negotiate genuine desire".
 
Mimi pia nadhani nilipenda nsipopendwa on other words I dated a man who doesn't love anything zaidi ya kazi yake.

Ushauri kwa Vijana wa kiume.

Hustle zako ziweke katika kipaumbele. Usimweke Mwanamke kwenye kipaumbele chako. Thamani ya mwanaume inazaa mafanikio, Mafanikio yanakuletea heshima mbele ya jamii. Nitajie mwanamke ambaye hapendi mwanaume aliyefanikiwa.
 
Sa
Mimi pia nadhani nilipenda nsipopendwa on other words I dated a man who doesn't love anything zaidi ya kazi yake. Funnie part ni kwamba nimeishi naye miezi kadha and akaniacha kwa sababu zisizo na mashiko, he was cold.. nawaz jinsi nlijitoa kwa ajili yake, sijawahi mnunulia kitu ila mda wangu ulikua na maana sana, kupika na kumtunza vyote nilifanya. Mimi ndio nilikuwa najitahd jahazi lisizame, mlivyoona nashindwa nikasema let it sink.. he is a sad being.

Sababu gani hizo?
 
Ah haya mambo acha tuu. Unabaki tu kugugumia kwa ndani.
 
Ushauri kwa Vijana wa kiume.

Hustle zako ziweke katika kipaumbele. Usimweke Mwanamke kwenye kipaumbele chako. Thamani ya mwanaume inazaa mafanikio, Mafanikio yanakuletea heshima mbele ya jamii. Nitajie mwanamke ambaye hapendi mwanaume aliyefanikiwa.
Kazi Ina nafasi yake na mwanamke ananafasi yake....Kama Wewe kila kitu unasema kazi...Basi lazima Huyu mwingine ataona haana maana

Mfano mnataka kukutana unasema kazi...mnakuwa wote unaondoka unasema SIMU ya kazi... Ukipiga simu nimekumiss...unagombezwa nipo kazini...

Ukimtaka kimapenzi...nimechoka na kazi...
Twende tusalimie wazazi..Sina Muda nafanya kazi...

Huwezi invest muda wako wote sehemu.moja...ukapata mafanikio sehemu nyingine...

Tunapenda mafanikio lakini pia tunapenda kujaliwa... Mwanaume asipoonesha kukuhitaji utaenDA KULE ambako unaona unathaminiwa.....hata Kama but kwa kucheat.

Hata Mama akijali Sana watoto akamsahau mume...mume atalalimika..

Kila. Kitu.kipewe kipaumbele chake kwa Wakati wake.
 
"Kumisiwa Hakuombwi" = "You can not negotiate genuine desire".
Kinachonikera ni kuwa mtu anajua he doesn't think you are important in his life...but he plays with your mind...Why not be Frank...kuwa this thing isn't working..

Unakuwa unaplay mind games...leo nakutaka...kesho SIKUTAKI...leo najibu sms ..kesho nakwambia nipumzishe na msg yako...

Leo tunakubaliana kuonana.umefika muda wakuonana...unasema baadae Yale yalikua maamuzi yako....hatukukubaliana ndo maana sikuja

Tena unakubali kuonana...ikifika Muda unauugua sijui pressure imefanyaje..

Mara nataka kuonana ila Sina Salio...( Kwaiyo nikutumie au?)

....Ukipigiwa simu unasema ukiona sijapokea simu subiria nitakutafuta..hata Kama Ni kesho yake...Ukitumiwa msg unasoma alafu unasema SIJAZIONA [emoji3][emoji3][emoji3]....
Whatsapp unasoma..alafu hujibu Wala Nini...
Sasa kwanini umkaraishe mtu...unamfukuza alafu akiondoka...unasema Hana subira...Sio mvumilivu...Sasa hapo unavumilia Nini?..

Ukisepa zako eti anaaanza kukupigia simu..

Ptuu...FOR MY SANITY I can't be treated like this... Kwanza SIJAWAI ....treatiwa Kama hivi...Mpaka nimeshangaaa...

I wish him nothing but Crisis and misery... For toying with my feeling's
 
Umejaa hasira kali sana.
 
Ushauri kwa Vijana wa kiume.

Hustle zako ziweke katika kipaumbele. Usimweke Mwanamke kwenye kipaumbele chako. Thamani ya mwanaume inazaa mafanikio, Mafanikio yanakuletea heshima mbele ya jamii. Nitajie mwanamke ambaye hapendi mwanaume aliyefanikiwa.
You don't get it..
 
Back
Top Bottom