Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,672
- 4,560
Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai
Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa.
KISA CHA KWELI
kuna jamaa tuliwahi kukaa kwa babu enzi hizo anasoma A level huko mwanza nikaja kukutana nae DSM aisee jamaa akasema hakumbuki kama amewahi kuwa mwanza
...nikamtajia mpaka nickname yake kasema hanijui nilichukulia easy kwa sababu jamaa ni mpenda sifa.
Umewahi kukanwa katika mazingira yoyote na mpenzi,ndugu au rafiki tushare jamani.Karibuni
Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa.
KISA CHA KWELI
kuna jamaa tuliwahi kukaa kwa babu enzi hizo anasoma A level huko mwanza nikaja kukutana nae DSM aisee jamaa akasema hakumbuki kama amewahi kuwa mwanza
...nikamtajia mpaka nickname yake kasema hanijui nilichukulia easy kwa sababu jamaa ni mpenda sifa.Umewahi kukanwa katika mazingira yoyote na mpenzi,ndugu au rafiki tushare jamani.Karibuni