Waje!! Hali Ni Tete SanaNamimi Nashangaaa ...inabidi tuwaulize watu was Sua wanaosoma Agriculture.
Haa😅😄😃🤣😂😀😀😅😄🤣🤣Kennedy huwa unalala kweli wewe...? Namashaka.unaweza ukawa jambazi huko Airport..
Mkuu SIWEZI kuandika posta zile za kusema nitarudi...hayo maelezo yanatosha
Haya bhana Pambana my friend.... success come to those who strive for it.Haa[emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji3][emoji3][emoji28][emoji1][emoji1787][emoji1787]
Tuchape Kazi
Muda Huu Nakwenda Swaswa
Kesho Dar es Salaam, Ila Hali Ni Tete Sana
Yaani Mdudu Ndani Ya Kokwa La Embe Kaingiaje? Tumepatwa Taharuki
mtoa mada inabidi aishi kwa kuangalia nyakatiNoma sana spanerboy
Lipia tangazoKatika maisha yangu...nlikua na furaha na Amani na nilikua single kabisa..sio wote walio single wanastress..
Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno..but hata ukituma msg anasoma...hajibu ..akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi([emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya Kwanza kusikia hili neno)
Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....
zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu...au kuombea Dua mbaya...
Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA....
Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani...
Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa...
Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako..
yakubidi uwe macho tuMteule uwe Macho...hizi ni nyakati za mwisho
Tatizo la ubinadamu, akija mtu serious utamkataa na akija playboy utamkubali. Akiichakata K anasepa unabaki to square one. Pole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Eeeeh....Kumbe mtu serious huwa ANAkuwa na Ujumbe kwenye paji la uso..kuwa unalisoma..Tatizo la ubinadamu, akija mtu serious utamkataa na akija playboy utamkubali. Akiichakata K anasepa unabaki to square one. Pole
Nasema hiyo ni ngumu kumjua! Ingawa an intelligent lady atamuona maana anakuwa hana mbwembwe nyingi. Hawazi kukupeleka outing na yupo serious na future life. Playboy ni mwendo wa kukupa good time leo hii, uongo mwingi ! Kukuhaidi kukupeleka Dubai na corona hii, unapumbazika mzigo unatoa. A serious man unamuona mshamba tuEeeeh....Kumbe mtu serious huwa ANAkuwa na Ujumbe kwenye paji la uso..kuwa unalisoma..
Basi Itakuwa sijui kusoma lugh hiyi
Duuuh...hiyo Dubai vipi?..Nasema hiyo ni ngumu kumjua! Ingawa an intelligent lady atamuona maana anakuwa hana mbwembwe nyingi. Hawazi kukupeleka outing na yupo serious na future life. Playboy ni mwendo wa kukupa good time leo hii, uongo mwingi ! Kukuhaidi kukupeleka Dubai na corona hii, unapumbazika mzigo unatoa. A serious man unamuona mshamba tu
Nilikuwa nimesituka na comment ulosema mimi sijawahi kuwa mwanamke! Well hii sasa Naona tupo pamoja. Njia rahisi ni kujipa muda kabla ya kumvulia chupi. Playboy anaonekana baada ya muda mchache na serious man ataonekana tu. Ila akinamama mnapenda sana kudanganywa sanaDuuuh...hiyo Dubai vipi?..
Mydear you can never know for sure... People lie and they make you believe what they are saying is true...you fall for the lie...
hebu tusubir kuzika kwanza jamani dooohKatika maisha yangu...nlikua na furaha na Amani na nilikua single kabisa..sio wote walio single wanastress..
Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno..but hata ukituma msg anasoma...hajibu ..akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi([emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya Kwanza kusikia hili neno)
Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....
zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu...au kuombea Dua mbaya...
Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA....
Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani...
Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa...
Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako..
Ooowky... tunapenda kudanganywaNilikuwa nimesituka na comment ulosema mimi sijawahi kuwa mwanamke! Well hii sasa Naona tupo pamoja. Njia rahisi ni kujipa muda kabla ya kumvulia chupi. Playboy anaonekana baada ya muda mchache na serious man ataonekana tu. Ila akinamama mnapenda sana kudanganywa sana