Ushawahi kulazimisha penzi?

Ushawahi kulazimisha penzi?

Katika maisha yangu...nlikua na furaha na Amani na nilikua single kabisa..sio wote walio single wanastress..

Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno..but hata ukituma msg anasoma...hajibu ..akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi([emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya Kwanza kusikia hili neno)

Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....

zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu...au kuombea Dua mbaya...

Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA....

Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani...

Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa...

Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako..
Asiye nacho hana cha kutoa.
 
Mimi nikimpenda mtu mpaka Malaika wakajua nampenda halafu akanizingua huwa anapata mikosi yani ya hatari hatari. Basi siku hizi nikiona nampenda asienipenda huwa naachia ngazi mapema sitaki kuwapa mabalaa watoto wa watu.
 
I can say nipo kwenye situation kama hiyo, mtu unampigia simu anaongea kama hataki,alafu kila siku wewe ndo wa kupiga simu yeye hapana,ukimtumia msg anajibu kwa kujisikia,kitu kidogo atanuna wiki[emoji31]ngashoka
 
Katika maisha yangu...nlikua na furaha na Amani na nilikua single kabisa..sio wote walio single wanastress..

Basi baana akatokea mtu from no where na Ahadi kem kem nakujifanya ananipenda Sana but in reality haikuwa hivyo based on his actions...ile nakupenda kwa Maneno..but hata ukituma msg anasoma...hajibu ..akimwambia do you miss me...anasema Kumisiwa hakuombwi([emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya Kwanza kusikia hili neno)

Viitimbwi nlivyofanyiwa...Hadi nikawa namwambia UTAKOMA lazima nikuombee Dua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Masikini akadhani labda namtishia kumroga....

zilikua TU hasira masikini sijawai Hata roga mtu...au kuombea Dua mbaya...

Kwa Mara ya Kwanza katika MAISHA YANGU NILIFORCE KUPENDWA....

Ukiachwa Achika...unaweza dhani upo kwenye mahusiano kumbe ushaachwa Zamani...

Poleni kwenu wote mlopenda msipopendwa
Hongereni kwenu wote mliopenda mnapopendwa...

Unaweza penda Jambo likawa na Shari kwako...unaweza chukia Jambo likawa na kheri kwako..
Ukaamua kuendelea kujidanganya, hebu acha hizo njoo kwangu nikupe ma love yakuzidi. Acha kuteseka na vitunguu maji ww mrembo😻

Yani hamna kitu kinaniuma kama kuona mrembo anateseka.
 
I can say nipo kwenye situation kama hiyo, mtu unampigia simu anaongea kama hataki,alafu kila siku wewe ndo wa kupiga simu yeye hapana,ukimtumia msg anajibu kwa kujisikia,kitu kidogo atanuna wiki[emoji31]ngashoka
Poleni sana watoto wote mnaoteseka jamani 😂😂😂 hivi wazazi wenu wana taarifa lakini? Jokes!!!

Aisee inaboa kwa kweli kumtafuta mtu halafu anakupotezea. Hapo we ndio umependa yani ila mwenzio hana habari. Ila najiulizaga why mkipendwaga huwa mna miyeyusho sana. Yani utakapopendwa wewe unaleta mashauzi unakimbilia usipopendwa
 
Kweli kabisa... Mtu huwezi muomba akumiss...but Kama wapenzi hamjaonana let's say week Tatu..unaweza tegema mwenzako nae atakuwa amekumiss...

But nadhani ....mtu akiwa hajali hisia zako ndo hua Anakujibu atakavyo....
Wakuku miss ni mimi tu ambaye nakupenda kama navyopenda tumbo langu 😂😂😂! Achana na matapeli Chaurembo, i give u another golden chance...njoo udeke huku 😍
 
Kweli kabisa... Mtu huwezi muomba akumiss...but Kama wapenzi hamjaonana let's say week Tatu..unaweza tegema mwenzako nae atakuwa amekumiss...

But nadhani ....mtu akiwa hajali hisia zako ndo hua Anakujibu atakavyo....
Mara nyingi akishakula tunda hana sababu ya kujali tena.
 
Tatizo la ubinadamu, akija mtu serious utamkataa na akija playboy utamkubali. Akiichakata K anasepa unabaki to square one. Pole
Ndio shida hasa inayomkabili huyu mlimbwende, mi nataka nimuoe mwezi wa 3 huu nabembeleza ili mwezi wa 6 nimtoe aibu ila anandengulia 😝😝😝!

Yeye kakazana na kitunguu maji chake tu kinamliza anapost kila kukicha. Ila hakomi wala haamini kama unaweza penda ambako hupendwi.
 
Wakuku miss ni mimi tu ambaye nakupenda kama navyopenda tumbo langu [emoji23][emoji23][emoji23]! Achana na matapeli Chaurembo, i give u another golden chance...njoo udeke huku [emoji7]
Nilikua namsubiria u comment tu..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio shida hasa inayomkabili huyu mlimbwende, mi nataka nimuoe mwezi wa 3 huu nabembeleza ili mwezi wa 6 nimtoe aibu ila anandengulia [emoji13][emoji13][emoji13]!

Yeye kakazana na kitunguu maji chake tu kinamliza anapost kila kukicha. Ila hakomi wala haamini kama unaweza penda ambako hupendwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Nitateseka Sana au siyo!!
hamna kuteseka, unajua mateso anakuwa nayo mtu mwenyewe wala sio yule unaedhania anakutesa. Yeye anaishi maisha yake tu 😂 ila wewe ndio unateseka nayo. Mtu kaamua asipokee simu si ni yake na maamuzi yake we unateseka nini hapo? Mtu kaamua awe busy na shughuli zake we unasema hakupendi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom