Ushawahi kukanwa? (Kisa cha kweli)

Ushawahi kukanwa? (Kisa cha kweli)

kuna panzi mmoja alikuwa 1st udom hapo ndo imeanzshwa anzishwa (2009) nilisoma nae mpakani huko mtwara kukutana dodoma jamaa akanikatalia kabisa sio yeye.

siku moja nimeenda kuwaona jamaa zangu akaja na yeye nikasema simkumbuki kabisa jamaa wananishangaa tu badae nawaambia huyu jamaa niliwahi onana nae town akanikana sinaga stori nae mpaka leo.
umetisha mkuu
 
Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai

Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa.

KISA CHA KWELI
kuna jamaa tuliwahi kukaa kwa babu enzi hizo anasoma A level huko mwanza nikaja kukutana nae DSM aisee jamaa akasema hakumbuki kama amewahi kuwa mwanza ...nikamtajia mpaka nickname yake kasema hanijui nilichukulia easy kwa sababu jamaa ni mpenda sifa.

Umewahi kukanwa katika mazingira yoyote na mpenzi,ndugu au rafiki tushare jamani.Karibuni
Inabidi mjifunze kusoma body language, mtu hata kama unamkubuka muangalie machoni, reaction yake ndio itakupa jibu wewe umfuate au vipi. Kama anakujali au kukukumbuka anaweza akakufuata yeye au akakuita hadi jina. Unaweza kuwa umesoma na mtu sasa hivi ni Waziri au Mkurugenzi wa taasisi kubwa unamkuta na watu wake wewe unamvamia tu anaweza akakukana au ukapigwa kikumbo na walinzi wake ukaumia.
 
Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai

Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa.

KISA CHA KWELI
kuna jamaa tuliwahi kukaa kwa babu enzi hizo anasoma A level huko mwanza nikaja kukutana nae DSM aisee jamaa akasema hakumbuki kama amewahi kuwa mwanza ...nikamtajia mpaka nickname yake kasema hanijui nilichukulia easy kwa sababu jamaa ni mpenda sifa.

Umewahi kukanwa katika mazingira yoyote na mpenzi,ndugu au rafiki tushare jamani.Karibuni
 
Hii inaweza changia kweli...

Zamani nilikuwa na tabia ya kusalimia sana watu ambao tulipotezana kwa muda mrefu ila nilichokuja kiona ni kuwa baadhi hujifanya wamekusahau hata umkumbushe vp atajifanya kasahau.

Nilichoamua ni nikihisi kumfahamu mtu nikaenda msalimu akijifanya hanikumbuki basi na mimi napotezea wala sipotezi muda wa kumkumbusha lolote naendelea na mambo yangu.
bado ni shobo subiri akuanze yeye☻
 
Mdingi aliwahi kuniambia 'mi sio baba ako' akaita security akawaambia mtoeni nje huyu
Nilikuwa nimemfuata kazini kwake kuhusu mambo ya shule
Niliondoka nikilia siku hiyo
Sijui ntaisahau vp hii
aiseeeh hii kubwa kuliko mkuu, daa badae alikukubali na khali ikoje
 
Mzee aliachana na bi mkubwa mi bado janki kabisa kwa hiyo yeye ana kwake na bi mkubwa ana kwake minakaa na bi mkubwa
Baada ya siku hiyo nilienda nikauza kuku wangu nilikuwa nao kama 6 hivi nikasolve hilo tatizo skuli
Nilikaa kama miaka miwili hivi bila kuonana nae japo kwake ni kama km1 tu kutoka home
Kwa sababu yeye tangu nna akili sijawahi kumuona kaja nyumbani
Unawza kudhani labda kweli sio baba yangu
Lakini nna uhakika ni mzee wangu coz tunafanana sana sura
Kuna mambo mengi sana ila katika watu ambao siwakubali ni huyu mzee
 
Kuna Dada mmoja tulisoma nae chuo nilikua namgegeda bhana, tukaja kuzinguana. Mpaka tunamaliza chuo hatusemeshani, nikaja kukutana nae Regency Hospital Pale Pharmacy... nikamsalimia akauchuna bado... Nikatamka kwa Nguvu kaka nimeijia ARV, zile nyingine zimeisha... watu wakipungua nipigie....Macho yalimtoka kama Kobe... niliona nimchanganye, hawezi niletea ujinga mm... nikaondoka
 
Ilikua mwaka Jana mwishoni mwishoni niko zangu kwenye starehe maeneo ya Arusha Heineken zakupendeza..kulikua na ziara ya Mh fulani hivi...nikaamua nikale bata hukooo USA River sikutaka kuonana na mtu yoyote ..

Nikawa na dereva na mwanangu flani ..ile naingia club Njeree naona jamaa anansanukia..we si fulani tumesoma Feza mwaka fulani..nilimnawa live! kata kata nikamchomloea tena in a harsh way..tulipo chill wenzangu wakanambia humjui yule..nikawaambia namfaham sana sema sikua na ratiba ya kuonana na mtu ndio maana tuko hapa!

Wakati tunatoka dereva alimfuata kumuomba radhi na akamthinitishia ndiye mm..

Sipendi kushobokewa hasa nikiwa kwenye moods zangu..unakutana na jitu linakenuaa weee salamu nusu saa..my brother huo muda sina!

Ukinivamia hovyo hovyo nakunawa tu! nshamkana mpaka dada yangu mahala na uso mkavu...hawa washkaj school mates ndio kabisaa..au najifanya sikukumbuki usinipotezee muda wangu ..
Duh we katili..

Salimiana na watu. Then waambie upo bize kuna jambo wafanya... sasa hiyo ya kumkana ipo siku una shida ye ndo mtu wa karibu halafu atashindwa kukusaidia kwa sababu ya tabia yako
 
Mzee aliachana na bi mkubwa mi bado janki kabisa kwa hiyo yeye ana kwake na bi mkubwa ana kwake minakaa na bi mkubwa
Baada ya siku hiyo nilienda nikauza kuku wangu nilikuwa nao kama 6 hivi nikasolve hilo tatizo skuli
Nilikaa kama miaka miwili hivi bila kuonana nae japo kwake ni kama km1 tu kutoka home
Kwa sababu yeye tangu nna akili sijawahi kumuona kaja nyumbani
Unawza kudhani labda kweli sio baba yangu
Lakini nna uhakika ni mzee wangu coz tunafanana sana sura
Kuna mambo mengi sana ila katika watu ambao siwakubali ni huyu mzee
mambo yataenda poa ipo siku atakubali uwepo wako, mie mzee hakunikana ila kutokana na utukutu na kufukuzwa shule alisema hatatoa hata mia kunisomesha.

bi. mkubwa akasimamia shoo nzima nikarudi shule,kidato cha 6 nikafaulu hapo mzee ndo kuanza kukubali uwepo wangu. ila lile neno la hatonisomesha mpaka leo lipo.
 
Mdingi aliwahi kuniambia 'mi sio baba ako' akaita security akawaambia mtoeni nje huyu
Nilikuwa nimemfuata kazini kwake kuhusu mambo ya shule
Niliondoka nikilia siku hiyo
Sijui ntaisahau vp hii
Hahahahahahahahaha hii kali aisee
 
Haya mambo yanatokea sana hasa ss ambao tumewahi kuwa maarufu shulen

Utakuta upo darasa la saba kitoto cha la kwanza kinakufaham , upo form 4 pre form one anakufaham sasa inapta miaka kadha unashanga mtu anakwambia bro ww s ulisoma shule flan au umenisahau?

Watu huzania ukiwa maarufu na watu wakikufaham wengi bas naww unawafahm. Cha msingi ww unaye anza kumsalimia mwenzio tumia lugha nzuri ili upate ukwel
 
Ilikua mwaka Jana mwishoni mwishoni niko zangu kwenye starehe maeneo ya Arusha Heineken zakupendeza..kulikua na ziara ya Mh fulani hivi...nikaamua nikale bata hukooo USA River sikutaka kuonana na mtu yoyote ..

Nikawa na dereva na mwanangu flani ..ile naingia club Njeree naona jamaa anansanukia..we si fulani tumesoma Feza mwaka fulani..nilimnawa live! kata kata nikamchomloea tena in a harsh way..tulipo chill wenzangu wakanambia humjui yule..nikawaambia namfaham sana sema sikua na ratiba ya kuonana na mtu ndio maana tuko hapa!

Wakati tunatoka dereva alimfuata kumuomba radhi na akamthinitishia ndiye mm..

Sipendi kushobokewa hasa nikiwa kwenye moods zangu..unakutana na jitu linakenuaa weee salamu nusu saa..my brother huo muda sina!

Ukinivamia hovyo hovyo nakunawa tu! nshamkana mpaka dada yangu mahala na uso mkavu...hawa washkaj school mates ndio kabisaa..au najifanya sikukumbuki usinipotezee muda wangu ..
Hahaaaaaa duh petro .....
 
Mdingi aliwahi kuniambia 'mi sio baba ako' akaita security akawaambia mtoeni nje huyu
Nilikuwa nimemfuata kazini kwake kuhusu mambo ya shule
Niliondoka nikilia siku hiyo
Sijui ntaisahau vp hii
Pole mkuu....ndio kina petro hawa
 
Mdingi aliwahi kuniambia 'mi sio baba ako' akaita security akawaambia mtoeni nje huyu
Nilikuwa nimemfuata kazini kwake kuhusu mambo ya shule
Niliondoka nikilia siku hiyo
Sijui ntaisahau vp hii

Sasa mamaako ameshakuonyesha babaako halisi au bado unaamini huyo mzee ni babaako kweli?
 
Mkiambiwa

Mind your own business muwe mnaelewa. Hamtakuja kuona ujinga wa kukanwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom