Ushawahi kulazimisha penzi?

Ushawahi kulazimisha penzi?

Hawa wanawake wa saivi ndo wanataka hivi,
Ukiwapa attention ya kutosha wanakuona hamnazo
 
Ki ukwel mm nina matatizo nasijui tayatibu vipi nikiwa kwenye mahusiano sumu mwanamke aoneshe yy ndio kanipenda sana tamtesa sana natokea kumchukia eeehh mungu nisaidie nipone
 
4f580d60-187e-4f33-b68c-f906c728de89.jpg
 
kuna mtu alikuwa ananikataza tabia flani sisikii akaniambia siku nikiamua kukaa kmy utajuta nkadhani masihara aisee kweli nilijuta na kuna wanaume wana wana MISIMAMO nyie mshakaji aligoma kupokea simu wala kujibu txt nilikonda bila diet mpaka leo ataki kuniona anasema atanionea huruma 😉
 
Uyo ni mimi kabisa
 
Koma
 
Ukaamua kuendelea kujidanganya, hebu acha hizo njoo kwangu nikupe ma love yakuzidi. Acha kuteseka na vitunguu maji ww mrembo[emoji76]

Yani hamna kitu kinaniuma kama kuona mrembo anateseka.
Wallahi usingecomment hivi ningekojolea dari [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom