Pale mmekaa kiring cha watu afu watu wanaongea mambo ya kiprofessional huna hata cha kuchangia?
Kinywaji inashuka kweli.
Hebu tambizane.....
Ishanikuta hiyo mkuu, nilikaa na mshkaj wang flan ambaye ni lawyer yuko na colleagues wake daaah. Yaan ilibidi nisubiri topic ya mpira ianze ndo namimi nichangie.
acha nipite nitarudi baadaye hapa maana mhm! kazi kwelikweli
ladyfurahia
Rudi huku. Nataka kukuona kidogo.